Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwanza inapaswa uchunguzwe ww. Yawezekana akili zako zime changanyikana na damu. Kama kitu hukipendi si ukae kimya kwani ukikaa kimya utapungukiwa nini? Watu wengine bhana sijui bangi wanavutia chooni. Kaa utulie na hiyo miaka yako ya kuhesabu, nyie ndio mnafanya watu wanafanya teuzi za ajabu tu.
Series za kikorea ni za wanawake na watoto... sasa kama we ni kidume kuanzia miaka 18+ na bado una angalia ayo mataka taka itabidi tukuchunguze
 
9d8bd6fc011d0e185eafc2cd14c1d7afad0b8c0e.jpg

New Boo. Hahahah Eugene Choi.
 
DjRslAhUYAIcy52

Yeyote Anaeangalia Hii Drama, Please Let's Talk!

Maana Najiona Kaa Nipo Peke Yangu Kwenye Nchi Ya Joseon Na Kyle!

Uku New Boo Ashaanza Kupoteza Dira Kabisaa Na Agaashi Ae-Sin.
 
Hii kitu japo niliisubiri kwa hamu sana. Naona inanipita sababu ya majukumu. Ngoja kwanza nikipata wasaa mzuri nitaishusha ata episodes mbili hivi. Kwani kwa sasa iko episode ya ngapi??
ms197.jpg

Fvrt Scene, Hahahahha, CAPTAIN EUGENE.
 
Hii kitu japo niliisubiri kwa hamu sana. Naona inanipita sababu ya majukumu. Ngoja kwanza nikipata wasaa mzuri nitaishusha ata episodes mbili hivi. Kwani kwa sasa iko episode ya ngapi??
Ya Nane.
 
DjW8_AUVsAIH39p.jpg

Kidrama Huyu Robot.NS3

2f6f59e2db5350f64ed7e5ad3e41c2fe.png

Na Uyu Ni Human Kidrama.Original Nam Sin!

Ni Mtu Mmoja Alocheza Nafasi Mbili Tofauti Kwa Uwezo Mkubwa Sana! Na Hapa Hawa Wakorea Naona Wanataka Kutuonyesha Jinsi Gani Robot Anauwezo Kushinda Sisi Wanadam! Hii Sasa (Kufuru), Hila Kilichoumbwa au Unda Akiwezi Mzidi Ufahamu Alomuunda Au Alokiuunda.
 
Nataman kuona hatma ya grandpa na yule dada .
 
DjW8_AUVsAIH39p.jpg

Kidrama Huyu Robot.NS3

2f6f59e2db5350f64ed7e5ad3e41c2fe.png

Na Uyu Ni Human Kidrama.Original Nam Sin!

Ni Mtu Mmoja Alocheza Nafasi Mbili Tofauti Kwa Uwezo Mkubwa Sana! Na Hapa Hawa Wakorea Naona Wanataka Kutuonyesha Jinsi Gani Robot Anauwezo Kushinda Sisi Wanadam! Hii Sasa (Kufuru), Hila Kilichoumbwa au Unda Akiwezi Mzidi Ufahamu Alomuunda Au Alokiuunda.
upo sahihi dada yangu lakini kwa hali ya dunia inavyokwenda binadamu anahitaji mashine zaidi ili kufanikisha mahitaji yake ya kila siku.
binadamu anaitengeneza mashine kwa maarifa yake mwenyewe lakini kazi itakayofanywa na mashine ambayo imetengenezwa kwa amri ya binadamu ni bora zaidi kuliko kazi hiyo ingelifanywa kwa nguvu za binadamu (physical body).
tujaalie mashine ina uwezo wa kuosha nguo beseni 100 kwa masaa matano lakini binadamu hana uwezo huo.
unajua ni kwa sababu gani?
nam sin anamjibu kang so bong ya kwamba yeye hana emotions.

binadamu anaongozwa zaidi na hisia lakini mashine haiongozwi na hisia japokuwa aliyeitengeneza mashine anaongozwa na hisia
bila ya kusahau mashine haichukui likizo ya bila ya malipooooooo​
 
Last edited:
ngoja nishushe mistari yangu kabla hii soju haijaondoka kwenye mwili wangu.
nahofia itakapoondoka hii soju nitashindwa kuyazungumza haya maneno yenye kuudhi.
wacha nikuudhi wakati ambao bado nimelewa.
aminas nimeandaa classic proposal kwa ajili yako
kwa sababu mimi ni classical man.
nipo tayari kuwa zaidi ya mtoto mbele yako.
nataka tupendane mpaka tufikie umri ambao meno yote yatang'oka na kubaki mapengo kama mlango wa gereza la segerea.
will you marry me?
come on in my lady.

secretary-kim-park-seo-joon-park-min-young1.jpg

dah leo nimeimaliza drama ya whats wrong with secretary kim, nimebaki najishauri niangalie drama gani nyengine ya katikati ya wiki?
 
are you human too drama wiki ijayo ndio mwisho
life on mars drama nayo wiki ijayo inamaliza.

wimbo wetu wa leo wapenzi wasikilizaji wa radio dar es salaam unaitwa fate ulioimbwa na mwanamama lee sun he

Anhaahaha!
Haya Chinguya! Hongera Zako.
 
upo sahihi dada yangu lakini kwa hali ya dunia inavyokwenda binadamu anahitaji mashine zaidi ili kufanikisha mahitaji yake ya kila siku.
binadamu anaitengeneza mashine kwa maarifa yake mwenyewe lakini kazi itakayofanywa na mashine ambayo imetengenezwa kwa amri ya binadamu ni bora zaidi kuliko kazi hiyo ingelifanywa kwa nguvu za binadamu (physical body).
tujaalie mashine ina uwezo wa kuosha nguo beseni 100 kwa masaa matano lakini binadamu hana uwezo huo.
unajua ni kwa sababu gani?
nam sin anamjibu kang so bong ya kwamba yeye hana emotions.

binadamu anaongozwa zaidi na hisia lakini mashine haiongozwi na hisia japokuwa aliyeitengeneza mashine anaongozwa na hisia
bila ya kusahau mashine haichukui likizo ya bila ya malipooooooo​
Anhaa! Ila Mi Nilienda Mbele Zaidi Kiimani Ndomana Nikasema Kufuru! Wanajaribu Kutaka Kuonyesha Makosa Ya Muumbaji!
 
Last edited:
Back
Top Bottom