episode 48 kwa wastani wa dakika 30 lakini kiuhalisia ni episode 24.
public broadcasting kama MBC, SBS, KBS wamekuwa wakiweka matangazo katikati ya kipindi tofauti na vyombo binafsi kama kama vile TvN, OCN, tv Chosun.
Hivi?! Pale Jamyung alipokuwa ameingiliwa na sumu hivi ile Meditation aliyokuwa anafanya ndo ya kufungua jicho la tatu eeh!Kuna hii Romance is a bonus book hapa mwanzoni sijaipenda na hata mzuka wa kuendelea nayo sina kabisa nalaumu kupoteza MB zangu
Hio ya let me introduce her huwa naipita na sijui kwanini haijanishawishi kuvuta hata episode moja.
Hivi ID Damushin uliitoa kwa yule mfalme ndani ya Princess Ja myung Go au? Yule jamaa simfagilii kabisa ila malkia wake mbishi jamani khaa kwa kifupi kichwa ngumu ila nilimfagilia kwa jitihada zake pamoja na misukosuko yoote bado akafanikiwa kupata akitakacho. Hodong wa utoton wazuri sana.
Heshima kwako sikuwahi kufikiri kama nitakutana na mtu mkali zaidi yangu kwenye historia ya mashariki ya mbali. Sasa nitajifunza toka kwako masula hayo.yes, wenyewe walimwita DAEMUSIN (mtakatifu asiyeshindwa kwenye vita).hadithi yake ilianzia kwenye kingdom / land of the wind drama japkuwa baadhi ya plot ni uongo kwa sababu muhyul alikulia ndani ya royal family tokea kuzaliwa kwake.
Hivi?! Pale Jamyung alipokuwa ameingiliwa na sumu hivi ile Meditation aliyokuwa anafanya ndo ya kufungua jicho la tatu eeh!
Heshima kwako sikuwahi kufikiri kama nitakutana na mtu mkali zaidi yangu kwenye historia ya mashariki ya mbali. Sasa nitajifunza toka kwako masula hayo.
Kumbe ndiyo maana wanasema meditation is the best medicineNaona ndio yenyewe
yule jamaa alitimiza ahadi yake ya vinywaji kushushwa bei?Hapo sawa,naisubiria iishe niivute
Anyway team uzalendo hongera
kwenye tovuti tofauti
hodong wa utotoni ndiye Yeo Jin-Goo miaka 10 iliopita.ule jamaa simfagilii kabisa ila malkia wake mbishi jamani khaa kwa kifupi kichwa ngumu ila nilimfagilia kwa jitihada zake pamoja na misukosuko yoote bado akafanikiwa kupata akitakacho. Hodong wa utoton wazuri sana.
mkuu unamzungumzia mfalme daemushin kama muhunii fulani aliyepoteza muelekeo wakati wa utawala wake, umesahau kama ubabe wa goguryeo ulianzia wakati wa utawala wake mpaka kufikia kupewa heshima ya DAEMUSIN ( the god of war)Daemushin alikuwa mfalme asiyekuwa na Busara na alikuwa na mawazo hasi juu ya wanawake, lkn bado watu walitumikishwa kama tulivyoona( mtu anakua ngazi) kwa kweli mfalme Cho-Li alikuwa na Busara sana. Ila kwa Jeoson Lazima tukubali Sejong was Great ruler, JeongJo pia alikuwa bora alijaribu kuondoa masuala ya matabaka katika Jamii.
hodong wa utotoni ndiye Yeo Jin-Goo miaka 10 iliopita.
Nakubali alikuwa mzuri wa vita akapewa sifa ya God of war lakini miye nazungumzia katika masula ya ndani ya Nchi.mkuu unamzungumzia mfalme daemushin kama muhunii fulani aliyepoteza muelekeo wakati wa utawala wake, umesahau kama ubabe wa goguryeo ulianzia wakati wa utawala wake mpaka kufikia kupewa heshima ya DAEMUSIN ( the god of war)
umesahau ya kwamba ni daemushin ndiye aliyeitwanga na kuisambaratisha Eastern Buyeo ambako ndiko alikotokea babu yake ambaye ni jumong, Daeso na ubishi wake alifariki kupitia mikono ya muhyool daemusin.
My late ancestor(jumong) was a descendant of the gods,” Muhyul sent in reply to daeso, “moreover, he was a worthy man with many talents. Yet, being jealous, Your Majesty injured him with slander to Your father, then King, so that my ancestor was degraded to the wretched status of stable boy. This is why he was unhappy and left. Now, without taking Your own faults of former days into account, Your Majesty is relying solely on your great multitude of troops, treating our land with contempt. I request the envoy report this to Your Majesty: that now eggs are piled up here; if Your Majesty does not upset them, then I shall be able to serve You as subject, but not otherwise.”
huu mkwala mzito uliojaa maneno ya busara na dhihaka ndani yake anampiga daeso ambaye ni kama babu yake nyakati hizo ndio kwanza hajaingia kwenye ujana, shikamoo daemusin
yule jamaa alitimiza ahadi yake ya vinywaji kushushwa bei?
kumbe huko kwenu kuna maduka ya vinywaji ya serikali?
siku atakayotangaza atashusha bei ya nafaka endapo wana daresalama watakapokubali kupimwa tenzi dume naomba unipe taarifa tafadhali.
mpira wa Afrika naufuatilia ndani ya JF pekee hivyo basi hata ukiniuliza wafungaji wa magoli wa mechi ya juzi siwezi kuwataja mpaka nitembelee kwenye search engine kwanza.
Mother of Mine (My Prettiest Daughter In The World)Numbisa hivi unawezaje kuzifuatilia family drama bila ya kuchoka?
kwa mujibu wa hizi takwimu ni rasmi inaonekana wakorea wanavutiwa zaidi na family drama zinazoonyeshwa weekend. Baada ya kumalizika kwa my only one drama hatimaye shirika la KBS wamekuja project inayoitwa mother of mine.
ni hadithi inayomzungumzia mwanamama anayeitwa Park Sun-Ja mwenye kumiliki biashara ndogo ya mgahawa, amebahatika kupata watoto watatu wa jinsia ya kike.
mtoto wake wa kwanza anaitwa Mi-Sun ambaye nayeye amebahatika kupata mtoto wa kike.
mtoto wake wa pili anaitwa Mi-Ri ( anampenda sana mama yake), anajikuta akiwa kwenye mahusiano na bosi wake anayeitwa Tae-Joo ambaye ni kijana mdogo anayemiliki kampuni.
mtoto wake wa mwisho anaitwa Mi-Hye aliyekuwa na ndoto za kuwa muandishi hadithi (riwaya).
kwa mujibu wa taasisi ya Nielsen Korea
episode 1 (jumamosi) = iliangaliwa 22.6%
episode 2 (after break) = iliangaliwa 26.6%
episode 3 (jumapili) = 24.0%
episode 4 (baada ya matangazo) = 28.2%
next episode kwa mwendo huu itagonga 30% kwa kuangaliwa live nchini korea.
family drama zina siri gani ambayo sijaifahamu mpaka leo hii?
mbona zinanishinda kuzifuatilia huku wenzangu wakiwa na uwezo wa kuzifuatilia kwa wiki 25 mfululizo kwa sababu family drama nyingi zina episode kuanzia 50.