Khantwe
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 59,415
- 119,473
Ok poa. Ahsante Deokman [emoji4][emoji4][emoji4] na kwako piaKuna baadhi ya mambo nimesahau mpenzi wangu, nimeiangalia kitambo sana 2013 huko.
BTW, heri ya Pasaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok poa. Ahsante Deokman [emoji4][emoji4][emoji4] na kwako piaKuna baadhi ya mambo nimesahau mpenzi wangu, nimeiangalia kitambo sana 2013 huko.
BTW, heri ya Pasaka.
AlijichanganyajeMishil hapo ndio alijichanganya sana, lakini naweza sema tayari kina Yushin walikuwa na mkakati wao.
Ukoo wa kina Mishil haukupata chochote kile licha ya kuwa karibu na YushinAlijichanganyaje
Kwanini sishangai kukukuta kwenye uzi huu bibie? [emoji12][emoji12]
Hawakuwa na namna, ilikuwa ni lazima Yushin akipate kile cheo ili awe na nguvu ya kisiasa na njia pekee ilikuwa ni kujisalimisha kwa Mishil. Ila ninachojiuliza ukoo wa Mishil ulifaidika vipi baada ya hapo maana sioni kama walinufaika na chochote baada ya Yushin kuoa mtoto wao
[emoji3][emoji3] we nae una machozi ya karibu mno bwana mbona mimi sikumbuki sehemu iliyonitoa machoziMuandishi wa hii series alijua kuniliza jamani.
Sio lazima wanufaike moja kwa moja.
Kumbuka walikuwa wanapambana na Deokman ambaye alikuwa na timu iliyokamilika, hiyo pia ilikuwa mbinu ya kumdhoofisha kwa kumtenganisha na Yushin kwa wakati ule.
Nadhani pia walikuwa wanajua kuna kinachoendelea baina yao, hivyo walijua watamuumiza Deokman kihisia pia.
[emoji3][emoji3] we nae una machozi ya karibu mno bwana mbona mimi sikumbuki sehemu iliyonitoa machozi
Hahaha kama nawaona, mimi nililengwa tu na machozi alipokufa dada yake DeokmanYani mimi ni chakulia-lia. Nadhani ni vile nipo emotional sana.
Ila ni kwetu wote, hii series tulikuwa tunalia kama tupo msibani [emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nikiwa natazama series ambayo in scene ya emotional basi huwa najikaza mno( nalilia moyoni) sababu wadogo zangu wasijekuniona kaka yao ni mdebwedo, but my Yodongseng huwa wanalia vibaya mno,mpaka mama anawaambia starehe gani hiyo inakuteseni hivyo?!Yani mimi ni chakulia-lia. Nadhani ni vile nipo emotional sana.
Ila ni kwetu wote, hii series tulikuwa tunalia kama tupo msibani [emoji23][emoji23][emoji23]4
Acha zako basi.!! Ni kweli hukutoa chozi ata moja kwenye Queen Seon Duk?? Ziko sehemu tatu mpaka sasa zilizo nitoa machozi.[emoji3][emoji3] we nae una machozi ya karibu mno bwana mbona mimi sikumbuki sehemu iliyonitoa machozi
Hahahaa wakorea kwa kuliza watu wako vizuri sana. Yaani huwezi ficha hisia zako.Mimi nikiwa natazama series ambayo in scene ya emotional basi huwa najikaza mno( nalilia moyoni) sababu wadogo zangu wasijekuniona kaka yao ni mdebwedo, but my Yodongseng huwa wanalia vibaya mno,mpaka mama anawaambia starehe gani hiyo inakuteseni hivyo?!
Acha zako basi.!! Ni kweli hukutoa chozi ata moja kwenye Queen Seon Duk?? Ziko sehemu tatu mpaka sasa zilizo nitoa machozi.
1. Pale Sohwa anazamishwa na mchanga kule jangwani, hapa nilimuonea huruma Deokman nikajikuta machozi yanatoka.
2. Kifo cha Dada yake Deokman, aisee Hapa sio machozi tu bali mi mwenyewe nililia kabisa. Hakuna sehemu iliyo niumiza mpaka sasa kama hiyo sehemu huenda huko mbeleni ikawepo kali zaidi.
3. Pale Deokman anakutana na mama yake mlezi Sohwa. Hii sehemu nilitokwa na machozi mengi aisee hasa pale Deokman anamuita mama yake kwa hisia "omoony". Ila Deokman anajua kunitoa machozi sana, ana act kwa hisia sana yaani kama kweli vile.
Jamaa yangu Jukbang haishiwi vituko kila kukicha.
Hapo anatambulishwa hamna kitu. Labda kwakuwa nisha zoea ni mtoto wa mfalmeMimi kifo cha Sohwa hakikuniumiza hata. Sehemu ambazo nililengwa na machozi ni hiyo kwenye kifo cha dada mtu na siku ile Deokman amekuja kwenye palace na mzee baba mwenyewe anamtambulisha mbele ya wananchi ile scene machozi yalitoka kwa kweli
ahjumma mtarajiwa ujumbe wako nimeupata hapo jana lakini nilishindwa kukujibu si kwa sababu ya maumivu na huzuni iliojaa ndani ya kiwiliwili changu kutokana na kipigo cha everton FC a.k.a the toffees.
nimejikuta natamani kuangalia tena drama zinazozungumzia three kingdom.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wewe kwa hiyo hizi drama zote unaona ni takataka?
Sent using Jamii Forums mobile app
aigoooo mkuu unaishi Saudi Arabia?watanzania mna mda sana.tuombeeni hata sisi tulio huku maana hata kumuona mwanamke anazubaa zubaa ni vigumu.Mungu atusaidie sana.
nimejikuta natamani kuangalia tena drama zinazozungumzia three kingdom.
mbona zipo nyengine hadithi zake zinavutia mfano scarlet heart ryeo, my love from the star, dr jin drama