Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nipe Drama iliyo kwenye soko kwa sasa inayo kimbiza zaidi ya zote. Sijaangalia Korea drama yapata mwezi wa pili sasa.
Ah!mi mwenyewe nilipumzika kwa muda hata drama yangu ya Misty sijaimaliza,nami ndiyo nataka nitafute drama inayosumbua. Ila sasa naangalia The great seducer inanisogeza sogeza.
 
ingia google andika dramanice, hutojuta tena.
 
EMPTY Kwa Nini Naiangalia Waikiki?? Inanipa Shida Sana Mi Watu Mpaka Wananiona Chizi Jamni Ha!
ninapoangalia waikiki ninapoyasikia haya maneno yanapotamkwa na wajinga watatu waliokubuhu ujinga na upumbavu huwa nacheka sanaaaaaa.
episode ya 15 nimecheka mpaka nimeamua nipumzike kuifuatilia episode zinazoendelea kwa muda ili niiangalie vituko vya strong woman dobong soon.
aigooooooo lee jun ki vituko vyake vimepitiliza, hahahahahaaaaa hunimaliza anapolitamka neno gajaaaa (lets goo) pamoja na gwaenchanh-a anapokuwa pamoja na dooshik.
kwa ajili yake nafikiria kuitafuta drama ya go back couple inasemekana humo ni full vituko.
nimecheka episode 15 walipokwenda kupumzika guest house pamoja na chewbacca (bacca)

its all right
괜찮아
gwaenchanh-a.

of course
당연하지
dang-yeonhaji

let's go
가자
gaja

lets do
하자
haja

get lost
꺼져
kkeojyeo

rebecca
chewbacca
bacca

duh nilikuwa sijui kama lee jun ki na doo shik pia wanaweza kuimba.
jamaa ametoka mbali sana nadhani ni muda muafaka kwake yeye kupewa nafasi ya kuwa muigizaji mkuu kwenye drama.
halafu huyu bwege kumbe maisha yake ikiwa mr blue anajisifia ni mboga saba basi jun ki ni mboga 500.
His father is the CEO of LG Innotek, Lee Ung-beom.​
gwenchannna Gwenchannna
 
Bae Yong Joon And Park Soo Jin Welcome Second Child To The Family
On April 10, news outlet TV Report stated that Park Soo Jin gave birth to her second baby at a hospital in Seoul. Her husband Bae Yong Joon is with her at the hospital, and their first son is also there to see his baby sister.
A source from KeyEast confirmed the news, saying, “It’s true that Park Soo Jin gave birth to a daughter today. The mother and baby are both healthy.”
After getting married in July 2015, Bae Yong Joon (1972) and Park Soo Jin (1985) welcomed their first son into the family on October 23, 2016.
Congratulations to the beautiful family.

 
Hapo nimeona mbili tu.
Hong gil dong na the Kingdom of the winds
 
Bado ni mapema kuanza kujudge lakini ep 2 za mwanzo zimeanza vizuri.
Vizuri mkuu, ni Drama ipi hiyo lakini? Je, ni nzuri pia?

An ordinary man dies in a car crash, but his spirit awakes inside another man with the same name and age but an entirely different background. He becomes the head of two families and agonizes over his two different wives.
 

Ni comedy?
 
Film Industry Legend Actress Choi Eun Hee Passes Away
  1. Choi Eun Hee amefariki leo (16/04/2018) akiwa na miaka 92.
  2. amefariki akiwa hospitali akipatiwa matibabu ya kidney dialysis
  3. alianza kupatiwa matibabu tokea mwaka 2006 baada ya afya yake kuanza kudhoofika kutoka na kifo cha mume wake director Shin Sang Ok.
  4. alianza kuigiza mwaka 1942 na ameshiriki na kusimamia zaidi ya filamu 130.
  5. baadhi ya tunzo alizoshinda ni pamoja na Best Actress Award (Buil Film Awards) mnamo mwaka 1959, 1962, na 1966, the Best Actress Award mwaka 1985 (Moscow International Film Festival).
  6. mwaka 1978 alitekwa na serikali ya korea ya kaskazini ambako aliungana na mume wake ambaye pia alitekwa.
  7. wakiwa nchini korea kaskazini walifanikiwa kutengeneza filamu 17 kwa kufuata amri ya rais wa korea kaskazini Kim Jong Il.
  8. 1986 walipokwenda ziara kwenye mji wa vienna walifanikiwa kuomba hifadhi ya kisiasa kwenye ubalozi wa marekani.
  9. mwaka 1999 walifanikiwa kurudi nchini korea kusini.
  10. maziko yake yanatarajiwa kufanyika (19/04/2018) Dialysis is a treatment that does some of the things done by healthy kidneys. It is needed when your own kidneys can no longer take care of your body's needs. When is dialysis needed? You need dialysis when you develop end stage kidney failure --usually by the time you lose about 85 to 90 percent of your kidney function .
 
2PM’s Junho, Jang Hyuk, Jung Ryeo Won, And More Attend Script Reading For New Rom-Com Drama (Work of Love)



Junho, Jang Hyuk, Jung Ryeo Won, Lee Mi Sook, Park Ji Young, Im Won Hee, Jo Jae Yoon, Kim Sa Kwon
aigooooo hawa cast wanakufanya hii drama uiweke kwenye list yako ya kuiangalia haijalishi iwe na stori yenye kuvutia au iwe na hadithi mbaya.
jang hyuk amekuwa kama mvinyo anagombaniwa kila sehemu na madirector wa drama na variety show.
jang hyuk hunikera na aina yake ya kucheka lakini hajawahi kuniangusha kwenye martial arts.
 
AsantAsante="Damushin, post: 26715483, member: 344143"]
2PM’s Junho, Jang Hyuk, Jung Ryeo Won, And More Attend Script Reading For New Rom-Com Drama (Work of Love)



Junho, Jang Hyuk, Jung Ryeo Won, Lee Mi Sook, Park Ji Young, Im Won Hee, Jo Jae Yoon, Kim Sa Kwon
aigooooo hawa cast wanakufanya hii drama uiweke kwenye list yako ya kuiangalia haijalishi iwe na stori yenye kuvutia au iwe na hadithi mbaya.
jang hyuk amekuwa kama mvinyo anagombaniwa kila sehemu na madirector wa drama na variety show.
jang hyuk hunikera na aina yake ya kucheka lakini hajawahi kuniangusha kwenye martial arts.
[/QUOTE]asante kwa taarifa,nakaa mkao wa kuisubiri.
Asant
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…