Hahaha kama pale anaambiwa asinong'oneze alafu anarudia tena. Nzuri kweliMr sunshine nampenda translator asee ananifanya nicheke kila nikimuona[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] yaan acha tuHahaha kama pale anaambiwa asinong'oneze alafu anarudia tena. Nzuri kweli
ATa mi nampenda,sijui kwa nn li bang ji wasifu wake humu sijaupendaIla Butcher Wengi Wanampenda!
Bang Ji Kutoka Drama Gani??ATa mi nampenda,sijui kwa nn li bang ji wasifu wake humu sijaupenda
Are you human too ?? episode 16 imetoka.View attachment 828681
Ni mateso si mchezo kama hapa nimemaliza imeishia sehemu tamu. Sasa hiyo episode ya mwisho ndiyo wanatoa saa ngapi sijui.Kufatilia ongoing mateso sana. Halafu sijui kwann sijaipenda hii movie kama nilivyozipenda wok of love na whats wrong with secretary kim
Ngoja nidownload hii ya secretary kimKufatilia ongoing mateso sana. Halafu sijui kwann sijaipenda hii movie kama nilivyozipenda wok of love na whats wrong with secretary kim
Ni mateso si mchezo kama hapa nimemaliza imeishia sehemu tamu. Sasa hiyo episode ya mwisho ndiyo wanatoa saa ngapi sijui.
Ila ni nzuri sana hakuna mfano. Jaribu episode moja utaielewa
Ngoja nidownload hii ya secretary kimView attachment 829455
Alicheza six flying dragons,mzee wa jambiaaminas post: 27867288 said:Bang Ji Kutoka Drama Gani??