Hongera Zake Wang Shik! AnastahiliCongratulations Shin Sung Rok and Choi Jin Hyuk on winning Top Excellence in Acting (Wed-Thurs Drama) for their performance in "The Last Empress"
View attachment 982177
Emperor Nae Kachukua WaoooCongratulations Shin Sung Rok and Choi Jin Hyuk on winning Top Excellence in Acting (Wed-Thurs Drama) for their performance in "The Last Empress"
View attachment 982177
inaonekana muda huu wanatoka kwenye shooting ya the last empress, Shin Sung Rok mwanzo alishinda tunzo kupitia drama ya return lakini hakuwepo kwenye ukumbi.Hongera Zake Wang Shik! Anastahili
Napenda Jang Nara Akiitamka Wang Shik.
Hii Drama Inachukua Best Drama Walshinaonekana muda huu wanatoka kwenye shooting ya the last empress, Shin Sung Rok mwanzo alishinda tunzo kupitia drama ya return lakini hakuwepo kwenye ukumbi.
jang nara naye amshinda
View attachment 982195
Waoo! Robot Wetuu JamniKBS
Male Excellence Award in Medium-Length Drama nominees ameshinda seo kang joon
View attachment 982178
Huyu Mzee alinikosha sana kwenye drama ya Black pamoja na The Playerhahahahahaaaaaaa itakuwa umemkusudia kim won hee au vipi?
View attachment 982034