Al-Hadidy
JF-Expert Member
- Oct 4, 2018
- 1,411
- 3,077
Yaaah mi ndo mgonjwa sana kwenye cm yangu sina nyimbo za kibongo ni hizi tu,kuna jamaa mwingine Yang Yoseob yupo vizuri sana ana vocal la hataridah kumbe wagonjwa wa hizi korean song hususan miondoko ya ballad tupo wengi mnoo.
ule wimbo unaitwa good bye.
huyu ahjussi ni shidaaa halafu pia anaweza kuigiza.
View attachment 932273
Kwa wa kike pata muda kumfuatilia Woo Eun Mi huyu ni shida nyingine kabisa.
Kim Yeon ji,Yoo Sung Eun,Song Seung Yeon,Zia,Taeyeon,Davichi,T-Ara,Gummy,Kim bo kyung,Ailee,Song ji eun,Hwanhee,.
HAO WATU SONGS ZAO HAZICHOSHI