Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Dramania apk
Wewe mtu kumbe upo JF hii? Kitambo sana mzee baba.
Mimi hiyo dramania ilizingua mpaka nilishaifuta, naangalia tu kwenye websites zao bila stress.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dramania apk
Haha nisamehe my dongsaeng kiukweli nashukuru kunipa moyo maana nilikuwa naitamani siku nyingi sana ila nilikuwa naziogopa zile episode 62. Lakini bado naona empress Ki bado itabaki kuwa drama bora kabisa kwangu ingawa hii pia ni fire
Mimi drama zangu bora ni
1.Jumong
2.The Great Queen Seondeok
3.Dong Yi
Empress Ki ni kali sana lakini kwangu bado hazijafikia balaa la hizo 3 hapo juu.
haaaah nipo mkuu tunachugulia mara moja moja uku JF mie kwangu Dramania naitumia kama kawaida nashusha vitu tuWewe mtu kumbe upo JF hii? Kitambo sana mzee baba.
Mimi hiyo dramania ilizingua mpaka nilishaifuta, naangalia tu kwenye websites zao bila stress.
Dong Yi ina episode ngapi
Mimi alikuwa ananikera mtu gani anabadilika ka kinyonga bwana..tufanye nae yalikuwa ni malengo yake ila alipokuwa ananikera zaidi ni pale alipokuwa anaenda kujiliza liza kwa Deokman wakati anajua ana mambo yake ya chini ya kapeti, yaani anataka malkia amuamini kwa asilimia zote wakati ndumilakuwiliHata mimi Alcheon nilimkubali sana, ila baadae Bidam nikamkubali zaidi [emoji4]
Mimi alikuwa ananikera mtu gani anabadilika ka kinyonga bwana..tufanye nae yalikuwa ni malengo yake ila alipokuwa ananikera zaidi ni pale alipokuwa anaenda kujiliza liza kwa Deokman wakati anajua ana mambo yake ya chini ya kapeti, yaani anataka malkia amuamini kwa asilimia zote wakati ndumilakuwili
Hahaha kumpenda au kumchukia mtu si kunaendana na character aliyocheza au? Ila kwa kweli mwandishi hajakutendea haki kabisaSasa wa kulaumiwa hapo si writer jamani? Bidam hana kosa [emoji4]
Halafu inashangaza kwanini drama zenye sad ending ndio tunazipenda? Hakuna drama ambazo zimewahi kuniumiza kihisia kama hizo 2 za mwanzo ila ndio nazipenda kupitiliza.
Yenye good ending (Dong Yi) ndio nimeiweka ya mwisho heheeeee
Sijui kwanini muandishi yule genius aliamua kuharibu character ya Bidam namna ile, lakini kwakuwa ni historical drama huenda mambo ndivyo yalivyokuwa hivyo kweli.
Kama uliwahi kuitazama "THE RETURN OF IL JIMAE"kuna kuna mtu humo ndani anaitwa "Hwang beo" huyo jamaa sura yake ukiitazama tu ni kituko, kwanza alikuwa na mwendo wake utadhani anacheza (Magulu baja) 😀😀 kifupi ni kituko.Mishil bonge la mwanamke alafu mrembo we acha tu. Yule akili zimejaa mpaka zinamwagika, mpaka Deokman huwa anamvulia kofia mda mwingine. Ila kakutana na kisiki cha mpingo, Deokman atamsumbua sana dogo yupo makini sana. Oooh kichaa wangu Godo na mwenzake kiwaona naandaa kicheko tu
Miye niliitazama 2011 tena wakati huo nasoma Mafundisho ya Kipaimara.Hajong na Uncle wake Lord Misaeng walikuwa ‘buddies’, sitaki kukumbuka zile safari zao za kwenda kula bata na wale gisaeng hahaaaaa
Hivi ujue hii drama mara ya mwisho kuiangalia ni 2013 lakini bado nakumbuka kila kitu kwa ufasaha kabisa? Kiasi gani niliipenda...
Halafu baada ya kuangalia The Fiery Priest nimegundua Bidam ana ucomedian flani hivi wa serious.
Ila na wewe Unnie jamani! Ndio nini hata kunipa kongole kwa kukupa hii suggestion kuntu? Umesahau Damushin alivyokuwa anaiponda hapa mimi nikawa nakupa moyo? Hahaaaaa
Umeona ambacho ungekikosa sasa?
Hapa ndo na amini kuwa binadamu tunatofautiana kimapenzi.Haha nisamehe my dongsaeng kiukweli nashukuru kunipa moyo maana nilikuwa naitamani siku nyingi sana ila nilikuwa naziogopa zile episode 62. Lakini bado naona empress Ki bado itabaki kuwa drama bora kabisa kwangu ingawa hii pia ni fire
Ukiitazama King's Dream (Dream Empire) na Queen SeonDeok zinaelezea kisa kimoja lakini zina mkanganyiko, sasa sijui kama ni wanahistoria walitofautiana katika utunzaji wa kumbukumbu zao au ni waandaaji walitaka kuonyesha utofauti!!.Sasa wa kulaumiwa hapo si writer jamani? Bidam hana kosa [emoji4]
Halafu inashangaza kwanini drama zenye sad ending ndio tunazipenda? Hakuna drama ambazo zimewahi kuniumiza kihisia kama hizo 2 za mwanzo ila ndio nazipenda kupitiliza.
Yenye good ending (Dong Yi) ndio nimeiweka ya mwisho heheeeee
Sijui kwanini muandishi yule genius aliamua kuharibu character ya Bidam namna ile, lakini kwakuwa ni historical drama huenda mambo ndivyo yalivyokuwa hivyo kweli.
Jumong.!!????Hapa ndo na amini kuwa binadamu tunatofautiana kimapenzi.
Drama bora zangu
1 Dong Yi
2 King Gwanggaeto the Great Conqueror
3 Prince of the Legend(Chumo)
4 Seon Deok(Queen)
5 Bridal Mask.
Nipo tayari kuirudia drama ya Kim Suro mara 20, lkn nisiitazame Empress Ki.
Kwa sasa nipo kwenye mtambo mnene kabisa ( Jeong do Jeon na The great King Sejong) hizi drama ni shule.
Alivyo kuwa akipaka ile kitu mdomoni kama mwanamke vile [emoji4][emoji4]Mimi alikuwa ananikera mtu gani anabadilika ka kinyonga bwana..tufanye nae yalikuwa ni malengo yake ila alipokuwa ananikera zaidi ni pale alipokuwa anaenda kujiliza liza kwa Deokman wakati anajua ana mambo yake ya chini ya kapeti, yaani anataka malkia amuamini kwa asilimia zote wakati ndumilakuwili
Alikuwa anapaka nini?Alivyo kuwa akipaka ile kitu mdomoni kama mwanamke vile [emoji4][emoji4]
Alivyo kuwa akipaka ile kitu mdomoni kama mwanamke vile [emoji4][emoji4]
NdiyoJumong.!!????