Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
😂😂 Salute kwako Sisy, haya ni mahaba kwa Bidam rang.Bidam ni handsome kwelikweli.
Kama hujui baada ya hiyo series kuisha wanawake wa Korea walimchamgua kama sexiest man wa Korea.![]()
Miye Nilimchukia baada ya kujiunga na kambi ys wasaliti ( Kina Mishil) but kifo chake na cha Queen Vilinimwaga machozi.