Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!


Muandishi wa hii series alijua kuniliza jamani.

Sio lazima wanufaike moja kwa moja.
Kumbuka walikuwa wanapambana na Deokman ambaye alikuwa na timu iliyokamilika, hiyo pia ilikuwa mbinu ya kumdhoofisha kwa kumtenganisha na Yushin kwa wakati ule.
Nadhani pia walikuwa wanajua kuna kinachoendelea baina yao, hivyo walijua watamuumiza Deokman kihisia pia.
 
[emoji3][emoji3] we nae una machozi ya karibu mno bwana mbona mimi sikumbuki sehemu iliyonitoa machozi
 


Huyo mzee ni kichwa anajua namna ya kukamilisha anachokitaka. Hapo umuonapo kavaa uhusika wa thinker Ha ryun( PM wa Joseon). Kifupi huyu mzee ni habari yao.
 
Yani mimi ni chakulia-lia. Nadhani ni vile nipo emotional sana.
Ila ni kwetu wote, hii series tulikuwa tunalia kama tupo msibani [emoji23][emoji23][emoji23]4
Mimi nikiwa natazama series ambayo in scene ya emotional basi huwa najikaza mno( nalilia moyoni) sababu wadogo zangu wasijekuniona kaka yao ni mdebwedo, but my Yodongseng huwa wanalia vibaya mno,mpaka mama anawaambia starehe gani hiyo inakuteseni hivyo?!
 
[emoji3][emoji3] we nae una machozi ya karibu mno bwana mbona mimi sikumbuki sehemu iliyonitoa machozi
Acha zako basi.!! Ni kweli hukutoa chozi ata moja kwenye Queen Seon Duk?? Ziko sehemu tatu mpaka sasa zilizo nitoa machozi.

1. Pale Sohwa anazamishwa na mchanga kule jangwani, hapa nilimuonea huruma Deokman nikajikuta machozi yanatoka.

2. Kifo cha Dada yake Deokman, aisee Hapa sio machozi tu bali mi mwenyewe nililia kabisa. Hakuna sehemu iliyo niumiza mpaka sasa kama hiyo sehemu huenda huko mbeleni ikawepo kali zaidi.

3. Pale Deokman anakutana na mama yake mlezi Sohwa. Hii sehemu nilitokwa na machozi mengi aisee hasa pale Deokman anamuita mama yake kwa hisia "omoony". Ila Deokman anajua kunitoa machozi sana, ana act kwa hisia sana yaani kama kweli vile.

Jamaa yangu Jukbang haishiwi vituko kila kukicha.
 
Hahahaa wakorea kwa kuliza watu wako vizuri sana. Yaani huwezi ficha hisia zako.
 
Mimi kifo cha Sohwa hakikuniumiza hata. Sehemu ambazo nililengwa na machozi ni hiyo kwenye kifo cha dada mtu na siku ile Deokman amekuja kwenye palace na mzee baba mwenyewe anamtambulisha mbele ya wananchi ile scene machozi yalitoka kwa kweli
 
Mimi kifo cha Sohwa hakikuniumiza hata. Sehemu ambazo nililengwa na machozi ni hiyo kwenye kifo cha dada mtu na siku ile Deokman amekuja kwenye palace na mzee baba mwenyewe anamtambulisha mbele ya wananchi ile scene machozi yalitoka kwa kweli
Hapo anatambulishwa hamna kitu. Labda kwakuwa nisha zoea ni mtoto wa mfalme
 
ahjumma mtarajiwa ujumbe wako nimeupata hapo jana lakini nilishindwa kukujibu si kwa sababu ya maumivu na huzuni iliojaa ndani ya kiwiliwili changu kutokana na kipigo cha everton FC a.k.a the toffees.

huwezi amini tokea siku ya Alhamisi mpaka leo hii ziara (safari) kubwa niliyoifanya ni kwenda hospitali πŸ˜›πŸ˜›πŸ˜›.
binadamu tunapokuwa wazima wa afya tunakuwa na jeuri zinazoambatana na majivuno kuliko kamati ya maadili ya bunge.
afadhali kidogo nimepata nafuu japo kwa 35% mchana wa leo.

waikiki drama: hivi yule dada yake kuna mpango wowote aliyoupanga ukafanikiwa?
nimependa scene waliyotakiwa waigize uhusika wa omba omba (jun ki ni mwehu kuliko madereva)
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] acha wewe kwa hiyo hizi drama zote unaona ni takataka?

Sent using Jamii Forums mobile app
nimejikuta natamani kuangalia tena drama zinazozungumzia three kingdom.
mbona zipo nyengine hadithi zake zinavutia mfano scarlet heart ryeo, my love from the star, dr jin drama
 
Mbona hiyo my love from the star ndio umetoka kuikandia ujue sikuelewi Sunbae
nimejikuta natamani kuangalia tena drama zinazozungumzia three kingdom.
mbona zipo nyengine hadithi zake zinavutia mfano scarlet heart ryeo, my love from the star, dr jin drama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…