Na Top 4 Ushaikosaa..Park Hyo Shin announcing that his 20th anniversary solo concert will take place this coming June
collaborations kati ya the king of ballad park hyo shin na composer jung jae il inakufanya usahau machungu yote ya kukosa top 4.
achana na mafundi wengine wa piano kama vile yiruma huyu jung jae il ni balaa na wameanza kufanya kazi kwa pamoja kuanzia wild flower nyakati hizo wanatoka jeshini, mwanzoni inasemekana jamaaa alimkatalia park hyo shin kufanya kazi pamoja kwa sababu alihofia park atafeli.
naweza kufuta nyimbo za waimbaji wote ila si gwiji park hyo shin, nimeshakuwa mgonjwa wa sauti yake..
nitafutie kadi ya liverpoolNa Top 4 Ushaikosaa..
Hii Nyimbo Ilinipungizia Machungu Jana!
Mapema Tuliyayaona....nitafutie kadi ya liverpool
Njoo Tuje Tuombe Leo Chelisiti Akae! then City Akae then Tuombe We Mpige City Uku Mi Nimpige Chelsiti....nitafutie kadi ya liverpool
Haechi naitafuta but naletewa episode moja MB 900+ nilaahirisha kuipakuaMapema Tuliyayaona....
Now Namuombea City Roho Mbaya tu!
Karibu Japo Kwa Mudaa!
Mechi Ya Jana Baada Ya 1-1 then Nikaona Kadi Nyekundu Ikabidi Nimalizie Haechi Yangu tu...
Unatumia Site Gani Kupakua Au Kuangalia!?Haechi naitafuta but naletewa episode moja MB 900+ nilaahirisha kuipakua
Sent from The Black Forest
Mkuu fanya uwahi maana ni bonge moja la series tuko ya 16 nowHaechi naitafuta but naletewa episode moja MB 900+ nilaahirisha kuipakua
Sent from The Black Forest
Natumia Dramacool kupakuaUnatumia Site Gani Kupakua Au Kuangalia!?
Wanazingua hao wa site kunipa mzigo. Synopsis yake tu inaonyesha ni mzigo usio wa kukosa.
Wanazingua hao wa site kunipa mzigo. Synopsis yake tu inaonyesha ni mzigo usio wa kukosa.
Sent from The Black Forest
upo sahihi, hayakuwa maamuzi sahihi kiupande fulani labda alichukua maamuzi kutokana na hasira alizokuwa nazo baada ya kumpoteza baba yake aliyeamua kukatisha uhai wake kutokana na depression. laiti kama wanadamu tungelikuwa na uwezo wa kutabiri kitakachojiri mbeleni kwa usahihi basi mke wake angelikuwa na haki ya kudai talaka kwa mume wake kwa kushindwa kwake kuzuia kifo cha mkwe wake.
taarifa ya habari ilielezea tukio lililoitikisa dunia kiuchumi baada ya taasisi kubwa ya kifedha ya lehman brother iliopo marekani kufilisika, sio tu marekani hata soko la hisa linalopatikana london pia lilikumbwa na athari bila ya kusahau nchi za Asia nazo zilikumbwa na mtikisiko wa kiuchumi ikiwemo japan.
mtikisiko wa uchumi ulioikumbuka ulaya na marekani ndio ulipelekea taasisi nyingi za kifedha nchini korea zikiwemo benki za biashara kukumbwa na athari ndio maana mzee alishindwa kupata msaada kwa muda muafaka kutoka benki.
hivyo basi hata mimi sijaliona kosa la mzee noh kwa sababu yeye si aliyepelekea dunia kukumbwa na mtikisiko wa kiuchumi mnamo mwaka 2008.
ni matumaini yangu kabla ya kufariki dunia kwa mwanamama ambaye kwa sasa ni mgonjwa atarudisha tena moyo wake kwa bwana assad wa the banker drama.
sidhani kama ndani ya dunia hii tunayoishi wanafika angalau wanaume 100 ambao wako tayari kuwasaidia kifedha wanawake ambao walikwisha kuachana pindi wanapokutwa au kukumbwa na mitihani ikiwemo maradhi, auditor noh nafsi yake imejawa na ubinadamu uliovuka mipaka.
Nimeanza na Sambong japo sijaikamilisha episode 1 sababu nilijisikia hovyo kiafya ila natumai nikiendelea vizuri huenda nikaimalizia na kujiunga episode 2, ni nzuri sana ila kwa kuitazama kwa dk 40 nimeona mfalme ni mzinguaji mno. Mzee Komu Hwanghoe wapo humu ndani basi ni utamu tu.Jamani jamani The Great Seer ni motoooo. Hatari fire
Niliianza kama utani naona imenivutia kuliko nilivyodhani! Hiyo Ja Mi Won inatoa watu roho, yule head priest ananikera ka
Alaa kumbedah hii drama ya empress ki niliishia episode 11.
mkuu kwani ni china au korea?
kwa mujibu wa stori ila sina uhakika ni kwamba jamii ya wakorea wengi wao hawavutiwi na historia ya empress ki kutokana na mambo aliyoyafanya wakati alipokuwa na cheo kwenye serikali ya YUAN (mongolia).
Mongolia waliivamia goryeo kwenye vita iliodumu kwa miaka 30 na kufanikiwa kuyachukua maeneo mengi ya kaskazini na kuyafanya himaya yao kwa takribani miaka 80.
kitendo cha kuwapa madaraka jamaa zake kwenye serikali ya yuan kilileta athari kubwa sana kwa serikali ya goryeo kwa sababu ilifika wakati kabila lao ndio lilikuwa na nguvu ya kufanya maamuzi kwenye serikali ya goryeo kwa kutumia nguvu ya yuan dynasty.
kaka yake aliwahi kufanya jaribio la kutaka kumuondoa madarakani mfalme lakini jaribio hilo lilishindikana na mfalme kuamua kulipa kisasi kwa kuangamiza koo ya GI.
empress ki akaamua kutuma wanajeshi wa mongolia ili wamuondoe madarakani mfalme gong min ambaye kwenye utawala wake alifanya jitihada kubwa sana ili kuinusuru goryeo isiendelee kutawaliwa na mongolia ila kabla ya jeshi halijafika korea wanajeshi watiifu waliwazuia mongolia kwenye border ya goryeo.
empress ki alitumia nguvu yake ili kuifanya familia yake iwe na nguvu ya utawala kwenye nchi ya goryeo kwa kutumia nguvu za utawala wa mongolia.
nakumbuka aminas aliwahi kuandika hadithi yake humu ndani.
Empress Ki bonge moja la drama aiseeEmpress Ki kali bhana, au labda sababu sisi wanawake ndio tunaona fahari kwa jinsi Ki alivyoweza kusimama imara tofauti na drama nyingi ambazo wanaume ndio wanaofanya aliyoyafanya yeye.
Jang Yeong Sil niliipenda sababu tu humo kacheza kipenzi zangu Song ila sikuvutiwa nayo kivile,enjoy.
Sent from my iPhone using JamiiForums