Search Youtube mkuu...Descendants of of the sun ostMsaada jamani namna ya kupata full theme song ya "Descendants of the Sun"
Sent from The Black Forest
Ahsante mkuu
Kingdom, crowned clown
SungKyunKwan Scandal
Enconter
Weekend ilikua murua sana
3 days nailewa sana sijaona nyengine katika drama za aina hii,hakuna scene inayonifurahisha kama ile scene rais anakimbia barabarani kuokoa maisha yake[emoji1][emoji1]Series yangu bora ya muda wotee toka korea... zinafuata Kingdom of wind na JumongView attachment 1021826
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Akili iliyitumika kuandaa hi muvi noma sana..Yaani rafiki wote wa muheshimiwa wanamuwinda wamuue!!3 days nailewa sana sijaona nyengine katika drama za aina hii,hakuna scene inayonifurahisha kama ile scene rais anakimbia barabarani kuokoa maisha yake[emoji1][emoji1]
Sent using Jamii Forums mobile app
Series yangu bora ya muda wotee toka korea... zinafuata Kingdom of wind na JumongView attachment 1021826
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
Habari wakuu! Naomba msaada website gani ambayo ntapata series nzuri kwa mtindo wa 240p version au hata MP4 yaani less MB let say chini ya 100MB au hata ikikaribia 150MB sio mbaya maana nakutana na ma 1080p ambayo ina ma GB mengi pia kwangu sioni umuhimu wake maana tu hata nikipata version ya 240p naona clear kabisa kwenye simu naomba msaada kwa hili Tafadhari.
Mwanzo nilikuwa na Tazama Super HD lkn baadaye Dramacool na Dramanice wakaleta solution ambayo unaweza kutazama episode ya dk 57- 70 kwa MB 118- 190 ukiingia dramacool utaona hizo solutionHabari wakuu! Naomba msaada website gani ambayo ntapata series nzuri kwa mtindo wa 240p version au hata MP4 yaani less MB let say chini ya 100MB au hata ikikaribia 150MB sio mbaya maana nakutana na ma 1080p ambayo ina ma GB mengi pia kwangu sioni umuhimu wake maana tu hata nikipata version ya 240p naona clear kabisa kwenye simu naomba msaada kwa hili Tafadhari.
Damushin
Da'Vinci
Asanteh mkuu ila sijafanikisha hilo bado.Mwanzo nilikuwa na Tazama Super HD lkn baadaye Dramacool na Dramanice wakaleta solution ambayo unaweza kutazama episode ya dk 57- 70 kwa MB 118- 190 ukiingia dramacool utaona hizo solution