Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

안녕 Damushin sunbae & my lovely chingu aminas!

Kwa sasa ni dramas zipi mnaangalia?

Zangu ni hizo hapo:-
About.Time
Come.and.Hug.Me
Goodbye.to.Goodbye
Lawless.Lawyer
Sketch
Wok.of.Love
Yaani Muda Ambao Nakuwaga Free kidogo Nakosa Vitendea Kazi Yaani.

Mi Sa Ivi Nipo Na Suits Tu Nilitaka Niianze kuaangalia Na Ile ya Robot Ila Sa Ivi Mmmhh!

Uko Mzima Lakini? Za Swaumu? Allah Akueke Eti Alafu Sijuhi Kwanini.
 
Woyooooooooooo, Bora Wamerudishwa Tena Hawa Nao Ilibdi Wadate Tuuh.
 
wow wow
happy birthday my beautiful noona yoo in na
nashindwa kuelewa kwa nini huyu bidada hapati nafasi ya kuwa lead actress kama walivyo waigizaji wengine wa kike.
urembo wake ni wa asili hata bila ya make up anapendeza.
no plastic surgeryyyyyyyyyyy.
ila urembo wake hajamshinda noona wa JF.


Birthdate:
June 5, 1982
Drama Series
  1. goblin
  2. one more happy ending
  3. my love from another star
  4. secret garden
  5. queen in hyun mans
Yoo In Na In Talks As Female Lead For New KBS Drama

Yoo In Na’s agency YG Entertainment announced that the actress received an offer to play the female lead for KBS’s new drama “Hitting on the Blind Boss” (literal translation) and is currently looking it over.

“Hitting on the Blind Boss” is about a boss named Dominic with facial recognition disorder and his secretary Jung Gal Hee who falls in love with him. Dominic was diagnosed with the disorder after he was attacked by an unknown assailant. Love blossoms after Jung Gal Hee pretends to be Veronica Park, the heiress of K Group, during a blind date.

Yoo In Na was offered the role of Jung Gal Hee. If she accepts the offer, she will be starring in a Korean drama for the first time in two years since “Goblin.”

“Hitting on the Blind Boss” will air sometime in the second half of the year.

Currently, the actress is starring in tvN’s variety show “Blind Date Coffee House.”
 
Woyooooooooooo, Bora Wamerudishwa Tena Hawa Nao Ilibdi Wadate Tuuh.
hahahahahaaaa bae suzy amechoshwa na visharobaro wa mji wa seoul, ameamua atembee na big oppa lee dong wook.

dong wook =37
bae suzy= 24
 
Interview at Omega event 01/06/18


tafadhali dada yangu mpendwa song hye kyo ni bora ukatae offer ya kuigiza drama na na hicho kivulana cha mji wa seoul Park bo gum, kama kuna offer yoyote ya kuigiza pamoja na Ahjussi basi offer hiyo ikubali.
naomba usisahau ya kwamba wewe ni muigizaji mkubwa na mzoefu mara kumi na 15 ya park bo gum.
song hye kyo ana miaka 37.
park bo gum ana miaka 24.
ila nimependa jibu lake baada ya kuulizwa lini atapata mtoto, laiti kama suala hilo unamuuliza celebrity wa sina kwetu entertainment mara anakujibu mpaka mganga atakaponipa tarehe.

 
Kwanini akatae sunbae? Age aint nothin' but a number, ndio wasemavyo.
 
Kwanini akatae sunbae. Age aint nothin' but a number, ndio wasemavyo.
Park bo gum level yake ni kim yooo jung, bae suzy, shin hye na waigizaji wengine under 30 ila kwa song hye kyo nahisi ni maji makubwa sana kwake yeye.
 
Park bo gum level yake ni kim yooo jung, bae suzy, shin hye na waigizaji wengine under 30 ila kwa song hye kyo nahisi ni maji makubwa sana kwake yeye.
SHK level zake waweza kumfananisha na nani? Nimewahi kumuona kwenye drama ya "Descendants of the Sun" tu hivyo simjui kivile.
 
Here are the most expensive productions in the history of Korean dramas
7. Are You Human Too? ($9.3 million USD)
Are You Human Too? is Korea’s first AI human romance drama that has invested a large sum of money on CG and special effects in the latter half of the series. The drama, which stars Seo Kang Joon and Gong Seung Yeon, is set to air its first episode on June 4, 2018.



6. Saimdang, Memoir of Colors ($18.5 million USD)
Saimdang, Memoir of Colors, which stars veteran actors Song Seung Heon and Lee Yeong Ae, follows the story of an art history lecturer and her journey in discovering the mysteries of a 16th-century artist through a diary. The large production cost was spent on the welfare of the actors and staff at the filming sites rather than the drama itself.


5. Iris 2 ($18.5 million USD)
This sequel to the hit series IRIS was filmed and broadcasted in 2013. A Korean drama with a production cost of $18.5 million USD was rare at the time and therefore, this series received particular attention.


4. Criminal Minds ($18.5 million USD)
The South Korean series Criminal Minds was a remake of the popular American tv series of the same name. The series starred Lee Joon Gi, Song Hyun Joo, Moon Chae Won, Yoo Sun, Lee Sun Bin, Go Yoon and Kim Yeong Cheol.



3. Kingdom ($18.5 million USD)
This upcoming series will be the second Korean Netflix original series and is expected to be aired sometime in 2018. The zombie thriller, which is set in the Joseon period, stars Ju Ji Hoon, Bae Doo Na, and Ryu Seung Ryong.


2. Vagabond ($23.2 million USD)
This upcoming series is a story about an ordinary man who gets involved in a plane crash and digs into national corruption. Lee Seung Gi and Shin Sung Rok have been confirmed to star in the series with Suzy being offered the lead female character. It is scheduled to be filmed abroad and broadcasted in the US as well as in Korea.


1. Mr. Sunshine ($27.8 million USD)
Mr. Sunshine is also an upcoming drama which will air its first episode in July 2018. The drama, which stars Lee Byung Hun, Kim Tae Ri, and Yoo Yeon Seok, has the largest production cost in the history of Korean dramas.
 
SHK level zake waweza kumfananisha na nani? Nimewahi kumuona kwenye drama ya "Descendants of the Sun" tu hivyo simjui kivile.
  • ha ji won = empress ki,
  • soo ae = mask, athena, emperor of the sea
  • kim tae hee = iris, yongpal
  • lee bo young= mother, pinoccio
  • jun ji hyun a.k.a gianna= legend of the blue sea
  • choi ji woo= winter sonata
  • jang nara = fated to love you
  • gong hyo jin = the producer, masters sun
  • son ye jin = pretty noona who buys me food
 
06/06
daebak daebak
siku inayofanana na tarehe ya leo na muda kama huu miaka X iliopita nilibahatika kuuona mwanga wa ulimwengu baada ya mwaka mmoja kufichwa kwenye tumbo la mama yangu mpendwa.
aigooo miaka 20 ijayo nitakuwa ahjussiiiiiii.
miaka 40 ijayo nitakuwa harabujiiiiiiiii.
nafahamu ya kwamba siku moja jua litazama na kuondoka moja kwa moja ila kwangu mimi upendo kwa wazazi wangu hautaondoka, wamepitia changamoto ngumu sana mpaka kunifanya kufikia umri huu niliofikisha siku ya leo na mpaka leo bado hawajachoshwa na mimi sasa
kwa nini mimi nichoshwe na wao?

saeng il chuk ha ham ni da
saeng il chuk ha ham ni da
sarang ha neun -- Damushin shi
saeng il chuk ha ham ni da
 
Hahahahaha Jamanii.

Heri ya Kuzaliwa Harabuuujiii, Miaka Mingi Ujaaliwe Uone Vitukuu Vyakoo Na Wakwe Zako InshaAllah.

Ile Ftari Yako Ndo Naona Itafaa Kuwa Leo. Unitaarifu Nakupataje
 


Hiii Drama Ina Haki Kuchukua Ela Nyingi vile..

Kiukweli Izi Episode 2 Ni Cheche.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…