“Familiar Wife” Offers Some Clues In Official Posters Of Ji Sung, Han Ji Min
ni drama inayozungumzia maisha ya wanandoa wawili Cha Joo-Hyuk na Seo Woo-Jin ambao wamefunga ndoa takribani miaka 5 iliopita.
cha joo hyuk ni mwanamme anayefanya kazi benki na anajikuta anafanya tukio linalosababisha maisha ya wawili hao kubadilika.
sijui kama aliiba pesa benki na kufungwa?
sijui kama alikutwa na mchepuko na hatimae mama watoto akashindwa kuvumilia?
sijui kama alimfanyia mkewe suprize mbaya baada ya kumpelekea zawadi ambayo aliwahi kumfuma mume wake akimpelekea mchepuko wake
mimi sijui hivyo basi
inshaallah tukutane 1/08/2018 ndani ya kituo cha tvN pindi itakapomalizika drama ya
whats wrong with seretary kim ambayo imebakiza episode 4 tu ili imalize.
niwe mkweli licha ya kuwa
ji sung ni muigizaji hodari mnoo na ana project nyingi sana ila nimeangalia drama tatu tu ambazo ni
defendant,
swallow the sun na
secret love.
nimeangalia drama mbili tu za mwanadada
han ji min ambazo ni
cain and abel na
yi san ambayo nilifika episode ya 17.
wawili hao walikutana kwa mara ya kwanza kwenye drama ya
All in ya mwaka 2003 ambapo ji sung alikuwa second lead actor na han ji min aliigiza nafasi ya youngest version ya muigizaji mkuu wa kike.
muigizaji mkuu alikuwa ni Lee Byung hun
nimemuona jang boo cheon wa money flower kwenye poster
korean drama forever