Mother of Mine (My Prettiest Daughter In The World)
Numbisa hivi unawezaje kuzifuatilia family drama bila ya kuchoka?
kwa mujibu wa hizi takwimu ni rasmi inaonekana wakorea wanavutiwa zaidi na family drama zinazoonyeshwa weekend. Baada ya kumalizika kwa my only one drama hatimaye shirika la KBS wamekuja project inayoitwa
mother of mine.
ni hadithi inayomzungumzia mwanamama anayeitwa Park Sun-Ja mwenye kumiliki biashara ndogo ya mgahawa, amebahatika kupata watoto watatu wa jinsia ya kike.
mtoto wake wa kwanza anaitwa Mi-Sun ambaye nayeye amebahatika kupata mtoto wa kike.
mtoto wake wa pili anaitwa Mi-Ri ( anampenda sana mama yake), anajikuta akiwa kwenye mahusiano na bosi wake anayeitwa Tae-Joo ambaye ni kijana mdogo anayemiliki kampuni.
mtoto wake wa mwisho anaitwa Mi-Hye aliyekuwa na ndoto za kuwa muandishi hadithi (riwaya).
kwa mujibu wa taasisi ya Nielsen Korea
episode 1 (jumamosi) = iliangaliwa 22.6%
episode 2 (after break) = iliangaliwa 26.6%
episode 3 (jumapili) = 24.0%
episode 4 (baada ya matangazo) = 28.2%
next episode kwa mwendo huu itagonga 30% kwa kuangaliwa live nchini korea.
family drama zina siri gani ambayo sijaifahamu mpaka leo hii?
mbona zinanishinda kuzifuatilia huku wenzangu wakiwa na uwezo wa kuzifuatilia kwa wiki 25 mfululizo kwa sababu family drama nyingi zina episode kuanzia 50.
- Watch Mother of Mine Episode 1 online at Dramanice
- Watch Mother of Mine Episode 2 online at Dramanice
- Mother of Mine Episode 1 1 x 1 Watch Online | QuickDrama - Kizibox
- Mother of Mine Episode 2 1 x 2 Watch Online | QuickDrama - Kizibox