basi acha niendelee kuamini hivyo.Hahaa hapana sunbae upo live na maisha kabisa
Hahaa sunbae mbona hizo thread mimi sijaziona.. Nampenda huyu mbinti jamani daah huwa najiuliza wakaka wa kikorea hivi hawamuoni huyu? Akina Jo In Sung, akina Seung Heon wanazidi kuwa wahenga tu na hawaoi wakati watoto wazuri kama hawa wapobasi acha niendelee kuamini hivyo.
natumai ni mzima wa afya wana chit chat wenzako wanakusubiri uwajibu maswali ya kuwapotea naamini umeanzishiwa thread zaidi ya 100.
ππππππ
huku kwetu moon chae won anarudi tena na time travel drama kuanzia kesho.
au wewe ndiye moon chae won mwenyewe?
View attachment 920804
We Mrembo JamniiiHahaa sunbae mbona hizo thread mimi sijaziona.. Nampenda huyu mbinti jamani daah huwa najiuliza wakaka wa kikorea hivi hawamuoni huyu? Akina Jo In Sung, akina Seung Heon wanazidi kuwa wahenga tu na hawaoi wakati watoto wazuri kama hawa wapo
Lol! Usipoteee Sana, Kuna Mtu Wa Muhimu Umu Ndani Ujueee! Asipoona Comment Yako Anauumwa.me too my chinguya
najihisi nimeshakuwa muhenga kupitia thread hii basi najikuta natamani kuishia kuwa mgeni wa kusoma comment za watu wengine kama wanavyofanya wengineo.
mianhae
Hahaa niambie mrembo..uko mzima? Yaani hapa kama ni darasani ningesema wenzangu mmecover syllabus kabisa sio topic tuUlikozamiaa! Duuh
Mpka Moyo Umeshtuka.Lol!!
Naisubili Hii.basi acha niendelee kuamini hivyo.
natumai ni mzima wa afya wana chit chat wenzako wanakusubiri uwajibu maswali ya kuwapotea naamini umeanzishiwa thread zaidi ya 100.
ππππππ
huku kwetu moon chae won anarudi tena na time travel drama kuanzia kesho.
au wewe ndiye moon chae won mwenyewe?
View attachment 920804
Na Mitahni Yote Tushamaliza Tunaelekea Final tu.Hahaa niambie mrembo..uko mzima? Yaani hapa kama ni darasani ningesema wenzangu mmecover syllabus kabisa sio topic tu
Hahaa hongereni mimi nitarudia tu darasa kwa kweliNa Mitahni Yote Tushamaliza Tunaelekea Final tu.
Tukakuita Weee! Tukabaki Kuomba Mola Uwe Salama Tuuh.
Cha kukushauri ingia KissAsian.shNaomba msaada nadownload Queen Seon Duk katika link ya dramanice ila baadhi ya episode zinagoma kudownload nifanyeje ili niweze naomba mwenye kufahamu anisaidie
Hahhaha! Tuendeleee Tuh Tutakuwa Tunakuelekeza Mdogo Mdogo.Hahaa hongereni mimi nitarudia tu darasa kwa kweli
Cha kukushauri ingia KissAsian.sh
Au chukua app ya Dramania,hawa dramanice wamekuwa wababaishaji links zao hazieleweki
daebakLol! Usipoteee Sana, Kuna Mtu Wa Muhimu Umu Ndani Ujueee! Asipoona Comment Yako Anauumwa.
kumbe hapo tatizo,mi huwa nachukua kupitia simu halafu nahamishia kwenye pcAsante, Ila Dramania kwenye Windows 10 inazingua kudownload
Ha! Jamni Mola Atawapigania.natamani the smile has left your eyes drama imalizike muda huu japo kuwa ni nzuri kiupande fulani.
aminas umeiona first teaser ya encounter (boyfriend) drama?
ndani ya cuba nakwambia mara paaap song joong ki na song hye kyo wapeana talaka
jamani jamani mtu na shemegi yake.
mungu awajaalie ndoa yao isiingiliwe na shetani mbaya.
park bo gum vs song hye kyo