Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kizuri kisifie!
Hebu tuambizane kwa wale walioichek great queen seondoek hivi ni nani aliyefunika ki uchezaji? Kwangu mimi ni Field Marshall Munno, na Yushin, je wewe?
 
Kizuri kisifie!
Hebu tuambizane kwa wale walioichek great queen seondoek hivi ni nani aliyefunika ki uchezaji? Kwangu mimi ni Field Marshall Munno, na Yushin, je wewe?

Hadithi na mikasa yote inamzunguka huyo binti kwa jinsi alivyo navipaji ukiachia cha kushiriki kama mwanaume muda mrefu wa maisha yake. 'scene' za mapigano kwa hakika Yushin yuko juu.
 
Hapa mimi naona Bidam ndio mwenye mapigo ya hatari angalia hata kifo chake alivyopambana yushini alikaa ikabidi mishale itumike.
 
Hapa mimi naona Bidam ndio mwenye mapigo ya hatari angalia hata kifo chake alivyopambana yushini alikaa ikabidi mishale itumike.

Ina maana kwa upande wako wewe ukiambiwa upambanishe bidam na jilsuk unadhani bidam angeshinda?
 
Ingetegemea maana mbabe wa jilsuk ndio alikua Master wa bidam

Kumbuka mpambano wa jilsuk na munno ulikuwa mkali sana, mwanzoni jilsuk alikuwa hawezi kitu kwa munno, ila aliporudi capital tena alikuwa na kiwango cha hali ya juu!!
 
mwana umenikosha sana mimi mpenzi sana wa tamthiria zinazohusu JOSEON baadhi nimeona hapo nyingne nitazitafuta

je ile bridal mask ni history ya kweri au ni ya kutunga tu naipenda sana ile tamthiria ingawaje DONG YI ndo naikubari sana
 
Taifa la Joseon ndilo lenye "drama" nyingi. Limeanzishwa baada ya kuanguka Goryeo.

Kama wanaJF wapenzi wa hizi "historical drama", historia ya Korea ni "drama" ya Jumong aliyeanzisha Taifa la Goguryeo. Liangushwa na Tang (Taifa la China) kwa kushiriana na Taifa la Silla - angalieni "Dae Jo Yeong" mwanzilishi wa Taifa la Balhae.

"Drama" za Goguryeo ni Jumong, The Kingdom of the Wind (Mfalme Yuri, mtoto wa Jumong), Princess Ja Myung Go (Mfalme Daemusin - Muyul, mtoto wa Yuri), The Legend, The Sword and Flower, na Yeon Gae Somun.
 
Asante mkuu kwa hii historia nzuri.
 
Asante sana kwa kutujuza mkuu uko vizuri. Sijasoma uzi toka mwanza, ila kwa uelewa wangu Sosuno na Jumong hawakupata mtoto, Onjo ni mtoto wa Wutae si wa Jumong. Kama sijakosea
 
Asante sana kwa kutujuza mkuu uko vizuri. Sijasoma uzi toka mwanza, ila kwa uelewa wangu Sosuno na Jumong hawakupata mtoto, Onjo ni mtoto wa Wutae si wa Jumong. Kama sijakosea
ahsante mkuu ila mtoto wa mkeo ni wako pia japo kuwa hukumzaa
umesahau na the great king gwaggaeto na hata king geunchogo
 
ahsante mkuu ila mtoto wa mkeo ni wako pia japo kuwa hukumzaa

umesahau na the great king gwaggaeto na hata king geunchogo

Ni kweli kwa Gwaggaeto lakini Geuchogo ni Baekje enzi za utawala wa Gegyuro na vita yao ilikuwa kubwana wakati huo Baekje ilikuwa imara. Tatizo ndani ya falme hizi kulikuwa na kugombea ufalme
 
Bora : CHUNO THE slave hunters
aina : vijijini
kinanivutia ACTION
.msanii bora
dae-gil (chuno,iris ,shine &go crazy)
iljimae (iljimae,joseon gunman ,scholar who wall @nyt, arang)

yeo un (warrior dong soo, great queen ,arang & magnistrate)

jumong .

sky lord ( warrior dong soo, flower & petal)

crazy horse ( strongest chil wool & sunghyunkwan scandal)

BIdam (great queen seon deok)

drama ya kwanza ni JUMONG

naitafuta sunghyun kwan scandal
 
bae suzy c kaigiza warrior dong soo kama jin ju
man called God ,IRIS
 
Am Korea series fan ila suala la kukariri majina hata ya series zenyewe ni kazi kweli. Sasa mnapokua mnakariri hadi majina yao na hadi their real names naona mko juu zaidi yangu.
Imagine hata jumong tu sijui jina lake halisi[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…