ngoja nitafute kitanda changu cha kamba nilale naona wakorea washaanza kurusha makombora yao.
tafuta hanbok young master.Kama vile nipo Hanyang
Sijabobea kwenye hii lugha nipo kwenye hatua za mwanzo ila alassoyeo nadhani ni kama kiulizingoja nitafute kitanda changu cha kamba nilale naona wakorea washaanza kurusha makombora yao.
unadhani ni wakati gani sahihi kutumia neno (알았어 al-ass-eo = all right)
je kuna tofauti kati yake na (알았어요 al-ass-eoyo = ok)
kwa msaada wa google translator
[emoji23][emoji23][emoji23] duuh kumbe kuna tofauti? Mimi wananifurahisha wanavyotamka ndio maana zile zilizotafsiriwa siwezi kuzipenda. Kuna ladha yake ukisikia wenyewe wanavyoongeangoja nitafute kitanda changu cha kamba nilale naona wakorea washaanza kurusha makombora yao.
unadhani ni wakati gani sahihi kutumia neno (알았어 al-ass-eo = all right)
je kuna tofauti kati yake na (알았어요 al-ass-eoyo = ok)
kwa msaada wa google translator
ukifanya masihara yako atakudhihaki muda wowote kuanzia sasa, kipindi fulani mtaani walikuwepo vijana wanajifunza kiingilishi basi ukizembea kidogo unasikia mother **** bitch nigga.Ohoo
Haha lolukifanya masihara yako atakudhihaki muda wowote kuanzia sasa, kipindi fulani mtaani walikuwepo vijana wanajifunza kiingilishi basi ukizembea kidogo unasikia mother **** bitch nigga.
kupatwa kwa lugha.
😂😂😂ukifanya masihara yako atakudhihaki muda wowote kuanzia sasa, kipindi fulani mtaani walikuwepo vijana wanajifunza kiingilishi basi ukizembea kidogo unasikia mother **** bitch nigga.
kupatwa kwa lugha.
sijui hiki kitabu kinaweza kukufaa katika harakati zako za kujifunza.
Nimetazama Page 3 utakuwa msaada wangu mkubwa.sijui hiki kitabu kinaweza kukufaa katika harakati zako za kujifunza.
알았어요 al-ass-eoyo = okNimetazama Page 3 utakuwa msaada wangu mkubwa.
Shukrani katika hili.
알다알았어요 al-ass-eoyo = ok
Mara ya kwanza nilimuona kwenye Dong Yi baadaye kwenye Jewel in the Palacekampeni yangu ya kuzifuatilia drama zilizokuwa zimekamilika itaendelea kama nilivyojipangia.
imenichukua siku tatu kuangalia episode 16 za drama inayoitwa misty.
sijui nitakuwa mwanamme mvumilivu kama bwana yule?
sidhani kama nitaweza kiukweli.
mchepuko wa zamani :hivi kweli unampenda mume wako
mwanamke: anasita kwa muda halafu anajibu, namhitaji (nyakati hizo alikuwa anahitaji nafasi ya msemaji mkuu wa ikulu)
halafu jamaa anayehitajiwa ndio anashuhudia kinachoendelea ndani ya gari, siku aliyobahatika kuiona black box yalikuwa ni maumivu makali sana.
kweli kupenda ni zaidi ya utumwa.
ukiondoa blood, misty, na dong yi kuna drama nyengine nzuri aliyoshiriki jin jin hee kwa aliyebahatika kuangalia?
nakumbuka mwanadada Nifah aliwahi kusema ni mshabiki wa jin jin hee ila sijui amekimbilia seoul baada ya vyuma kukaza
nataka niiangalie chicago type writer drama ya mwaka 2017
lee seung chul = painful love ost 1
Umefikia level gani mpaka sasaHuu muda nautumia vizuri kujifunza Kikorea then kichina na kijapan.
Kwa sasa nadili ka kikorea.
마나세 반갑습니다.
😛😛😛 kumbe nina nguvu kuliko sumaku.Bogoshipseyo Sana Sana!
Kutoingia Kwako Umu Sana Kumenifanya Nami Nikufate!...
Natumai Umzima!!
Hujijui Kumbe!?😛😛😛 kumbe nina nguvu kuliko sumaku.
정말 감사합니다마나세 반갑습니다.