Shaibu Hiwalisi
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 603
- 582
No mwendo wa CD/DVD tu. Ukitaka ya kudownload utaangaika sana bill ya mafanikio.Afu iyo king daejo yeong siipati kwa links,,nisaidieni link
aisee hujaiweka empress chinchun.........Kama wewe ni mpenzi wa Korean Dramas, karibu katika thread hii tupate ku share kuhusu kazi hizo hatari za mkorea.
Tuambiane;
- Ipi ni drama yako bora ya kila wakati kwako?
- Ni ya aina gani? (Wengi tumezoea kusema za 'mjini' na 'vijijini')
-Nini kinakuvutia sana katika hiyo Drama?
Pia:
- Nani ni Msanii wako Bora wa kiume na wa kike na baadhi ya drama alizoigiza?
- Nani ni sexiest Actor au Actress kwa maoni yako?
- Ipi ilikua Drama yako ya kwanza ya kikorea kuiona?
- Ni Drama gani ya kikorea unaitafuta sana na unapata wakati mgumu kuipata? (Unaweza ukasaidiwa kuipata na mashabiki wengine)
*Pia tumia thread hii kufahamishana kuhusu drama mpya zilizotoka au unayohisi ni nzuri ila haijapata umaarufu sana!!
Karibu tujumuike! Saraghae! Kumooyo!!
=========
Baadhi ya Links za Dramas mbali mbali za Korea...;
Be Strong Geum Soon
Princess Ja Myung Go
THREE DAYS (2014)
Swallow the Sun
Jumong
King Guenchoggo
=====
Links za ku-download drama za Kikorea;
- Watch Drama Online | Korean Drama | Japanese Drama | Taiwanese Drama | Hong Kong Drama | Chinese Drama
- GoodDrama.Net
======
Updated: Kwa mjadala na kubadilishana uzoefu kuhusu series za jumla za movies mbalimbali, za zamani na mpya, Unaweza pia kufuatilia UZI HUU hapa Series (Special thread) ..
Kazi kwako.. Enjoy!
hahahaaaaaaaaaaa TK1,Niliipenda IRIS sijawahi kuona mfano wake
No mwendo wa CD/DVD tu. Ukitaka ya kudownload utaangaika sana bill ya mafanikio.
Mmoja kati ya wahusika ktk series hi ninayemkubali ni mkuu wa ngome ya Ansiseong general yang manchun.
Bogoshipseyoshujaa wa ansiseong aliyekuwa na tamaa ndogo mno ya madaraka nyakati zileeeee za goguryeo kingdom.
kuna sehemu fulani niliwahi kusoma inasemekana kipindi general yeon gaesomun anafanya mapinduzi ya kumuondoa mfalme wa 27 wa goguryeo na baadae kumweka mfalme bojang huku yeye akijipa cheo cha kiongozi mwenye mamlaka makubwa ya nchi zaidi ya mfalme alijikuta akitofautiana kimawazo na yang manchun.
yang manchun hakufarahishwa na kitendo alichokifanya general yeon gaesomun na hata yeon na yeye hakufarahishwa na kitendo cha yang manchun kukataa kutoa ushirikiano kwenye mapinduzi, hivyo basi mashujaa hao wawili wakawa hawana mahusiano mazuri. stori zinadai yeon gae somun mara nyingi alitamani kumvunja nguvu yang manchun lakini alishindwa jaribio lake na mwisho wa siku yeon gae somun akaona solution ni kuendelea kumwacha yang manchun aendelee kuwa bwana ngome za liaodong ili kuepusha vita ya wenyewe kwa wenyewe ambayo ingelizidi kuiathiri goguryeo dhidi ya kampeni ya kujilinda na Tang China na Shilla.
kuna movie wameitengeneza korea mwaka huu inaitwa the great battle au Ansi Fortress na inajaribu kuzungumzia vita iliyodumu kwa takribani siku 88 kati ya goguryeo na Tang kwenye ngome zile za Ansi zilizokuwa zikiongozwa na Yang Manchun mwaka 645.
jo/ zo in sung = yang manchun general
nam joo hyuk = sa mool
kwa sisi parasites acha tuendelee kungojea mpaka iwekwe kwenye free websites.
- The Great Battle” Becomes 2nd Most-Watched Korean Film Of 2018 In Less Than A Month
- On October 6, the film hit 5 million moviegoers in just 18 days since its premiere on September 19
Kipindi Kile Naanza Angalia Dong Yi Nakumbuka Nilikuambia Na Majibu Yako Yalikuwa Kuwa ''Inaeile Stori Ya Taratibu Sana Ila Nzuri'' Nakumbuka Ulinijibu Hivyi, Kumbe Ulikuwa Unachagizaa tuu! Muone Vilewahudumu wa humu ndani naomba munitayarishie chupa 50 za soju tafadhali, nataka nilewe mpaka nitapike korosho za bwana amunike wa lesotho.
halafu pia naomba mara hii munichagulie nyinyi wadau drama za kuangalia hata kama ziwe zimeshapita na wakati, ni matumaini yangu sitakutana na balaa nililolishuhudia kwenye thread ya wapenzi wa series.
heheheheheeeeee niliomba websites ya kuangalia series mpaka leo ni mwezi wa pili sijapatiwa mpaka nikaingia mzigoni mwenyewe.
mhhhhhhhh kweli binadamu tunatofautiana.
wala musiogope jamani hakuna mtu aliyeangalia drama nzuri zote za wakorea.
acha leo nifunguke kabla ulevi haujatoka, niwe mkweli sijawahi kuziangalia drama zifuatazo japokuwa zinasifiwa na kila mdau
kama mutashindwa ni bora niende kwa mchungaji au shekhe aniombee nipumzike kuangalia drama japo kwa wiki mbili (shetani wangu wa likizo amerudi tena).
- dong yi : hahahahahahaaaa munajuwa kwa nini sikuchangia comment zilizokuwa zinaisifia hii drama zikiongozwa na huyu ahjumma mtarajiwa miaka 30 ijayo Nifah ,ni kwa sababu sikumbuki hata kama nilifika episode ya 5 ndio maana nikaufyata.
- jewel in the palace : hii hata siifahamu hata inavyoanza, kwani hizi drama tunajibia mtihani?
- drama zote za ji sung ukiondoa the innocent defendant.
- drama zote za ji chang wook ukiondoa K2.
namimi nahitaji kuona raha ya kujisikia kama anavyojisikia bibi yenu mtarajiwa.
kama mutashindwa kuniwekea japo drama 15 kwa kila mtu ili nichague nitahama mtaa wenu.
- terius behind me drama = imeshamaliza
- the beauty inside drama = imeshamaliza
- room no 9 = itamaliza jumapili.
- where star land = huenda ikamaliza jumatatu
- bad papa = huenda ikamaliza jumanne.
povu naruhusu siku ya leo.
ujumbe wa leoDamushin hajawahi kuwa serious
Love kim bon, go are rin, joon-joon twin = terius behind me drama.
heheheheheheeeeee naona umeamua rasmi kuanzisha zoezi.Seoul 1945
sikutaka kukuvunja moyo wako my friend.Kipindi Kile Naanza Angalia Dong Yi Nakumbuka Nilikuambia Na Majibu Yako Yalikuwa Kuwa ''Inaeile Stori Ya Taratibu Sana Ila Nzuri'' Nakumbuka Ulinijibu Hivyi, Kumbe Ulikuwa Unachagizaa tuu! Muone Vile
Nilitka Angalia Ila nilikuwa Nasubiri Kauli Yako.THE LAST EMPRESSkuna yeyote humu ndani aliyebahatika kuiangalia hii drama ambayo imeanza jumatano kupitia shirika la SBS?
jang nara pamoja na choi jin hyuk sunbaenim wamekutana tena kwa mara nyengine baada ya fated to love you drama.
kwa kiswahili changu ni kwamba hii drama inajaribu kuonesha maisha ya kisasa nchini korea lakini mfumo wa uongozi wa nchi hiyo ni wa kifalme kama ilivyokuwa nyakati za joseon (constitutional monarchy)
kuna musical actress ambaye jina lake ni min yoo ra ambaye baadae anakuwa ni mke wa mfalme lee hyuk. Maisha yake ndani ya familia ya kifalme yanakuja kuwa ndivyo sivyo baada ya kushutumiwa kuhusika na mauaji ya queen dowager.
je ni kipi kitatokezea ndani a familia hiyo kiukweli binafsi sifahamu ila nimeanza kuona dalili ya love triangle na mapemaaaa.
wang shik (choi jin hyuk) anaelekea kupokonywa tonge mdomoni na mfalme lee hyuk episode mbili za mwanzoni na huko mbeleni baada ya wang shik kufanyiwa mabadiliko ya sura nimeota atakuja kumchukua mke wa mfalme ambaye atakuwa ni jang nara.
mfalme atachukua maamuzi gani atakapogundua mke wake anatembea na mlinzi wake?
wang shik atalipiza kisasi baada ya kuuliwa mama yake mzazi na mfalme kwa ajali ya gari?
je yule binti aliyeamua kuvunja mahusiano na wang shik atajisikiaje pindi atakapogundua jamaa kabadilisha sura na amekuja kulipa kisasi kisiri ndani ya royal family
wenyewe wanadai anayechinja kwa upanga basi na yeye atakufa kwa upanga.
View attachment 944105
wahudumu wa humu ndani naomba munitayarishie chupa 50 za soju tafadhali, nataka nilewe mpaka nitapike korosho za bwana amunike wa lesotho.
halafu pia naomba mara hii munichagulie nyinyi wadau drama za kuangalia hata kama ziwe zimeshapita na wakati, ni matumaini yangu sitakutana na balaa nililolishuhudia kwenye thread ya wapenzi wa series.
heheheheheeeeee niliomba websites ya kuangalia series mpaka leo ni mwezi wa pili sijapatiwa mpaka nikaingia mzigoni mwenyewe.
mhhhhhhhh kweli binadamu tunatofautiana.
wala musiogope jamani hakuna mtu aliyeangalia drama nzuri zote za wakorea.
acha leo nifunguke kabla ulevi haujatoka, niwe mkweli sijawahi kuziangalia drama zifuatazo japokuwa zinasifiwa na kila mdau
kama mutashindwa ni bora niende kwa mchungaji au shekhe aniombee nipumzike kuangalia drama japo kwa wiki mbili (shetani wangu wa likizo amerudi tena).
- dong yi : hahahahahahaaaa munajuwa kwa nini sikuchangia comment zilizokuwa zinaisifia hii drama zikiongozwa na huyu ahjumma mtarajiwa miaka 30 ijayo XYZ,ni kwa sababu sikumbuki hata kama nilifika episode ya 5 ndio maana nikaufyata kimya.
- jewel in the palace : hii hata siifahamu hata inavyoanza, kwani hizi drama tunajibia mtihani?
- drama zote za ji sung ukiondoa the innocent defendant.
- drama zote za ji chang wook ukiondoa K2.
namimi nahitaji kuona raha ya kujisikia kama anavyojisikia bibi yenu mtarajiwa.
kama mutashindwa kuniwekea japo drama 15 kwa kila mtu ili nichague nitahama mtaa wenu.
- terius behind me drama = imeshamaliza
- the beauty inside drama = imeshamaliza
- room no 9 = itamaliza jumapili.
- where star land = huenda ikamaliza jumatatu
- bad papa = huenda ikamaliza jumanne.
povu naruhusu siku ya leo.
ujumbe wa leoDamushin hajawahi kuwa serious
Weekend nipo na:-
Time
Where stars land
Your house helper
Heart surgeons
Weekend ijayo
The beauty inside
Familiar wife
The third charm
The player
Oooh nikimaliza hizi ntaongeza list ila najua ushamaliza zote hizi. Nishtue ipi hapo haifai nisije unguza MB bure
episode 2 bado sijaiangalia lakini kwa jinsi ilivyo episode 1 ni mwendo wa visasi, vita ya madaraka na usaliti wa mapenzi ndio dhamira kuu.Nilitka Angalia Ila nilikuwa Nasubiri Kauli Yako.
- your house helper huenda itakukera, aigooo nimesahau kumbe numbisa ni msichana basi huenda pia itakufurahisha kwa sababu wanawake wengi munatamani muwe na wanaume wenye tabia za huyo jamaa atakayesaidia kazi za ndani ila mimi ilinishinda.
- heart surgeon,third charm,the player zote hizi niliamua kuachana nazo kwa sababu niliona itakuwa ni ujinga kufuatilia drama saba kwa mwezi mmoja. hivyo basi niliamua kuzifuatilia the beauty inside,bad papa,where star land pamoja na teius behind me.Halafu kuna ugonjwa unanisumbua siku hizi drama ikipita muda wake naitelekeza mpaka nafsi yangu iwe na morali ya kuitafuta tena.
- familiar wife niliachana nayo episode 3, mimi si mshabiki mkubwa wa Ji Sung sunbaenim ndio maana nikaitia kwenye dustbin.
- Time drama sijaiangalia.
Tupe linki basii mzee...Zipo nyingiiView attachment 917019
Nmeipata dramaniceYan naitafuta hii daah
Msaada link au site gani niishusheshujaa wa ansiseong aliyekuwa na tamaa ndogo mno ya madaraka nyakati zileeeee za goguryeo kingdom.