hahahahahahaaaa nilifikiri huu ugonjwa unanisumbua peke yangu kumbe nina mwenzangu?Huwaga Najiuliza Namimi Ntakuja Potea Jf Kiasi Hiki! Wakati Hata Siku Aitapita Mpka Nione @Damushin Kapost Nini?
Lol!
Inabidi Tujaribu Kweli!hahahahahahaaaa nilifikiri huu ugonjwa unanisumbua peke yangu kumbe nina mwenzangu?
ila mimi sijaathiriwa sana na waandishi mahiri wa JF hivyo basi ugonjwa wangu unaweza kutibika.
unaonaje tukajaribu kuishi mwezi mmoja bila ya thread hii?
aigoooo tumekuwa kama eugene choi na Ae sin humu ndani.
hmmmm! tuwaachie legendary wa thread hii waiendeleze wanapopata nafasi japo kwa mwezi mmoja.
ila itawezekana kwangu mimi haliyakuwa siwezi kukaa bila ya kumjibu mtu pindi anapohitaji msaada?
Huyo jamaa namkumbuka kwenye iris sehemu ya kwanza alifanya powa sana! Amemaliza kaz wakati anaenda kumvisha Pete mchumba wake anapigwa shaba, aisee! Huyo jamaa n hatareee
Favorite New Boo and Fave Girl.
Movie Inayoenda kwa Jina La Single Rider
chincha?Inabidi Tujaribu Kweli!
Mi Naona Tuanze Mwenzi Huu Wa Sept.
Tunalog off Kabisaa Tutakuwa Tunasoma Bila Kulog,
Mi Mwenyewe Sidhani Pale Ambapo Umekaa Unasubiri Upate Alert Ya Damushin Lol!
Damushin Ahsante kwa elimu mulya hii aisee..
Mkuu kama utapata wasaa naomba unipe historia ya jumong na utawala wake
Yah Chincha! Sijajua Kama Nimejibu Sawa!chincha?
really?
basi tufanye hivyo mwezi ujao inshaallah.
sidhani kama mwezi ujao kuna drama ya muigizaji anayenivutia sana.
kwa waigizaji mashuhuri labda project ya so ji sub na project ya jang hyuk kama sikosei.
project ya hyun bin na park shin hye mpaka itakapomaliza MR SUNSHINE mwezi November.
huwezi amini hii ni comment yangu ya 1135 kuiandika ndani ya thread hii
duh hawa JF ndio nini kuniwekea takwimu kila thread niliyowahi kuitembelea.
Barikiwa sana mkuumhhhhhhh niwe mkweli sijabahatika kuiangalia heartless city.
ila kama unahitaji drama zenye kuzungumzia ishu za criminal, action,thriller, investigation basi jaribu zifuatazo.
- life on mars
- voice season 1
- voice season 2
- black
- tunnel
- secret forest
- criminal mind
- signal
- partners for justice
- bad guys 1
- bad guys 2
- phantom
- duel
- incarnation of money
- pied piper
- sign
- mad dog
- innocent defendant
- Healer
- Come and Hug Me
Baada Ya Kuwa Na Taifa la Jumong Na Seseono Buryeo Lilienda Wapi!???dah mkuu si nitaandika mpaka kesho na bado sijamaliza ila labda tuanzie hapa kwa ufupi
song il kook aliigiza nafasi ya jumong kwenye drama ya the book of the three hans na mwanadada han hye jin aliigiza nafasi ya soseono hii ilikuwa ni miaka 12 iliopita.
- jina lake la kuzaliwa aliitwa jumong (chumong) ila baadae alipewa heshima ya dongmyeong seongwang (holy king of the east) baada ya kufanikiwa kuanzisha taifa la Goguryeo kwa msaada mkubwa wa mwanamama soseono mnamo mwaka 37 B.C
- alikuwa ni mtoto wa Hae mosu na lady yuhwa lakini maisha yake yote alilelewa na mfalme geumwa wa Buyeo ya Mashariki ambapo taifa hilo mwanzoni lilikuwa ni koloni la Han china
- baadae aliondoka buyeo kwa lengo la kutimiza ndoto za aliyekuwa baba yake mzazi za kuwakomboa watu wa Gojoseon ambao walikuwa chini ya mabavu ya wachina.
- Ndipo alipokutana na mwanadada soseono kwenye harakati zake na kuhamia Jolbon na kuanzisha taifa la Goguryeo mnamo mwaka 37 B.C
- mnamo mwaka wa 19 BC mke wake wa kwanza alifanikiwa kukimbia nchini buyeo na kumfuata jumong akiwa na mtoto wao wa kwanza ambaye ni Yuri na wakati huo mwanamama soseono alishakuwa na watoto wawili ambao ni biryu na onjo.
- ujio wa lady ye ulipelekea soseono avuliwe nyadhifa ya kuwa malikia kwa sababu sheria zao walizozitunga ilikuwa zinamtaka mke wa mwanzo awe ndiye malikia.
- baadhi ya hadithi zinadai ya kwamba soseono aliamua kuondoka goguryeo baada ya kugundua ya kwamba jumong anataka kumpa madaraka ya urithi mtoto wake wa kwanza ambaye ni Yuri licha ya kwamba hakuwepo kwenye harakati za ukombozi kwa muda mrefu.
- ndipo soseono akaelekea maeneo ya kusini na watu wake kusini ambayo kwa sasa ndiyo korea kusini na kuanzisha taifa la Baekje, aliamua kuchagua ardhi ya kusini kwa sababu ardhi ya kusini ilikuwa ni bora sana kwa shughuli za uzalishaji na pia vyanzo vya maji vilikuwepo kwa urahisi sana ukilinganisha na Goguryeo.
- hivyo basi kukawa na mataifa mawili ambayo ni goguryeo ambayo eneo lake kubwa ilikuwa ni kaskazini ya korea na baekje ambalo eneo lake kubwa ilikuwa ni kusini mwa korea na msingi wa mataifa hayo ni jumong na soseono.
- jumong alimrithisha madaraka mtoto wake Yuri na alifariki akiwa na miaka 40 mnamo mwaka 19 BC.
- taifa la goguryeo lilidumu kwa miaka 705 hadi utawala wake ulipoangushwa kutokana na muungano wa mataifa mawili ya Tang china na Shilla mnamo mwaka 668.
- Nadhani kuhusiana na hadithi ya jumong tuishie hapo baadae tutamuangalia bwana yuri ambaye ndiye mfalme wa pili.
kwa miaka hii hakuna drama iliofikia kiwango cha kuangaliwa na 50% ya wakorea ispokuwa jumong.
unajua huyu jamaa kwa aibu aliyokuwa nayo ilimfanya amchumbie mke wake kwenye gari na haliyakuwa alishakodi sehemu nzuri ya kumchumbia mwanamama msomi mwenye PHD ya sheria anayeitwa jung seong yeon. eti aliwaogopa mashabiki si unajua alikuwa ni national actor kipindi hicho cha jumong.
😛😛😛
hahahahahaaaaa umenichekesha sana mpaka watu wanadhani tumezaliwa joseon kumbe tupo Tz.Yah Chincha! Sijajua Kama Nimejibu Sawa!
Inabidi Tukae Pembeni Kidogo, Tuone Kama Tutaweza Bila Maisha Ya Hiki Chama!! Maana Tumebaki Siye Tuuh.
Ila Tupo Vizuri Wawili Tuuh Katika Nchi Ya Joseon Na Tukipata Ramyeon Pembeni na Sojuu Tukisindikiza Na Kimchi.
Usije Nikimbia Tuuh Nawewe Maana Huwaga Uchelewi.
pande zote mbili walijitambulisha kama ni warithi wa buyeo.Baada Ya Kuwa Na Taifa la Jumong Na Seseono Buryeo Lilienda Wapi!???
Hahahahhahahah Eti kutafuta Kiki!!!!hahahahahaaaaa umenichekesha sana mpaka watu wanadhani tumezaliwa joseon kumbe tupo Tz.
tarehe 31/08/2018 itakuwa siku ya Ijumaa tunasitisha mkataba kwa muda wa kuitembelea hii thread pendwa.
si kwamba tunafanya hivyo kwa ajili ya kutafuta kiki kwa mashabiki wa thread hii ila umefika muda wa kuishi kimya kimya kama mwanzo tulipokuwa hatujaifahamu hii thread tuone na sisi kiupande wetu kama itawezekana.
kwa hivyo tutaiangalia MR SUNSHINE bila ya mrejesho na uchambuzi wetu humu ndani.
no update
no news za celebrities
hahahahahahahahahahahahaaaaaaaaaaaaaa
ni sawa sawa na kumwambia demiss asiingie chit chat na MMU.
Nipe Drama Ya Zamni Niicheki, Maana Now Nina Life na Sunshine Tuuh.pande zote mbili walijitambulisha kama ni warithi wa buyeo.
buyeo mashariki utawala wao uliishia kwa daeso baada ya kuuliwa na mfalme muhyool daemusin wa goguryeo.
lakini pia kulikuwa na buyeo nyengine ambayo utawala wake uliishia mwaka 410 baada ya kushindwa vita na mfalme gwanggaeto wa goguryeo.
Hahahahahahhahaah Dah!! Panyaaahuu mtandao wa soompi upo more update kuliko mtandao wowote unaoandika habari za korean celebrities.
masaa yaliopita waliweka habari hii
BTS Breaks Record As “IDOL” MV Hits 10 Million Views
leo hii BTS wamerelease video ya wimbo wao mpya unaojulikana kwa jina la Idol saa 6pm kwa saa za korea na ilipofika saa 10:16 pm kwa saa za korea video ya wimbo huo imeangaliwa duniani na mara millioni 10.
ina maana ndani ya masaaa 4:16 wimbo huo umeangaliwa mara millioni 10
ndani ya muda huo wimbo huo umepokea likes zinazofikia millioni 2.
unaambiwa BTS wamevunja rekodi ya wimbo wao wenyewe unaoitwa fake love ambao uliangaliwa na mara millioni 10 ndani ya masaa 4 na dakika 56.
BTS ni more fire
update ya habari hii dakika 45 zilizopita kupitia mtandao wa soompi
BTS’s “IDOL” MV Smashes Another Record As It Reaches 20 Million Views
ilipofika saa 12;35 a.m kwa saa za korea wimbo huo umefikia rekodi ya kuangaliwa mara millioni 20.
inamaana ndani ya masaa sita na dakika 35 wimbo huu ushaangaliwa mara millioni 20 duniani wakati huo mimi wala sijaiangalia hata mara moja
hahahahahaaaa hatari sana hawa jamaa halafu mtu ananishangaa mimi kuwafuatilia wakorea na muziki wao wakati nicki minaj anataka kushirikishwa kwenye wimbo wa BTS.
tufahamu ya kwamba muda huu nchini korea ni usiku wa saa 7:45 AM na tayari ni tarehe 25 August.
kwa sasa mpaka wanaweka taarifa hii mtandao wa soompi video hii imepata likes million 3.2
huku kwetu mtu akifikisha view millioni moja ana kelele kama panya.
Tunataaka Tuone Kama Nasisi Tutawezaa kukaa Bila ya Hiki KijiweSasa hiyo likizo mnajipa kwa muda gani? Nipeni hata drama 5 wakat nawasubiri mrudi. Natizama Mr sunshine na come and hug me kwa sasaivi
Sent using Jamii Forums mobile app
mimi mwenzio hata kuogelea sijui sasa kwenda busan kutaleta faida gani kwangu mimi?Hahahahhahahah Eti kutafuta Kiki!!!!
Yah Inabidi Tuchukue Likizoo Ila Unaonaje Tukisubili Mpka Sunshine Iishe, Hmmm!!! Lakini ngoja Acha tuanze Hiyo likizo, Tuone tutaweza Je!!!?
Uku Tukienda Zetuuu Busan Tukale Sushi na Jjgae.
Weleee
nilimpa password ya computer mdogo wangu cha ajabu sasa anajifanya kama ndio nimempa haki miliki ya kutumia pc yangu.muda wowote anaojisikia.Hahahahahahhahaah Dah!! Panyaaa
Nakufananishaa Na Rafiki Yangu Wa Huko Huko Kuvuka Bahari, Ni Ana Maneno Akianza Tuuh Kuongee Mbavu Sina, Anayoyaongeaa Yaani Ni Vichekesho Tuuh
Mara Nyingi Nakufananisha Nae Sana.
kweli dada yangu?