haijakuchosha????
haijakuchosha????
uchochezi
ndio ukamtuma rafiki yako kipenzi aje anirushie kichambo kuliko cha instagram?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hakika wewe ni mchochezi, na nisipoimaliza hii drama una kesi ya kujibu
Sent using Jamii Forums mobile app
Rafiki yangu nani? Nifah?ndio ukamtuma rafiki yako kipenzi aje anirushie kichambo kuliko cha instagram?
😛😛😛
endelea kuiangalia mpaka atakapoingia mwanadamu anayeitwa kim nam gil (bi dam)
View attachment 1023906
hili neno akulaani lina maana gani huko upande wa pili?
kwetu sisi maana yake ni pesa au utajiri.
😛😛😛
kama maandishi yangu yalivuka mipaka nakuomba radhi ila na wewe unadhani huyu Khantwe anaweza kuangalia drama yenye episode 60 bila ya kuiba mchumba?
ngoja tumuulize amefika episode ya ngapi tokea aweke nia ya kutaka kuifuatilia queen seondeok.
umemuonaje mfalme gwanggaeto?
ahsante Mungu kwa kumuondoa go damdeok duniani akiwa bado na umri wa miaka 38, kwa balaa alilokuwa nalo kama angelifikisha miaka 60 huenda angelitembeza kipigo mpaka huku kwetu kwa waarabu koko.
pengine leo hii damushin angelikuwa ni uzao wa general komu wa goguryeo.
😀😀😀
ndio ukamtuma rafiki yako kipenzi aje anirushie kichambo kuliko cha instagram?
😛😛😛
endelea kuiangalia mpaka atakapoingia mwanadamu anayeitwa kim nam gil (bi dam)
View attachment 1023906
Siku ya ndoa yako na Roy kim tutawapigia huu wimbo...
Sent from my GT-I9300 using Tapatalk
hahahahaaaaaaa roy kim amenambia nimjibie kwa njia hii kwa sababu hana maneno mengi kama ilivyo juisi ya mgonjwa wa kisukari.
Hahahahahaha!hahahahaaaaaaa roy kim amenambia nimjibie kwa njia hii kwa sababu hana maneno mengi kama ilivyo juisi ya mgonjwa wa kisukari.
Da'Vinci bado utashikilia msimamo wako wa kuandaa mikakati ya ndoa na huyu ahjumma mtarajiwa baada ya miaka 20 wakati hajawahi kuwa wakwangu?
ndoa za kulazimishwa kama mbuzi anayetaka kunywa maji ya mto mimi siwezi
drama : familiar wife
starring : ji sung na han ji min
ost : no longer mine
muimbaji: roy kim
inawezekana nimemuelewa vibaya, ila kwa kuwa anapendelea basi si vibaya ila sijui kama muhusika mwenyewe roy kim / damushin na yeye anapendelea hilo wazo la da'vinci?Hahahahahaha!
Anayekulazimisha Ni Nani!?
au Tu Vinci angependa Kumuona roy kim Akifanya Haya!
na Anapenda Kuona Si Kukulazimisha!
Kwani Lazima Uwe Vile ambavyo Binadam Anapenda Uwe au Ufanye kila Kimfurahishacho Mtu hata Kama We Kinakuumiza!!inawezekana nimemuelewa vibaya, ila kwa kuwa anapendelea basi si vibaya ila sijui kama muhusika mwenyewe roy kim / damushin na yeye anapendelea hilo wazo la da'vinci?
Roy Kim (로이킴) – Only Then
nimejaa bando la internet kama bakhressa na fedha zake za unga wa ngano
umemaliza bakuli zima la chakula cha maneno sielewi mimi nitapata wapi maneno ya kuondolea njaa yangu.Kwani Lazima Uwe Vile ambavyo Binadam Anapenda Uwe au Ufanye kila Kimfurahishacho Mtu hata Kama We Kinakuumiza!!
We Upendi na Wala Huwazi Ila Yeye Anapenda Kuona Ikitokea Ivyo Labda!
Lakini Yote ya Yote We Kwangu Ni Chinguya tena Lovely Chinguya! Hayo Mengine tumuachie Vinci Kwa Sasa
Nauku Tukifurahia Ushindi Wetu Wa Leo.
Ahsante Sana!umemaliza bakuli zima la chakula cha maneno sielewi mimi nitapata wapi maneno ya kuondolea njaa yangu.
hongera kwa ushindi wa jana dhidi ya mtani wako lakini muwe munawasaidia fedha ya matumizi kwa sababu hali yao hairidhishi kwa kipindi hiki cha mpito.
kama unatumia software ya IDM itapendeza zaidi.Jamani, mimi mwenzenu nimekuja huku kwasababu nimenuniwa. Leo ni siku ya tatu tangu niulizwe namna ya kupakua hizi series za kikorea. Sasa mimi kila siku naonekana nikipakua zile ninazoangalia mimi kupitia The Pyratebay, naonekana nimedharau.
Naomba mnisaidie site na namna a kupakua hizi series za Kikorea.
Natanguliza shukrani
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo ndipo tunapokosanaga ukinisimulia drama mimi mzuka unakata kabisa kuangalia yani daah hapa umeshanikata stimu inabidi nikusanye tena nguvu za kuanza kuangaliaJamani jamani Khantwe achana na Bidam
Wewe chagua kati ya Archeon au Kim Yushin
Japo Bidam alinikera sana kwa kukosa imani juu ya Deokman iliyopelekea adanganywe kirahisi ila bado ni my favorite ktk hii series pendwa.
Ila Mishil kiboko jamani, halafu kazuriiiiii na ana akiliiii dah. Sio kwa kuichanganya kule mibaba, alijua kuutumia uzuri wake haswaaa.
Mimi yule kaka yake mjingamjinga ananiachaga hoi [emoji23][emoji23][emoji23]
Hakuna drama ambayo nimewahi kuvunjika mbavu kama hii kwenye scene za comedy
Jukbang na Godo niliwapenda sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hapo ndipo tunapokosanaga ukinisimulia drama mimi mzuka unakata kabisa kuangalia yani daah hapa umeshanikata stimu inabidi nikusanye tena nguvu za kuanza kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
yes upo sahihi, mwili wa lee tae gon ulikuwa ni zawadi tosha ya kumfanya aweze kuutendea haki uhusika wa mfalme gwanggaeto.Cursed
Nilichukua likizo kidogo ya wiki mbili/tatu hivi maana niliangalia drama nyingi mfululizo mpaka kichwa kikawa kinauma.
Niliishia episode ya 54... jamaa nimemkubali sana vile mwanaume wa ukweli.
Huyu ndio mfalme sasa, mfalme jasiri anayeamini ktk kile anachokifanya na uzuri zaidi anawasikiliza wasaidizi wake.
Ajabu hajanivutia kivingine kama Song Ill Gook hahaaaaa
Labda vimasikio vyake tu viko kama vyangu, lol
Leo narudi upya kuiangalia, nina list kibao za kuangalia na zote nitazimaliza kwani nimeziba masikio sitaki kusikia makelele yenu ya drama zenu mpya.
Sent from my iPhone using JamiiForums