Asante, kila site nitakayoingia siioni drama ninayotaka.Kwa ku-download ama kuangalia online KOREAN DRAMAS, mie hutumia sites zifuatazo:
1. Dramacool
2. DramaGo
3. GoodDrama
4. DramaGalaxy na
5. Dramanice
Sent from The Black Forest
Pole.... Inaitwaje
Wazungu wanajua Kucheza Picha za Kutisha na Kichawi. Hapa wazungu wamebobea. Wakorea wanavitu vingi sana ambavyo huweza kuvuta hisia za mtazamaji akashea Feeling na Muigizaji wa kwenye Tamthilia husika.Ukiacha hizo historical ila bado mi naona kama wakorea wana vitu tofauti drama za kizungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakubaliana na wewe mkuu.Wazungu wanajua Kucheza Picha za Kutisha na Kichawi. Hapa wazungu wamebobea. Wakorea wanavitu vingi sana ambavyo huweza kuvuta hisia za mtazamaji akashea Feeling na Muigizaji wa kwenye Tamthilia husika.
Dramabus, nimejaribu dramacool na dramafirePole.... Inaitwaje
Sent from The Black Forest
Ooh sorry,nilikuwa sijaelewa swali ni The Great Queen SeondeokSeries inaitw 'Dramabus'?
Sent from The Black Forest
Hiyo mbona ipo Dramacool bro
Nikijaribu kusearch wanasema hawana content inayomatch my keyword au nakosea kuiandika?Hiyo mbona ipo Dramacool bro
Sent from The Black Forest
Hukosei ila mmetofautiana tu majina na wao. Entry yao sio kama unavyoiandika wewe. Nimekuandikia tayari hapo juu.Nikijaribu kusearch wanasema hawana content inayomatch my keyword au nakosea kuiandika?
Sent using Jamii Forums mobile app
Karibu
Series inaitw 'Dramabus'?hiyo ni site ya kudownload series
Sent from The Black Forest
likizo yako ulioamua kuchukua muda wake umeshamalizika?
Hahaa Damushin sunbae katika ubora wako uliotukuka, bado nipo likizo ila nimejiiba tu kidogo. Be blessedlikizo yako ulioamua kuchukua muda wake umeshamalizika?
unywaji pombe kupita kiasi ni faida kubwa sana kwa mzalishaji na serikali kwa sababu serikali inategemea kodi ya ulevi kwa asilimia kubwa ili ipate kujiendesha.
- QuickDrama – Watch Full Episodes Free HD on QuickDrama : ndio chaguo langu la kwanza pindi ninapohitaji current drama, hawachelewi kuweka episode pindi inapomalizika kuwekwa subtitle lakini video quality mwanzo ni 480 (hd).
- Watch free Drama Online at Dramanice : uzuri wa hii tovuti wanaweka project za nchi tofauti, project za miaka mingi iliopita pia wanazo kwenye database yao.
- https://kissasian.es/ : sifa yao kubwa na wao pia wana project nyingi za zamani, udhaifu wao mkubwa wanachelewa kuweka new episode na unaweza kusubiri siku tatu.