weka picha ahjummaKuna Binadam Wanaroho Kama Ya Huyu Mzee (Lee Wan Ik) Yaani Unaenda Iumiza Famila ya Mtu Sababu Tuu We Ufanikiwe Kweli,
Uhisi Hata Maumivu Yao Najua Haya Ni Maigizo Lakini Kuna Maisha Ya Watu Waliishi Ivyi na Waliyapitia Haya Na Wapo Mpka Leo Wanaishi Ivyi.
Na Serikali Inashindwa Hata kutetea Watu Wake Lol!!!
Hahahahahahhaha, Mi Sio Ahjumma Labda Wewe ndo.....weka picha ahjumma
mimi sijaiangalia ep 19 huoni nitakuwa nadanganya.Hahahahahahhaha, Mi Sio Ahjumma Labda Wewe ndo.....
Natumia Kisembuse Kidogo ( Simu) kinachonipa Shida Kuzimwaga Apa!
Rusha Wewe
Kwanini Ujaangali!??mimi sijaiangalia ep 19 huoni nitakuwa nadanganya.
Yaani Babu Yake Ae- Sin Amefariki Mara Baada ya Lee wan ik kutoka Kubomoa Makazi Yake Ili Wapitishe Ujenzi Wa reli Wakati Ujenzi Wa Reli tayari Ulishakuwa Na Njia Yake Ila Yeye kwa Visa Vyake Akaenda Kumpa Presha Mzee Wetu.mimi sijaiangalia ep 19 huoni nitakuwa nadanganya.
kwa njia gani?Kwanini Ujaangali!??
Nikurushie Uangalie
Nakafanya Yote Haya Ili Tuu Wawakamate Right Armies! na Amkamate na Ae Sinmimi sijaiangalia ep 19 huoni nitakuwa nadanganya.
Uitakayokwa njia gani?
dah ina maana ujenzi wa reli pro japani wameshaufanikisha?Yaani Babu Yake Ae- Sin Amefariki Mara Baada ya Lee wan ik kutoka Kubomoa Makazi Yake Ili Wapitishe Ujenzi Wa reli Wakati Ujenzi Wa Reli tayari Ulishakuwa Na Njia Yake Ila Yeye kwa Visa Vyake Akaenda Kumpa Presha Mzee Wetu.
hii comment umeandika kwa hisia kali sana zaidi ya simba.Nakafanya Yote Haya Ili Tuu Wawakamate Right Armies! na Amkamate na Ae Sin
Akalituma Lile Lanajeshi la Japan Kwenda Kumuua Jumo na Kisha Kumninginiza Kwenye Njia Kubwa ya Kupita Watu Na Vyombo Vya Usafiri ili Tuuh Wamkamate Yule Kiongozi Wao
we ahjumma mtarajiwa miaka 20 ijayo mbona unanionyesha maajabu.Uitakayo
Yaaani we Hii Episode Imenitoa Chozi Wakati Nilishagomaga Kulia Coz ya Dramahii comment umeandika kwa hisia kali sana zaidi ya simba.
unatamani lee wan ik awe karibu yako.
ππ
Miaka Ishirini Ijayo InshaAllah Bado Sitokuwa Ahjumma Kwaiyo Labda Uongezee Mengine 20we ahjumma mtarajiwa miaka 20 ijayo mbona unanionyesha maajabu.
naomba uteguwe kitendawili chako
We Sema Njia Gani Nikutumie Au Niiweka Kwa Bahasha Nikapeleke Pale Feli Iende Na Boti La Mchana Huu!???we ahjumma mtarajiwa miaka 20 ijayo mbona unanionyesha maajabu.
naomba uteguwe kitendawili chako
Ndio Na Wanataka Anza Jenga Mpka baba Yake huiseong Aliienda kumuombea kibarua mwanae kwa Wan ikdah ina maana ujenzi wa reli pro japani wameshaufanikisha?
Gyeongin Railway opening ceremony, 18 September 1899.
Hili kundi lako silitaki kabisa[emoji23], kwa lady ae sin na eugen choi dah...MR SUSHINE DRAMAwakati huu tunangojea subtitle ya episode ya 19 na next episode ya 20 hapo kesho ngoja tuondoe stress zinazotukabili kwenye maisha yetu ya kila siku, kuna wengine huondoa stress kwa kunywa pombe na akina sisi wengineo tunaondoa stress zetu za maisha kwa mapira na korean drama.
Na bahati mbaya wiki hii ulevi wangu mkuu wa manchester united haujaingia sokoni.
binadamu kumbe akili zetu zenye mihemuko ya kimwendo kasi tunazijuwa wenyewe, ngoja nijicheke mwenyewe kwanza kabla sijaandika sentensi niliyokusudia kuiandika.
hahahahaahhahahahaaaaaaaakuna mashabiki wameanza kumlalamikia muandishi wa drama hii ambaye ni mwanamama kim eun sook pamoja na director Lee eung bok.
uvumilivu umeanza kuwashinda wafuatiliaji wa hii drama kwa sababu imeshafika episode ya 18 lakini hawajaona hata dalili ya kiss scene.
aminas , talnam hivi nyinyi mupo team gani kwenye kiss scene?
- kuna wale wanaongojea kwa hamu kiss scene kati ya captain eugene choi (lee byung hun) na lady go ae sin (kim te ri), kundi hili la mashabiki ndio wapo wengi zaidi duniani na povu lao hata nguo za wafungwa wa gereza la keko au kiinua miguu lililopo zanzibar unaweza kufulia, bahati nzuri Kwenye kundi hili mimi sihusiki
- kuna wale wanaongojea kwa hamu kiss scene kati ya mtemi aliyezaliwa na wazee wawili waliokuwa wakiuza butcher goo dong mae (yoo yeon seok) na mwanadada kudo hina (kim min jung) ambaye ameachika na mume wa kijapani na pia ndiye mtoto wa lee wan ik msaliti wa joseon, pia kwenye kundi hili mimi simo.wafuasi wa kundi hili wana hasira kali kuliko upanga wa Dong mae, unapaswa ukae nao mita 600.
- kundi la tatu nipo peke yangu na sitaki mfuasi kwenye kundi hili,bado nasuburia kwa hamu kiss scene kati ya ahjumma Haman-daek na yule ahjussi ambaye pia ni mtumishi wa lady aesin na mzee go sa hong. Nitafurahi sana kama hawa wazee wawili watafunga ndoa na kuishi kwa amani na upendo na kuondokana na minyororo mizito ya utumwa,nasisitiza tena kwenye kundi hili sihitaji mfuasi.
hahahahahahhaaaaaaaa bangi za usiku ni mbaya sana zinaweza kukufanya ukayanunue makontena ya makonda.
huku kwetu serikali imebana, kule kwenye mpira manchester united wamebana na huku kwenye drama mwanamama kim eun sook ameendelea kubana.
huu mwaka kwa hali inavyokwenda sisi wengine tutakufa na tai shingoni.
ahsante sana Mungu azidi kukuongezea baraka.We Sema Njia Gani Nikutumie Au Niiweka Kwa Bahasha Nikapeleke Pale Feli Iende Na Boti La Mchana Huu!???
kwa iyo upo kundi la kwanza.Hili kundi lako silitaki kabisa[emoji23], kwa lady ae sin na eugen choi dah...
hebu nikumbushe uyo jumo ndio yupi?Akalituma Lile Lanajeshi la Japan Kwenda Kumuua Jumo na Kisha Kumninginiza Kwenye Njia Kubwa ya Kupita Watu Na Vyombo Vya Usafiri ili Tuuh Wamkamate Yule Kiongozi Wao
Eeh LA kwanza mpaka nataka nilazimishe wanawezaje kushikana mikono kipindi chote hiko. LA kwako? Pole na msibakwa iyo upo kundi la kwanza.
kundi la tatu sihitaji mshabiki.
ππ