Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Daemushin alikuwa mfalme asiyekuwa na Busara na alikuwa na mawazo hasi juu ya wanawake, lkn bado watu walitumikishwa kama tulivyoona( mtu anakua ngazi) kwa kweli mfalme Cho-Li alikuwa na Busara sana. Ila kwa Jeoson Lazima tukubali Sejong was Great ruler, JeongJo pia alikuwa bora alijaribu kuondoa masuala ya matabaka katika Jamii.What about Daemushin au Muhyul (Grandson wa Jumong) ambaye yuko portrayed vizuri kwenye THE LAND OF THE WINDS and JA MYUNG GO
Sent from The Black Forest
Vp The great seer?Jumong
Empire of the Sea
Land of Wind
Slave hunter
A man called God
Gybek
Dae Jo Young
Lobisty
Hizi ndio zilikuwa series kali, za sasa hivi ni umbea, ushoga na animation tupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Nichek DM tuongee diliDownload movie na Season buree
Download Seasons&Movies SD&HD Quality In Your Android Phone For Free
[emoji956][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji390]
https://t.co/JDzeaDLSXuView attachment 1033121View attachment 1033122
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwenye Hiyo List Inaonesha Unamkubali Sana Song Il-GookJumong
Empire of the Sea
Land of Wind
Slave hunter
A man called God
Gybek
Dae Jo Young
Lobisty
Hizi ndio zilikuwa series kali, za sasa hivi ni umbea, ushoga na animation tupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hizo ndio za maana Sana kuliko za wavaa suti, Ongeza Gwanggaeto the great!Jumong
Empire of the Sea
Land of Wind
Slave hunter
A man called God
Gybek
Dae Jo Young
Lobisty
Hizi ndio zilikuwa series kali, za sasa hivi ni umbea, ushoga na animation tupu!
Sent using Jamii Forums mobile app
ukiyapitia maeneno ya kujidai ya professor lipumba kuna kanuni fulani inaitwa utility (the total satisfaction received from consuming a good or service) .Best chicken kama una njaa,hujala kuku karne kama zotee usiangalie. Pia story sio tamu kivile
ukiyapitia maeneno ya kujidai ya professor lipumba kuna kanuni fulani inaitwa utility (the total satisfaction received from consuming a good or service) .
hii theory nimekuwa nikiitumia hadi kwenye ulimwengu wa korean drama, nakumbuka hii drama ya the best chicken niliihifadhi
episode 4 za mwanzo kipindi kile ndio kwanza inaanza kuonyeshwa.
niliangalia takribani dakika 10 za mwanzo bahati mbaya haikunifanya niwe na uchu, hamu (satisfaction) kuiendeleza hivyo basi niliamua kuzifuta episode zote 4.
haijalishi dunia nzima waisifie drama fulani kuwa ni bora kama kiupande wangu hainipi mzuka wa kuifuatilia basi ni sawa sawa na ushindi wa Tanzania endapo lesotho atakapopata ushindi.
mfano mwengine kuna drama inaitwa let me introduce her ambayo kuna binti fulani aliniomba nimtafutie, hii ni wiki ya tatu nimeihifadhi kwenye PC lakini mzuka wa kuiangalia sina, naisubiria siku tutakayokutana tena maeneo ya uchawini nimkabidhi mzigo wake then niuhamishe kwenye macho yangu.
Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu
Hio ya let me introduce her huwa naipita na sijui kwanini haijanishawishi kuvuta hata episode moja.
Hivi ID Damushin uliitoa kwa yule mfalme ndani ya Princess Ja myung Go au?
dah ! kumalizika kwa romance is a bonus book kiupande wangu bado muda huu natafuta drama ya kuziba nafasi yake kwa week end drama.Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu
dah ! kumalizika kwa romance is a bonus book kiupande wangu bado muda huu natafuta drama ya kuziba nafasi yake kwa week end drama.
kweli binadamu tunatofautiana kifikra.
TvN project zao nyingi ni nzuri hata kama ni maudhui ya comedy, nitakapoiongeza hii kwenye list itanilazimu kwa kila jumatatu na jumanne nizisubirie drama tatu, kwa kipindi hiki nazifuatiliaChukua hii He is psychometric japo sijaiangalia nasubiria iishe ndo niivute yote. Kuangalia ongoing tabu sana na kuivuta yote kisha ikawa flop napo shida.
TvN project zao nyingi ni nzuri hata kama ni maudhui ya comedy, nitakapoiongeza hii kwenye list itanilazimu kwa kila jumatatu na jumanne nizisubirie drama tatu, kwa kipindi hiki nazifuatilia
- haechi drama (inamaliza April 30)
- item drama. (inamaliza April 2)
Lee Bang Ji anatandika wote uliowaweka hapo..!Tumalize Utata Bidam rang Vs Dang sae(Lee bang ji)
Gukseon Muno vs Chuk sagwa
Chilsuk vs Giltae mi
nipe mshindi hapo.
episode 48 kwa wastani wa dakika 30 lakini kiuhalisia ni episode 24.Duh haechi ndefu episode 48 si mchezo