Bogoshipseyo Sana Sana!WAIKIKI SEASON 2Kwa wale wapenzi wa comedy season 2 ya waikiki imeanza rasmi siku ya jana, haijalishi hukubahatika kuangalia season 1 hii inakuhusu kuifuatilia.
unapaswa mbavu zako uzipeleke kwanza kwa fundi seremala apate kuziweka sawa zisije zikavunjika (ni amri na si ombi) kabla hujaingia kwenye ulimwengu wa waikiki.
aminas japokuwa bado unaendelea kusherehekea ushindi wa simba, na Taifa stars pindi utakapomaliza kugonga chupa zako za soju ya makonda naomba urudi kijiweni kwetu kabla sijachukia tafadhali.
Lee Yi Kyung a.k.a mzee wa gwenchanah gwenchanah ndiye muigizaji pekee aliyeshiriki season 1 na 2.
namnukuu director Lee Chang Min:
lee yi kyung amekuwa akija mara kwa mara ofisini kwangu, sikufikiria mara mbili kufanya maamuzi ya kumchagua tena kushiriki season 2. Kuhusu kuwachagua waigizaji wengine aliendelea kusema takribani waigizaji wote wana viwango vikubwa, nilitaka kuonyesha upande mwengine wa vipaji vyao vya uigizaji (comedy) na kiukweli nilikuwa nikiwagombeza mara kwa mara pindi wanapofanya makosa
View attachment 1054148
View attachment 1054149
lets go (가자 = gaja)
nimemkumbuka my beautiful chewbacca na style yake ya muharmusi fashion style
View attachment 1054150
hii taarifa nimeiona wakati ambao bando langu limebakia mb 350, pumbavu nitaitafuta magharibi ya leo inshaallah ep 1 pamoja na 2 kama itakuwa imeshawekwa subtitle na viki.
update:
episode 1 ya season 1 iliangaliwa kwa asilimia 1.7.
episode 1 ya season 2 imeangaliwa kwa asilimia 2.118.
tusisahau JTBC ni cable tv hivyo basi ni tofauti na mashirika ya umma kama vile MBC, KBS, SBS kwa kufuatiliwa, unaweza kukuta hata huko korea kuna watu ni mwendo wa TBC mchana kutwa.
utakapohitimu nakuomba utufungulie darasa maalumu kwa ajili ya beginners.Huu muda nautumia vizuri kujifunza Kikorea then kichina na kijapan.
Kwa sasa nadili ka kikorea.
Aigooo sunbaenimutakapohitimu nakuomba utufungulie darasa maalumu kwa ajili kwa beginners.
nitakuwa mwanafunzi wako mtiifu muheshimiwa the great expander.
nipo kwelini kama ahadi za mkuu wa mkoa
bado sijaiangalia, muda huu naisubiria episode 2 iwekwe subtitle.Damushin Naona Rebecca Bado Yupo!
Ila Hii Drama Ni 🔥
Kubadirishwa kwa Cast Nikadhani Haitakua Nzuri kumbe Ni Zaidi Ya 🔥
jasusi uchwara upo kwenye mission muda huu?Aigooo sunbaenim
Hahaha kama kawaida, karibu kijiweni kwetujasusi uchwara upo kwenye mission muda huu?
😛😛😛😛 duh!Ahadi haikutimizwa watu walizunguka mji mzima mara waambiwe huku kuna ofa wakienda patupu mara hotel nyota tano zimepunguza bei wakati linaloitwa punguzo ndo bei halisi ya bia za mtaani
Tupo pamoja kwenye soka la Afrika nipo mbali nalo kabisa,mpira hakuna zaidi ya siasa za kujuana
upo sahihi familia ni kama maji safi ambayo huwezi kuyaepuka kimatumizi, baadhi ya wakati unatamani uwe mbali na familia yako kwa kigezo cha kutaka uhuru at the end unajikuta unatamani tena kurudisha ukaribu na wanafamilia wenzako.Hizi zinapendwa sababu zina visa na mikasa ya kueleweka ndani ya familia za jamii husika
kuna mwanadamu humu ndani atakuwa ameniroga, haiwezekani kila ninapofanya maamuzi ya kukimbia humu ndani nashindwa, naweza kuchukua siku 10 then shetani ananivuta kwa kasi ya 5G.Hahaha kama kawaida, karibu kijiweni kwetu
Hahaha umejiroga au aliyekuroga mganga wake fundi sana. Sasa mzee mganga yeye si anavua wengi kwa hiyo anataka akugawie na wewe uvue wengikuna mwanadamu humu ndani atakuwa ameniroga, haiwezekani kila ninapofanya maamuzi ya kukimbia humu ndani nashindwa, naweza kuchukua siku 10 then shetani ananivuta kwa kasi ya 5G.
au inawezekana nimejiroga mwenyewe, hahahahahaaaa kuna tangazo fulani la mganga wa kienyeji nimelisoma nimecheka sana.
anatibu matatizo zaidi ya 30 ila kilichonivutia zaidi ni uwezo wake wa kumwezesha mvuvi avue samaki wengi kila siku.
shikamooo mganga yule kama kuvua ni rahisi si atafute dau ukavue.
utakapohitimu nakuomba utufungulie darasa maalumu kwa ajili ya beginners.
nitakuwa mwanafunzi wako mtiifu muheshimiwa the great expander.
nipo kwelini kama ahadi za mkuu wa mkoa
kwa mukhtadha huo unaamini ya kwamba waganga wote wana nguvu za kiume?Hahaha umejiroga au aliyekuroga mganga wake fundi sana. Sasa mzee mganga yeye si anavua wengi kwa hiyo anataka akugawie na wewe uvue wengi
😁😁😁kwa mukhtadha huo unaamini ya kwamba waganga wote wana nguvu za kiume?
kama kuvua rahisi dada yangu si angelitafuta boti akavue kwa kutumia dawa zake?
nilichojifunza waganga wote hawana roho mbaya linapokuja suala la kusaidiana, yupo tayari apoteze yeye lakini mteja wake afanikiwe.
binadamu wote tungeliiga tabia za waganga basi matatizo ya kibindamu yangelipungua.
waganga oyeeeee
Kama vile nipo HanyangOhoo
[emoji23][emoji23]kwa mukhtadha huo unaamini ya kwamba waganga wote wana nguvu za kiume?
kama kuvua rahisi dada yangu si angelitafuta boti akavue kwa kutumia dawa zake?
nilichojifunza waganga wote hawana roho mbaya linapokuja suala la kusaidiana, yupo tayari apoteze yeye lakini mteja wake afanikiwe.
binadamu wote tungeliiga tabia za waganga basi matatizo ya kibindamu yangelipungua.
waganga oyeeeee
Hatari sanaKama vile nipo Hanyang
Nikiangalia sana Historical drama huwa nalewa sana mfano sasa nimejipa likizo, japo nafuatilia Episode 1 kwa siku tena usiku hivyo nalala akili sawa, tofauti na mwanzo kwa siku nilikuwa naangalia episode 6 za dk 60-70Hatari sana