daebak, nafikiri KBS wameona itakuwa si vizuri kwa mara ya pili mfululizowashindi wote wawili watokee kwenye family drama ndio maana wakampa kim myung min kupitia the miracle we met.Na kwa KBS Daesang Imeenda kwa Yoo Dong Geun na Kim Myung Min
Hongera Zao MaAjussi
Nunua simu nyingine, tatizo sio Browser. Simu ndio tatizo, ni ile kwani?Yaani Hii Browser Nayotumia Nikitoka Kuingia Kwengine Nikirudi Naanza Upya
Nashindwa Kuelewa Ni Simu Mbovu Ama Browser ndo Mbovuu
Ni Ile IPI!??Nunua simu nyingine, tatizo sio Browser. Simu ndio tatizo, ni ile kwani?
MGC
ahsante dada yangu kwa taarifa, najiandaa kuitafuta halotel siku chache zijazo inshaallahWapenzi wa movies
Halotel *148*66# ofa maalumu kisha usiku ofa kisha chagua cha buku unlimited bundle jirambe sita usiku mpaka kumi na mbili asubuh
thanks brother tupo pamoja, kumbe ni shemegi yake mtu huyu ahjumma mtarajiwa?Mkuu Dumushin hongera mkuu naona bado walisongesha.. bila kumsahau shemeji yetu Aminas
Congratulations nyingi ziende kwa huyu Jamaa. Aisee bonge la actor yaani, alifurahisha sana kwenye drama ya Yi Soon ShinKBS awards
The Netizen Award winners washindi ni Kim Myung Min kupitia The Miracle We Met na Park Hyung Sik kupitia SUIT
Nami Nilitaka Muuliza Kwa Nani!? Sema Nilijua Tu Utauliza Wewe.thanks brother tupo pamoja, kumbe ni shemegi yake mtu huyu ahjumma mtarajiwa?
upo sahihi na kupitia drama ile alishinda daesang awards kwa mwaka 2005Congratulations nyingi ziende kwa huyu Jamaa. Aisee bonge la actor yaani, alifurahisha sana kwenye drama ya Yi Soon Shin
MGC
Hahahahaaa hayo ndio huwa maswali yenu hasa.Nami Nilitaka Muuliza Kwa Nani!? Sema Nilijua Tu Utauliza Wewe.
Ngoja kidogo, hii sherehe tunasherekea wapi?
Lipoje Swali.Hahahahaaa hayo ndio huwa maswali yenu hasa.
MGC
Jamii na ForumNgoja kidogo, hii sherehe tunasherekea wapi?
MGC
Sijaelewa Ata.Umesahau sera ya Mkuu.
MGC
Ngoja kwanza, yaani bila kikomo ata kama nitatumia vipi?Wapenzi wa movies
Halotel *148*66# ofa maalumu kisha usiku ofa kisha chagua cha buku unlimited bundle jirambe sita usiku mpaka kumi na mbili asubuh
thanks noona, ngoja niwahi kukutakia kheri ya mwaka mpya kwa saa za kwetu korea.Aigooooo
Nilikuwa nafuatilia kimyakimya hapa hizo tuzo japo sijaangalia hata drama moja kati ya zilizotoa washindi (niliangalia moja ya The last empress na kwakuwa haijaisha kule KissAsian basi nimeiacha kwanza mpaka iishe ndio niiangalie)
Baadae nitakuja kuweka list ya drama nilizoangalia hapa mwaka huu.
Currently nipo naicheki Jing Bi Rock ambayo ilikuwa suggestion ya Damushin
Umetisha sana, hii drama ndio zile mambo napenda...
Vita mwanzo mwisho, sio mchezo!
Sent from my iPhone using Tapatalk
ngoja niwaachie uwanja wenu wenyewe munawezana, halafu nasikia muna utani wa simba na yangaHahahahaaa hayo ndio huwa maswali yenu hasa.
MGC
Hahahahaaa unasikia, kutoka kwa nani ndugu.. !!??ngoja niwaachie uwanja wenu wenyewe munawezana, halafu nasikia muna utani wa simba na yanga
teh teh teh