Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hapo sawa,naisubiria iishe niivute

Anyway team uzalendo hongera
episode 48 kwa wastani wa dakika 30 lakini kiuhalisia ni episode 24.
public broadcasting kama MBC, SBS, KBS wamekuwa wakiweka matangazo katikati ya kipindi tofauti na vyombo binafsi kama kama vile TvN, OCN, tv Chosun.
 
Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu

Hio ya let me introduce her huwa naipita na sijui kwanini haijanishawishi kuvuta hata episode moja.

Hivi ID Damushin uliitoa kwa yule mfalme ndani ya Princess Ja myung Go au? Yule jamaa simfagilii kabisa ila malkia wake mbishi jamani khaa kwa kifupi kichwa ngumu ila nilimfagilia kwa jitihada zake pamoja na misukosuko yoote bado akafanikiwa kupata akitakacho. Hodong wa utoton wazuri sana.
Hivi?! Pale Jamyung alipokuwa ameingiliwa na sumu hivi ile Meditation aliyokuwa anafanya ndo ya kufungua jicho la tatu eeh!
 
yes, wenyewe walimwita DAEMUSIN (mtakatifu asiyeshindwa kwenye vita).​
hadithi yake ilianzia kwenye kingdom / land of the wind drama japkuwa baadhi ya plot ni uongo kwa sababu muhyul alikulia ndani ya royal family tokea kuzaliwa kwake.
Heshima kwako sikuwahi kufikiri kama nitakutana na mtu mkali zaidi yangu kwenye historia ya mashariki ya mbali. Sasa nitajifunza toka kwako masula hayo.
 
Damushin yupo vizuri sana kwenye historia ya wakorea,tafuta mabandiko yake ndani ya uzi huu utapata maarifa mengi zaidi
Heshima kwako sikuwahi kufikiri kama nitakutana na mtu mkali zaidi yangu kwenye historia ya mashariki ya mbali. Sasa nitajifunza toka kwako masula hayo.
 
Hapo sawa,naisubiria iishe niivute

Anyway team uzalendo hongera
yule jamaa alitimiza ahadi yake ya vinywaji kushushwa bei?
kumbe huko kwenu kuna maduka ya vinywaji ya serikali?

siku atakayotangaza atashusha bei ya nafaka endapo wana daresalama watakapokubali kupimwa tenzi dume naomba unipe taarifa tafadhali.

mpira wa Afrika naufuatilia ndani ya JF pekee hivyo basi hata ukiniuliza wafungaji wa magoli wa mechi ya juzi siwezi kuwataja mpaka nitembelee kwenye search engine kwanza.
 
Mother of Mine (My Prettiest Daughter In The World)
Numbisa hivi unawezaje kuzifuatilia family drama bila ya kuchoka?
kwa mujibu wa hizi takwimu ni rasmi inaonekana wakorea wanavutiwa zaidi na family drama zinazoonyeshwa weekend. Baada ya kumalizika kwa my only one drama hatimaye shirika la KBS wamekuja project inayoitwa mother of mine.

ni hadithi inayomzungumzia mwanamama anayeitwa Park Sun-Ja mwenye kumiliki biashara ndogo ya mgahawa, amebahatika kupata watoto watatu wa jinsia ya kike.
mtoto wake wa kwanza anaitwa Mi-Sun ambaye nayeye amebahatika kupata mtoto wa kike.
mtoto wake wa pili anaitwa Mi-Ri ( anampenda sana mama yake), anajikuta akiwa kwenye mahusiano na bosi wake anayeitwa Tae-Joo ambaye ni kijana mdogo anayemiliki kampuni.
mtoto wake wa mwisho anaitwa Mi-Hye aliyekuwa na ndoto za kuwa muandishi hadithi (riwaya).

kwa mujibu wa taasisi ya Nielsen Korea
episode 1 (jumamosi) = iliangaliwa 22.6%
episode 2 (after break) = iliangaliwa 26.6%

episode 3 (jumapili) = 24.0%
episode 4 (baada ya matangazo) = 28.2%

next episode kwa mwendo huu itagonga 30% kwa kuangaliwa live nchini korea.
family drama zina siri gani ambayo sijaifahamu mpaka leo hii?
mbona zinanishinda kuzifuatilia huku wenzangu wakiwa na uwezo wa kuzifuatilia kwa wiki 25 mfululizo kwa sababu family drama nyingi zina episode kuanzia 50.

1553557817391.png

  1. Watch Mother of Mine Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch Mother of Mine Episode 2 online at Dramanice
  3. Mother of Mine Episode 1 1 x 1 Watch Online | QuickDrama - Kizibox
  4. Mother of Mine Episode 2 1 x 2 Watch Online | QuickDrama - Kizibox
 
WAIKIKI SEASON 2
Kwa wale wapenzi wa comedy season 2 ya waikiki imeanza rasmi siku ya jana, haijalishi hukubahatika kuangalia season 1 hii inakuhusu kuifuatilia.
unapaswa mbavu zako uzipeleke kwanza kwa fundi seremala apate kuziweka sawa zisije zikavunjika (ni amri na si ombi) kabla hujaingia kwenye ulimwengu wa waikiki.

aminas japokuwa bado unaendelea kusherehekea ushindi wa simba, na Taifa stars pindi utakapomaliza kugonga chupa zako za soju ya makonda naomba urudi kijiweni kwetu kabla sijachukia tafadhali.

Lee Yi Kyung a.k.a mzee wa gwenchanah gwenchanah ndiye muigizaji pekee aliyeshiriki season 1 na 2.
namnukuu director Lee Chang Min:

lee yi kyung amekuwa akija mara kwa mara ofisini kwangu, sikufikiria mara mbili kufanya maamuzi ya kumchagua tena kushiriki season 2. Kuhusu kuwachagua waigizaji wengine aliendelea kusema takribani waigizaji wote wana viwango vikubwa, nilitaka kuonyesha upande mwengine wa vipaji vyao vya uigizaji (comedy) na kiukweli nilikuwa nikiwagombeza mara kwa mara pindi wanapofanya makosa
1553559716883.png

lets go (가자 = gaja)
nimemkumbuka my beautiful chewbacca na style yake ya muharmusi fashion style
1553560026478.png

  1. Watch Eulachacha Waikiki 2 Episode 1 online at Dramanice
hii taarifa nimeiona wakati ambao bando langu limebakia mb 350, pumbavu nitaitafuta magharibi ya leo inshaallah ep 1 pamoja na 2 kama itakuwa imeshawekwa subtitle na viki.

update:
episode 1 ya season 1 iliangaliwa kwa asilimia 1.7.
episode 1 ya season 2 imeangaliwa kwa asilimia 2.118.

tusisahau JTBC ni cable tv hivyo basi ni tofauti na mashirika ya umma kama vile MBC, KBS, SBS kwa kufuatiliwa, unaweza kukuta hata huko korea kuna watu ni mwendo wa TBC mchana kutwa.
 
Attachments

  • 1553559836605.png
    1553559836605.png
    767 KB · Views: 39
ahadi yangu ya kupunguza ulevi sijui kama itakwenda kutimia?
kila drama ninayoamua kuifuatilia inanipa mzuka, hawa wakorea ni wajinga sana haiwezekani kila siku wanakuja na hadithi zenye utofauti. Hata ukikuta muandishi stori yake inazungumzia mapishi ya ugali au sembe basi itakuvutia.
waafrika tunashindwa wapi?
capital, resource, market, infrastructres, technology?

wenzetu wametumia gereza na wamefanikiwa kulitengenezea hadithi nzuri sisi bado tunasherehekea kupatwa kwa jua mkoa wa mbeya kwa msaada wa CCM.

DOCTOR PRISONER
B
onge ya drama si kwa upana kama wa lemutuz bali kwa ubora wa stori na waigizaji, kama nawaona KBS mwaka huu wameamua kurudi kwa nguvu ya rangi ya zambarau.
Namgoong min amerudi tena akiwa kama ni daktari aliyebobea kwenye upasuaji.
ilikuwaje akafukuzwa kazi?
ilikuwaje akaishia kuwa ni daktari wa gerezani?
je lengo lake la kumpindua director mkuu wa sekta ya afya ndani ya gereza atafanikiwa?

usilipe kisasi kama huna uwezo wa kulipa kisasi
huwezi kuapply msemo wa jino kwa jino haliyakuwa umejaa mapengo
ni kila siku ya jumatano na alhamisi ndani ya KBS 2.
1553561588368.png

  1. Watch Doctor Prisoner Episode 1 online at Dramanice
  2. Watch Doctor Prisoner Episode 2 online at Dramanice
 
ule jamaa simfagilii kabisa ila malkia wake mbishi jamani khaa kwa kifupi kichwa ngumu ila nilimfagilia kwa jitihada zake pamoja na misukosuko yoote bado akafanikiwa kupata akitakacho. Hodong wa utoton wazuri sana.
hodong wa utotoni ndiye Yeo Jin-Goo miaka 10 iliopita.
1553562177043.png
1553562235868.png
 
Daemushin alikuwa mfalme asiyekuwa na Busara na alikuwa na mawazo hasi juu ya wanawake, lkn bado watu walitumikishwa kama tulivyoona( mtu anakua ngazi) kwa kweli mfalme Cho-Li alikuwa na Busara sana. Ila kwa Jeoson Lazima tukubali Sejong was Great ruler, JeongJo pia alikuwa bora alijaribu kuondoa masuala ya matabaka katika Jamii.
mkuu unamzungumzia mfalme daemushin kama muhunii fulani aliyepoteza muelekeo wakati wa utawala wake, umesahau kama ubabe wa goguryeo ulianzia wakati wa utawala wake mpaka kufikia kupewa heshima ya DAEMUSIN ( the god of war)

umesahau ya kwamba ni daemushin ndiye aliyeitwanga na kuisambaratisha Eastern Buyeo ambako ndiko alikotokea babu yake ambaye ni jumong, Daeso na ubishi wake alifariki kupitia mikono ya muhyool daemusin.

My late ancestor(jumong) was a descendant of the gods,” Muhyul sent in reply to daeso, “moreover, he was a worthy man with many talents. Yet, being jealous, Your Majesty injured him with slander to Your father(king geumwa), then King, so that my ancestor was degraded to the wretched status of stable boy. This is why he was unhappy and left. Now, without taking Your own faults of former days into account, Your Majesty is relying solely on your great multitude of troops, treating our land with contempt. I request the envoy report this to Your Majesty: that now eggs are piled up here; if Your Majesty does not upset them, then I shall be able to serve You as subject, but not otherwise.”

huu mkwala mzito uliojaa maneno ya busara na dhihaka ndani yake anampiga daeso ambaye ni kama babu yake nyakati hizo ndio kwanza hajaingia kwenye ujana, shikamoo daemusin
 
OCN OCN OCN
hawa jamaa hawana project mbovu na kama ni mpenzi wa criminal, action, ivestigation, horror na mengineo hii televisheni inakuhusu.
baada ya kumalizika kwa trap kituo cha OCN wamekuja na project hii, kuna baadhi ya wanadamu kiupande wao hufurahia zaidi kutoa uhai wa viumbe vyengine kwa sababu dhaifu.
KILL IT
Kim Soo-Hyun (Chang Ki-Yong) is an elite assassin. He kills his targets and disappears. His identity like race, age or name is unknown to others. Individuals, gangs and organizations from all over the world hire Kim Soo-Hyun. Deep within his mind, he wants to have affection from people. Now, Kim Soo-Hyun has to kill to find his family.

Do Hyun-Jin (Nana) graduated at the top of her class from a police university. She is an excellent detective who is also arrogant. She is usually dressed fashionably. Do Hyun-Jin comes across as cold-hearted, but she sympathizes with those in painful situations. Now, Do Hyun-Jin chases after Kim Soo-Hyun to reveal a mystery related to her lover's death.

mkuu unamzungumzia mfalme daemushin kama muhunii fulani aliyepoteza muelekeo wakati wa utawala wake, umesahau kama ubabe wa goguryeo ulianzia wakati wa utawala wake mpaka kufikia kupewa heshima ya DAEMUSIN ( the god of war)

umesahau ya kwamba ni daemushin ndiye aliyeitwanga na kuisambaratisha Eastern Buyeo ambako ndiko alikotokea babu yake ambaye ni jumong, Daeso na ubishi wake alifariki kupitia mikono ya muhyool daemusin.

My late ancestor(jumong) was a descendant of the gods,” Muhyul sent in reply to daeso, “moreover, he was a worthy man with many talents. Yet, being jealous, Your Majesty injured him with slander to Your father, then King, so that my ancestor was degraded to the wretched status of stable boy. This is why he was unhappy and left. Now, without taking Your own faults of former days into account, Your Majesty is relying solely on your great multitude of troops, treating our land with contempt. I request the envoy report this to Your Majesty: that now eggs are piled up here; if Your Majesty does not upset them, then I shall be able to serve You as subject, but not otherwise.”

huu mkwala mzito uliojaa maneno ya busara na dhihaka ndani yake anampiga daeso ambaye ni kama babu yake nyakati hizo ndio kwanza hajaingia kwenye ujana, shikamoo daemusin
Nakubali alikuwa mzuri wa vita akapewa sifa ya God of war lakini miye nazungumzia katika masula ya ndani ya Nchi.
 
Ahadi haikutimizwa watu walizunguka mji mzima mara waambiwe huku kuna ofa wakienda patupu mara hotel nyota tano zimepunguza bei wakati linaloitwa punguzo ndo bei halisi ya bia za mtaani

Tupo pamoja kwenye soka la Afrika nipo mbali nalo kabisa,mpira hakuna zaidi ya siasa za kujuana
yule jamaa alitimiza ahadi yake ya vinywaji kushushwa bei?
kumbe huko kwenu kuna maduka ya vinywaji ya serikali?

siku atakayotangaza atashusha bei ya nafaka endapo wana daresalama watakapokubali kupimwa tenzi dume naomba unipe taarifa tafadhali.

mpira wa Afrika naufuatilia ndani ya JF pekee hivyo basi hata ukiniuliza wafungaji wa magoli wa mechi ya juzi siwezi kuwataja mpaka nitembelee kwenye search engine kwanza.
 
Hizi zinapendwa sababu zina visa na mikasa ya kueleweka ndani ya familia za jamii husika

Back
Top Bottom