Series za kikorea ni za wanawake na watoto... sasa kama we ni kidume kuanzia miaka 18+ na bado una angalia ayo mataka taka itabidi tukuchunguze
That's my boo, lakin nampenda na yule butcher
New Boo. Hahahah Eugene Choi.
Fvrt Scene, Hahahahha, CAPTAIN EUGENE.
Ya Nane.Hii kitu japo niliisubiri kwa hamu sana. Naona inanipita sababu ya majukumu. Ngoja kwanza nikipata wasaa mzuri nitaishusha ata episodes mbili hivi. Kwani kwa sasa iko episode ya ngapi??
Ila Butcher Wengi Wanampenda!That's my boo, lakin nampenda na yule butcher
Nataman kuona hatma ya grandpa na yule dada .
Kidrama Huyu Robot.NS3
Na Uyu Ni Human Kidrama.Original Nam Sin!
Ni Mtu Mmoja Alocheza Nafasi Mbili Tofauti Kwa Uwezo Mkubwa Sana! Na Hapa Hawa Wakorea Naona Wanataka Kutuonyesha Jinsi Gani Robot Anauwezo Kushinda Sisi Wanadam! Hii Sasa (Kufuru), Hila Kilichoumbwa au Unda Akiwezi Mzidi Ufahamu Alomuunda Au Alokiuunda.
upo sahihi dada yangu lakini kwa hali ya dunia inavyokwenda binadamu anahitaji mashine zaidi ili kufanikisha mahitaji yake ya kila siku.
Kidrama Huyu Robot.NS3
Na Uyu Ni Human Kidrama.Original Nam Sin!
Ni Mtu Mmoja Alocheza Nafasi Mbili Tofauti Kwa Uwezo Mkubwa Sana! Na Hapa Hawa Wakorea Naona Wanataka Kutuonyesha Jinsi Gani Robot Anauwezo Kushinda Sisi Wanadam! Hii Sasa (Kufuru), Hila Kilichoumbwa au Unda Akiwezi Mzidi Ufahamu Alomuunda Au Alokiuunda.
Anhaahaha!ngoja nishushe mistari yangu kabla hii soju haijaondoka kwenye mwili wangu.
nahofia itakapoondoka hii soju nitashindwa kuyazungumza haya maneno yenye kuudhi.
wacha nikuudhi wakati ambao bado nimelewa.
aminas nimeandaa classic proposal kwa ajili yako
kwa sababu mimi ni classical man.
nipo tayari kuwa zaidi ya mtoto mbele yako.
nataka tupendane mpaka tufikie umri ambao meno yote yatang'oka na kubaki mapengo kama mlango wa gereza la segerea.
will you marry me?
come on in my lady.
dah leo nimeimaliza drama ya whats wrong with secretary kim, nimebaki najishauri niangalie drama gani nyengine ya katikati ya wiki?
are you human too drama wiki ijayo ndio mwisho
life on mars drama nayo wiki ijayo inamaliza.
wimbo wetu wa leo wapenzi wasikilizaji wa radio dar es salaam unaitwa fate ulioimbwa na mwanamama lee sun he
Anhaa! Ila Mi Nilienda Mbele Zaidi Kiimani Ndomana Nikasema Kufuru! Wanajaribu Kutaka Kuonyesha Makosa Ya Muumbaji!upo sahihi dada yangu lakini kwa hali ya dunia inavyokwenda binadamu anahitaji mashine zaidi ili kufanikisha mahitaji yake ya kila siku.
binadamu anaitengeneza mashine kwa maarifa yake mwenyewe lakini kazi itakayofanywa na mashine ambayo imetengenezwa kwa amri ya binadamu ni bora zaidi kuliko kazi hiyo ingelifanywa kwa nguvu za binadamu (physical body).
tujaalie mashine ina uwezo wa kuosha nguo beseni 100 kwa masaa matano lakini binadamu hana uwezo huo.
unajua ni kwa sababu gani?
nam sin anamjibu kang so bong ya kwamba yeye hana emotions.
binadamu anaongozwa zaidi na hisia lakini mashine haiongozwi na hisia japokuwa aliyeitengeneza mashine anaongozwa na hisia
bila ya kusahau mashine haichukui likizo ya bila ya malipooooooo
Sasa TvN Kama Wote Hivi!Song Hye Kyo And Park Bo Gum’s Upcoming Drama To Air On tvN