Yaaah mi ndo mgonjwa sana kwenye cm yangu sina nyimbo za kibongo ni hizi tu,kuna jamaa mwingine Yang Yoseob yupo vizuri sana ana vocal la hataridah kumbe wagonjwa wa hizi korean song hususan miondoko ya ballad tupo wengi mnoo.
ule wimbo unaitwa good bye.
huyu ahjussi ni shidaaa halafu pia anaweza kuigiza.
View attachment 932273
mama weeeeee nimekutana na mzimu kuliko mimi.Yaaah mi ndo mgonjwa sana kwenye cm yangu sina nyimbo za kibongo ni hizi tu,kuna jamaa mwingine Yang Yoseob yupo vizuri sana ana vocal la hatari
Kwa wa kike pata muda kumfuatilia Woo Eun Mi huyu ni shida nyingine kabisa.
Kim Yeon ji,Yoo Sung Eun,Song Seung Yeon,Zia,Taeyeon,Davichi,T-Ara,Gummy,Kim bo kyung,Ailee,Song ji eun,Hwanhee,.
HAO WATU SONGS ZAO HAZICHOSHI
Hmm! Nielekeze Nimjue Tuu...unaanza balaaa lako tena ahjumma wangu mtarajiwa miaka 30 ijayo,
unayemuhusu sijamuona mpaka leo kwa sababu navaa miwani ya mbao FC pindi ninapotembea.
na ikitokezea nimemuona basi nitamwekea wimbo huu unaoitwa sikupendi ulioimbwa na urban zakapa.
huu wimbo kwa wale wenye akili nyingi wanajua una maana mbili ila kwa vilaza ukimuwekea wimbo huu na tafsiri yake anaweza kukumwagia mavumba ya dagaa wa juzi kwa hasira
anyeong
[emoji23][emoji23][emoji23]Noma sanamama weeeeee nimekutana na mzimu kuliko mimi.
hao unaowafuatilia wewe kwa kiasi kikubwa ni wale vibishoo kpop vilivyozaliwa miaka 30 iliopita ila mimi ni mpenzi zaidi wa legendary kama lee eun mi, lee sun hee n.k
ila hao pia nawafuatilia kiasi fulani.
kwenye mashindano ya IAM SINGER mwaka fulani nimeusahau huyu lee eun mi alishika nafasi ya kwanza, nafasi ya pili alishinda the one, nafasi ya tatu alishinda mwanadada so hyang na nafasi ya nne alishinda music commander guckasten
huyu lee eun mi akiimba ni full vituko
Lee Eun Mi - I have a lover
Am I still alone
You ask, and I just laugh
I am in love
I have someone to love
You seem to worry about me
Telling me to meet someone nice
Do you know
I already have a great lover
Someone too precious I had to hide it
That man, only I can see him
He is visible only to my eyes
His name will forever be sealed in my lips
Only the tears that sometimes fill my eyes know
That that man is you
I don’t want to have him
I don’t want to be greedy
I just want to love him
You see
I’m not alone
Don’t worry
Someday I’ll introduce him to you
Can you hear what the tears filling my eyes say?
That that person is you
haya maneno mhhhhhhhhhh
Anhaa kwenye 100days nimemuona ila sio muhandsome kama hio picha lol
Duh mr sunshine ya kawaida sana najutia MB zangu basi tu naendelea nayo kuvizia kiss scene. Bunduki za nini sasa humo aaah
Duh ilivyo tamu vile, hehehe kuhusu kiss nakuonea huruma ila tizama labda utakutana nalo
Hahahaha wagumu wale, upo ep. Ya ngapi? Au hupendi za harakati[emoji23][emoji23]ushanikatisha tamaa,ngoja nitafute nyingine
Hahahaha wagumu wale, upo ep. Ya ngapi? Au hupendi za harakati
Nipo ep ya 10,napenda za wao kwa wao bila kuhusisha wazungu
Jitahidi umalize mwaya
Kuimalizia muhimu MB zinauma sana na ile kukesha ili kuivuta yote[emoji23][emoji23].
Alafu unapitiwa usingizi ukistuka tatu zimefail...unataman kupasuka
Msaada wakuu Naombeni mnitajie series zinazohusu masuala ya kijasusi mfano IRIS.
aigoooo nimeanza kukuogopa rafiki, nimebaki najiuliza muda huu umenijuaje au jamaa ni jasusi uchwara?