Sasa zile link za english series mmeweka wapi??Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
NImekaa mkao wa kuitazamajang hyuk
upcoming drama BAD PAPA
Bad Papa' is the story of a middle-aged man who keeps fighting to protect his family in a harsh world
View attachment 832471
Sa Aigooooo salam zimenifikia. Chaaah na iwe hivyo unavyomtabiria ikiwa virse vesa nitamchukia,hhope atafata nyayo za lady ae sin ahahaaa hapana chezea kulove na atawasnitch wamarekani navyohisanakusalimia jang hyuk sunbaenim
nafikiri mi. goni mwa watu wanaochukia kuza Dwa kwenye noble family ni kim hename sung.
inaonekana amechukizwa sana na maisha wanayoishi familia yake hususani kuanzia babu yake ambaye alikuwa ni mkatili sana kwa watumishi wake.
ukiachana na hisia za kimapenzi anaonekana kama ni mtu ambaye hapendi kuweka wazi ndoto zake na hatimaye kujifanya kama ni mwanadamu asiye na malengo yoyote.
"I’m afraid of the blood running through my veins. If given the power it might be wielded inappropriately
kama ni wewe unafikiri ungeliishi maisha gani?
ikiwa dhambi ya babu yako ya kuwatesa watumwa unabebeshwa wewe na choi eugene.
ikiwa dhambi ya noble family kuishi kama wapo peponi unabebebeshwa wewe na dongmae.
acha tu aendelee kuishi hotelini ili ajiweke mbali na uchafu wa noble family.
je ni kweli hajali yanayoendelea ndani ya nchi yake?
hata teja aliyeathirika na madawa ya kulevya anajali yale yote yanayoendelea ndani ya nchi yake na ndio maana hata ukimuuliza mlevi rais wa tanzania ni nani?
atakujibu ni magufuli.
sijui huko mbele kitatokezea kitu gani ila ninamuona kim hee sung naye akivutwa na sumaku ya mwanadada Ae sin.
kwa jinsi hii drama inavyoendelea nahisi muigizaji mkuu ni mwanadada Ae shin.
- pindi japan watakapoivamia joseon huenda akawa ni pro japan pamoja na familia yake, kivyovyote kwa akili za baba yake na mama yake zilivyo hawawezi kuiunga mkono joseon pindi wajapani watakapoikalia kimabavu.
- au huenda akawa mfanya biashara ambaye atakuwa anawaunga mkono anti japan.nyuma ya pazia. kwa kuwa amesoma japani basi wajapani watamuona ni mtumwa wao kumbe ni kinyume chake.
eugene + dongmae + kim hee sung = lady go aesin
ila wanawake muna tabia moja ya ajabu sana, munakumbuka episode ya 3 walipokuwa kwenye boti eugene na ae sin walipokuwa wanatoka kwa mzee anayetengeneza vyombo.
ae sin akampa siri choi eugene ya kwamba yeye ndiye aliyemshambulia kiongozi wa marekani kwenye hoteli.
하하하 하하하하하 하하하하하 하하
mapenzi yenu yanavuka kiwango cha phd mpaka munatoa siri za ndani.
,mhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh
anyeong haseyo noonaInawezekana Mr. Sunshine Inaelezea Hii Ya Kutawaliwa Na Wajapan Kisha Urusi Na Marekani Wakaja Kuwakomboa, Maana Naona Ndo stori Inayozungumzia Sana Mule.
mkataba kati ya Japan na korea 1876Inawezekana Mr. Sunshine Inaelezea Hii Ya Kutawaliwa Na Wajapan Kisha Urusi Na Marekani Wakaja Kuwakomboa, Maana Naona Ndo stori Inayozungumzia Sana Mule.
dear eugene
This Scene..
mhhhhhhh niwe mkweli sijabahatika kuiangalia heartless city.
poseidonmhhhhhhh niwe mkweli sijabahatika kuiangalia heartless city.
ila kama unahitaji drama zenye kuzungumzia ishu za criminal, action,thriller, investigation basi jaribu zifuatazo.
- life on mars
- voice season 1
- voice season 2
- black
- tunnel
- secret forest
- criminal mind
- signal
- partners for justice
- bad guys 1
- bad guys 2
- phantom
- duel
- incarnation of money
- pied piper
- sign
- mad dog
- innocent defendant
- Healer
- Come and Hug Me
kuna uwezekano season 2 ya waikiki drama ikawa mwaka 2019Apa Nimeikumbuka Waikiki
BogoshiposeyoLee Se Young in Talks to Star in Korean Drama “Gwanghae: The Man Who Became King”
kama atakubali offer hiyo ataigiza nafasi ya malikia ambaye anajikuta akiwavutia wanaume wawili.
Gwanghae: The Man Who Became King ni remake ya movies yenye jina kama hilo ambapo inazungumzia hadithi ya mfalme gwanghae ambaye alikuwa akiishi maisha ya ujanja ujanja (mjinga mjinga) ili atimize malengo yake.
tvN ndio watakayoionyesha drama hiyo mwaka 2019 na msimamizi mkuu wa drama hiyo ni producer aliyeisimamia drama ya money flower.
yeon ji goo ndiye aliyepewa nafasi ya kuigiza nafasi ya mfalme na pia nafasi ya mburudishaji (clown)
huyu dada kwenye drama ya hwayugi alikuwa anatumia jina la buja.(zombie)
dah nimewamisi sana
mwenyekiti ng'ombe
mwana wa mfalme kima
secretary mbwa
mwana wa mfalme pweza
sam jang.
kwenye hii movie ambayo pia inaitwa masquerade starring alikuwa ni lee byung hun (mr sunshine drama) na han hyo joo (w drama)
kwa anayetaka kuiangalia
Masquerade 2012 at Dramanice
Uyu Eugene Amecheza Sana Movie Kuliko Drama?Lee Se Young in Talks to Star in Korean Drama “Gwanghae: The Man Who Became King”
kama atakubali offer hiyo ataigiza nafasi ya malikia ambaye anajikuta akiwavutia wanaume wawili.
Gwanghae: The Man Who Became King ni remake ya movies yenye jina kama hilo ambapo inazungumzia hadithi ya mfalme gwanghae ambaye alikuwa akiishi maisha ya ujanja ujanja (mjinga mjinga) ili atimize malengo yake.
tvN ndio watakayoionyesha drama hiyo mwaka 2019 na msimamizi mkuu wa drama hiyo ni producer aliyeisimamia drama ya money flower.
yeon ji goo ndiye aliyepewa nafasi ya kuigiza nafasi ya mfalme na pia nafasi ya mburudishaji (clown)
huyu dada kwenye drama ya hwayugi alikuwa anatumia jina la buja.(zombie)
dah nimewamisi sana
mwenyekiti ng'ombe
mwana wa mfalme kima
secretary mbwa
mwana wa mfalme pweza
sam jang.
kwenye hii movie ambayo pia inaitwa masquerade starring alikuwa ni lee byung hun (mr sunshine drama) na han hyo joo (w drama)
kwa anayetaka kuiangalia
Masquerade 2012 at Dramanice