Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Damushin Chingu,

Twende Tukamuibe Jong Suk Wotee.

Sikua Namuelewa! Ila tangu Hymn of Death na Hii Lol!

Unaangalia Uigizaji Unaokuleta kwenye Maisha Halisi!

Hii Drama Ni Nzuri Sana.
neee chingu, unataka kunimabia hukuvutiwa na while you were sleeping drama?
commooon ahjumma wangu mtarajiwa

halafu unataka niwekwe segerea za korea ilii nikakutanishwe na mabonge watemi wanitoe meno ya mbele.
mhhhhhh kamuibe peke yako kama rahisi,

halafu sasa ukimuiba muda huu utashutumiwa kama umefanya mpango huo ili umzuie asitumikie public service kwa miaka 2.
teh teh teh​
kama namuona lee jong suk anavyo fall in love kwa single mother anayeitwa da ni.

nani aliyekwambia mapenzi yana habari za kaka na dada wa uongo?
cheza na serikali ila si hisia za mwanadamu mwenye utimamu wa fikra na maamuzi.
 
Ooh sorry,nilikuwa sijaelewa swali ni The Great Queen Seondeok

Sent using Jamii Forums mobile app
mbona unanilazimisha nianguke chini kama wazee wa bungeni waliposikia alarm ya furaha dada yangu mpendwa?
hivi ile 10 years challenge haihusiani na korean drama?

hizo drama ndefu kama katiba ya Congo zilizotengenezwa miaka 10 iliopita muachie yule ahjumma mtarajiwa mwengine anayepambana na king gwanggaeto drama muda huu.
hahahahahahahaaaaaaa.​
mtafute kwanza baba mtarajiwa uangalie project yake mpya na kama utakutana na makosa basi umsahihishe ili azidi kusonga mbele.
shauri yako ukifanya masihara wapinzani wako watakusomesha namba kama za AL AHLY ya Mtwara.

huyo mwanamke anaitwa lee min jung : mke halali wa lee byung hun, mmoja kati ya wanawake wavumilivu kwenye ndoa, usiniulize kwa nini
huyo mwanamme anaitwa jo sang wook : mume halali wa cha ye ryun na khantwe kwa ndoa ya ndoto.

kiss scene kama kawaida na wote wana watoto, aminas una la kusema muarabu wewe wa misri?
  1. Fates & Furies – QuickDrama – Watch Full Episodes Free HD on QuickDrama
  2. Fates & Furies at Dramanice
  3. https://kissasian.es/Drama/Fates-amp-Furies-2018/
 
Yaani!

Iyo While Sikuilewa Sana Kama Hii!

Umu ndani Jong Suk Kacheza! Yaani Unaona Ule Uhalisia Unaokudumkiza Shimon Yaani!

Bonge la Drama! Ukubwa wa Dan i Pia Unachangia Kuifanya Drama Kuwa ya Kiutuuzima Zaidi!

Nimeipenda kiukweli.
 
Ninalo, Bogoshipseyo
 
Iyo Avatar Naiomba
 
Hivi sunbae kwa nini unapenda kunikata stimu lakini? Unajua nilivyojikoki kuiangalia hiyo drama wewe sasa unaniletea nini hii na unajua fika mimi kwa huyu hendsam sipindui....kwanza niulize ni ongoing?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
jana huku kwetu takribani watanzania million 10 walikuwa wanasherehekea kutimiza miaka 42 kwa chama cha pindua pindua.
kule kwetu tulikuwa tunafurahia Seollal (Lunar New Year) holiday pia kurudi uraiani kwa kijana wetu anayeitwa joo won.
jamani joo won ni mwanamme wa mikoani rasmi kuanzia sasa, tafadhalini munapompelekea zawadi musimnunulie subway, espresso, americano.
zawadi zinazomvutia zadi ni pombe ya mchele, keki za maharage, supu ya mkia wa nguruwe, ulimi wa paka n.k

Hivi sunbae kwa nini unapenda kunikata stimu lakini? Unajua nilivyojikoki kuiangalia hiyo drama wewe sasa unaniletea nini hii na unajua fika mimi kwa huyu hendsam sipindui....kwanza niulize ni ongoing?

Sent using Jamii Forums mobile app
iyo queen seon deok imeigizwa nyakati ambazo bwana yule steven wassira bado alikuwa ni handsome boy kuliko joo won, achana nayo kwa amri kutoka muhimili wa juu usiopingwa na yoyote ndani ya thread hii.😛😛
fates and furies drama inatarajiwa kumalizika siku ya jumamosi.

achana na vurugu uchwara, hivi umesahau kama nyakati hizi haturuhusu fujo za makusudi?
 
Kwani Damushin sunbae leo umekula nini? Sawa nitaangalia hii lakini hiyo nyingine nitaangalia pia kisirisiri kwani utajua[emoji85]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaaaaah, hii kitu acha aise..ndo leo nimemaliza last episode...wakorea wanajua kufikiria na kuinvest kwenye movie zao..ukiangalia hii series utagundua watu wanatumia akili nyingi sana kuandaa hizi drama...Mzee Le Gangmo ni mtu mmoja matata sana toka utotoni, ila nimempenda sana Jo Prelyo (cjapatia) na uroho wake wa madaraka na roho mbaya alokuwa nayo..hlf nae ana machale kama yote anaweza kuunganisha dots sana.

Hii series kiukweli imenitoa vichozi kama mara 7 hivi..kuna scenes zinasisimua sana aise....mshikaji wangu Park sotae mwisho kawa gentleman licha ya umapepe wote alokuwa nao...mtu makini Le Seongmo kanisikitisha sana alivyopata uchizi na kufariki baadae!

All in all, hii drama nimeiongeza ktk A list yangu ya series za korea nilizowahi kuziangalia ukiondoa IRIS inafuatia hii, akili kubwa zilizotumika kwa characters ndo zimenifanya nizi rank hivyo.

Now nataka nihamie kwa Yi dong joo naona watu wanaisifia sana humu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
tafuta GIANT hutojutia..angalia mpaka mwisho bila kuchoka...mwanzoni unaweza usiielewe but ipe muda...huko mbele lazima vichozi vya emotion vikutoke

Sent using Jamii Forums mobile app
 
daaaaaaah, hii kitu acha aise..ndo leo nimemaliza last episode...wakorea wanajua kufikiria na kuinvest kwenye movie zao..ukiangalia hii series utagundua watu wanatumia akili nyingi sana kuandaa hizi drama...Mzee Le Gangmo ni mtu mmoja matata sana toka utotoni, ila nimempenda sana Jo Prelyo (cjapatia) na uroho wake wa madaraka na roho mbaya alokuwa nayo..hlf nae ana machale kama yote anaweza kuunganisha dots sana.

Hii series kiukweli imenitoa vichozi kama mara 7 hivi..kuna scenes zinasisimua sana aise....mshikaji wangu Park sotae mwisho kawa gentleman licha ya umapepe wote alokuwa nao...mtu makini Le Seongmo kanisikitisha sana alivyopata uchizi na kufariki baadae!

All in all, hii drama nimeiongeza ktk A list yangu ya series za korea nilizowahi kuziangalia ukiondoa IRIS inafuatia hii, akili kubwa zilizotumika kwa characters ndo zimenifanya nizi rank hivyo.

Now nataka nihamie kwa Dang jo naona watu wanaisifia sana humu.
GIANT ndiyo habari ya mjini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…