Hahahahhahahahahhaha, Kuanzia Namba 1-3 Ndo Vimenifanya Nicheke, Una Maneno Ya Uchokozi Umeniacha Hoi Ulivyoandika Madeepa Dah! Hata Haya Unayajua, We Sikuweziiiii! Hahahahahhahhah Hasira Za Samaki Daah Damuuuu...Eugene Choi: "No matter where I go, I always end up drawing attention."
- uyo wa kati kati anajifanya hajali hali ya nchi yake ilivyo ilimradi kwa kuwa maisha yake yanakwenda vizuri. anasahau ya kwamba wakoloni wanapovamia sehemu hawabagui aliyenacho na asiyenacho.
- uyo wa pembeni aliyevaa madeepa (deera) kama ahjumma wa kizanzibari moyo wake ameupeleka sehemu ambayo hapendwi na sababu kubwa yule binti anamchukulia kama ni mbwa wa kijapani,anabaki kuumia nafsini mwake na kubaki na hasira za samaki. vurugu nyingi akiwa kwenye bahari lakini dawa yake ni nyavu yenye matobo.
- uyo aliyevaa suti kama derick upande wangu wa kulia ameshaanza kuona wivu baada ya kugundua ya kwamba uyo jamaa wa katikati ndiye mchumba wa lady aesin, cheza na njaa ila usicheze na wivu wa kimapenzi, matokeo yake ameanza kusahau kilichomfanya aletwe korea.
kuna uwezekano huyu mzee genius wa historical drama ndiye kiongozi mkuu wa harakati za kudai haki nchini joseon?
nimeikuta soompi thread
anaitwa kim gap soo
Pale Yule Mdada wa Hotel Alivyowatambulisha Wote Kuwa Uyo Ndie Mchumba Wa Ae-Sin Wote Wakajikuta Wanatoa Silaha Zao, Dah! Aliwaweza Pale!Eugene Choi: "No matter where I go, I always end up drawing attention."
- uyo wa kati kati anajifanya hajali hali ya nchi yake ilivyo ilimradi kwa kuwa maisha yake yanakwenda vizuri. anasahau ya kwamba wakoloni wanapovamia sehemu hawabagui aliyenacho na asiyenacho.
- uyo wa pembeni aliyevaa madeepa (deera) kama ahjumma wa kizanzibari moyo wake ameupeleka sehemu ambayo hapendwi na sababu kubwa yule binti anamchukulia kama ni mbwa wa kijapani,anabaki kuumia nafsini mwake na kubaki na hasira za samaki. vurugu nyingi akiwa kwenye bahari lakini dawa yake ni nyavu yenye matobo.
- uyo aliyevaa suti kama derick upande wangu wa kulia ameshaanza kuona wivu baada ya kugundua ya kwamba uyo jamaa wa katikati ndiye mchumba wa lady aesin, cheza na njaa ila usicheze na wivu wa kimapenzi, matokeo yake ameanza kusahau kilichomfanya aletwe korea.
kuna uwezekano huyu mzee genius wa historical drama ndiye kiongozi mkuu wa harakati za kudai haki nchini joseon?
nimeikuta soompi thread
anaitwa kim gap soo
Naona Huko Kijijini Kwenu Bado Mnaangalia Bongo MovieSeries za kikorea ni za wanawake na watoto... sasa kama we ni kidume kuanzia miaka 18+ na bado una angalia ayo mataka taka itabidi tukuchunguze
Naona jina lako tu hali niruhusu kukujibu chochoteNaona Huko Kijijini Kwenu Bado Mnaangalia Bongo Movie
Dah! Kwel,, Kaa Kando Sasa Nisije Achia Hwangsong-16Naona jina lako tu hali niruhusu kukujibu chochote
Hahahahhahahahahhaha, Kuanzia Namba 1-3 Ndo Vimenifanya Nicheke, Una Maneno Ya Uchokozi Umeniacha Hoi Ulivyoandika Madeepa Dah! Hata Haya Unayajua, We Sikuweziiiii! Hahahahahhahhah Hasira Za Samaki Daah Damuuuu...
Eugene Kweli Yalomleta Anayaacha Anayafanya Yasomuhusu, Mwishoni Mwa Episode Six ndo Kanimaaliza Yaani! Drama Kali.
Kabisaa! Duh!, Uku Umekujaje Au Umefikaje Mpka Kwenye Hili Jukwaa Wakati We Ni Kidume Na Hupaswi Kuangalia Hizi Za Kimama, Au Tuanze Kukuchunguza Wewe Kwanza Uloingia Kusipokuhusu Au Ulikosea Njia Maana Ndo Kwanza Mpya!? Kuwa Na Heshima Hata Kwa Usomjua Kijana Kama Huna La Maana La Kuandika Kaa Kimya au Nenda Kwenye Majukwaa Yanayokufaa..Series za kikorea ni za wanawake na watoto... sasa kama we ni kidume kuanzia miaka 18+ na bado una angalia ayo mataka taka itabidi tukuchunguze
Hii kitu inaitwaje wakuu
Mr.SunshineHii kitu inaitwaje wakuu
Noop sio hiyo mr sunshine sio ya zamani kihivyo inaelezea maisha ya mwanajeshi miaka ya hiv karibuni na wala sio ya kijijiniMr.Sunshine
Kwakweli yaan hapo ji sawa na mwanaume kuingia choo cha kike na kusema eti sinki lenu linavuja[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] kama sio kiherehere ni nini?Kabisaa! Duh!, Uku Umekujaje Au Umefikaje Mpka Kwenye Hili Jukwaa Wakati We Ni Kidume Na Hupaswi Kuangalia Hizi Za Kimama, Au Tuanze Kukuchunguza Wewe Kwanza Uloingia Kusipokuhusu Au Ulikosea Njia Maana Ndo Kwanza Mpya!? Kuwa Na Heshima Hata Kwa Usomjua Kijana Kama Huna La Maana La Kuandika Kaa Kimya au Nenda Kwenye Majukwaa Yanayokufaa..
Apa Sijakuelewa Unataka Jina La Drama Gani?? Kama Ni Hiyo Uloniquote Inaitwa Mr.Sunshine Ambayo Ni Ongoing Drama Na Iko Episode 6, Inayoelezea Mzaliwa Wa Korea katika Familia Zile Za Chini Sana Kwa Jina Lengine Ni Slave Family, Ambayo Ataenda America Na Kurudi korea Kama Captain wa Jeshi La Marekani, Si ndo Iyo Ama?Noop sio hiyo mr sunshine sio ya zamani kihivyo inaelezea maisha ya mwanajeshi miaka ya hiv karibuni na wala sio ya kijijini
Naona Jinsi Ulivyo Na Mapenzi Na Hii Drama.Park min young
nilikuwa nikijawa na furaha kila sekunde nilipokuwa nikiigiza uhusika wa kim mi so, nilishikw ana woga baadhi ya wakati lkini furaha niliokuwa nayo sitaweza kuisahau kwenye maisha yangu.
pia nilikuwa nikijiuliza maswali
je kuna nyakati ambazo niliwahi kujisikia nikiwa na furaha kama hivi sasa?
sifahamu kama watizamaji wametambua ya kwamba drama hii imenifanya niwe na furaha wakati huu, baadhi ya watu wameniambia kiukweli nimefanana na kim miso.
kitu muhimu zaidi kwangu mimi ni kinachokuja mbele yangu na si kilichopita hivyo basi nawaahidi mashabiki nitazidi kujituma kwenye kazi zangu na kuwahakikishia nitarudi na project nzuri.
natumai mutamuaga kim miso kwa tabasamu lililojaa nafsini mwenu.
Pyo Ye Jin
namshukuru sana director Park Joon Hwa, writer, actors na staff wote waliokuwa pamoja na mimi kwa muda wote. nilijawa na furaha kwa muda wote na kwa kweli siamini kama ndio tumeimaliza project hii. Nahisi kama miezi miwili imekimbia kwa spidi kubwa sana zaidi ya muangaza. Mwisho niwashukuru mashabiki kwa ushirikiano mkubw amuliouonyesha kwa muda wote.,
nawapenda sana.
2PM Chansung
nilijitahidi kadri ya uwezo wangu nisiwavunje moyo mashabiki wangu, film set ilikuwa ni furaha muda wote wa kazi.
aigoooo sijui hizi episode mbili za mwisho alibadilisha suti?
hwang bora
mchumba wangu wa 40 ambaye ndiye nyota wa tatu wa drama hii kiupande wangu.
amesema
"niwashukuru wale wote waliovutiwa na uhusika wa Sera na Yang bok couple,pia niwashukuru staff wote waliofanikisha drama hii.nitaendelea kuwa muigizaji ambaye kila ninapopata nafasi nitaonyesha kitu kipya.
kwa sasa ninajiandaa kushiriki kwenye drama ya VAGABOND ambayo waigizaji wakuu watakuwa ni Lee seung gi na Bae Suzy.
kila la kheri mchumba endelea kufanya kazi kwa bidii tupate hela ya kula na pesa ya kodi, mimi mwenzio nitendelea kuwa mume na baba mtarajiwa wa nyumbani.
Kang Ki Young
niwe mkweli huyu kijana namuheshimu sana kwa sababu kwenye kazi zake hajawahi kuniangusha licha ya kwamba sijawahi kumuona akiigiza uhusika mkuu.
amesema
"napenda niwashukuru watazamaji wote waliovutiwa na drama hii, pia niwashukuru team nzima ya whats wrong with secretary kim kwa kipindi chote tulichokuwa pamoja tulifanya kazi kama familia.napenda kumshukuru director kwa kunipa nafasi ya kushiriki kwenye hii drama, hivyo basi nawaahidi mashabiki nitaendelea kujitahidi kufanya kazi kwa bidii na kuendelea kushiriki kwenye project nyenginezo pindi nitakapopewa nafasi.
Kang Ki Young atashiriki kwenye drama ya Boyfriend ambayo waigizaji wakuu ni park bo gum na song hye kyo.
vile vile atashiriki kwenye drama ya terius behind me ambayo muigizaji mkuu ni SO JI SUB.
ngoja niendelee kuziweka kiporo episode mbili za mwisho mpaka nitakapopata majibu ya ubuyu wangu wa leo. sitaki kushuhudia tukio la uongo la ndoa.
whats wrong with secretary kim ndio best romantic comedy kwa mwaka huu kwa maoni
yangu.
Hivi Kwa Nini Umempenda Sana Huyo Mchumba Wako Mpya, Najua Ni Maamuzi Lakini Nauliza Tuuh Sababu!?Park min young