Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

20180804_2.jpg
 
Kufatilia ongoing mateso sana. Halafu sijui kwann sijaipenda hii movie kama nilivyozipenda wok of love na whats wrong with secretary kim
Ni mateso si mchezo kama hapa nimemaliza imeishia sehemu tamu. Sasa hiyo episode ya mwisho ndiyo wanatoa saa ngapi sijui.
Ila ni nzuri sana hakuna mfano. Jaribu episode moja utaielewa
 
IMG_9822.jpg

Hii Drama Huaga Hainotokagi Na Wala Huwa Siichoki! Labda Sababu Huwa Aipiti Muda Mrefu Bila Kusikiliza Ost Zake!

Natoa Ofa Kwa Wapenzi Wa Korean Entertainment Kesho Twendeni Simba Day!
 
Nimeziangalia episode zote za mwanzo kasoro zilizotoka wiki hii,nasubiria iishe niangalie maana nimeshaanza siwez ishia njian hata ka sijaipenda
Ni mateso si mchezo kama hapa nimemaliza imeishia sehemu tamu. Sasa hiyo episode ya mwisho ndiyo wanatoa saa ngapi sijui.
Ila ni nzuri sana hakuna mfano. Jaribu episode moja utaielewa
 
Back
Top Bottom