Hulalalaaaaaaaaaaaaaa
Nimerukaruka kwa furaha, ilipoisha nilihuzunika sana.
Siwezi kuamini nitaendelea kumuangalia Bidam Bae [emoji39][emoji897]View attachment 1078458
Mmmh, hebu tutajie ulizoonaKuanzia 2016 kurudi nyuma karibia zote nimeziona hasa zile kali
Nilibahatika kusoma pia hiki kijisehemu cha historia. Story ya Kim Chunchu na Yushin ilifurahisha sana ila kwenye drama haijaonyeshwa. Btw naomba kujua hili jina la Seondeok lilitokeaje maana mle ndani hadi anakufa alikuwa Deokman hivyo hivyokwa mtazamo wangu the kings dream drama ipo reality zaidi ukilinganisha na queen seondeok.
"The female king failed to rule the country, therefore women should stop ruling"
bidam alifikia hatua ya kupewa nyadhifa kubwa sana na malikia seondeok nyakati za mwisho za uhai wake lakini jamaa akataka kumpindua malikia seondeok.
kampeni yake ya kumpindua queen seondeok ilidumu kwa takribani siku kumi ndipo jamaa akafia mikononi mwa kim yusin
- nadharia 1: inasemekana queen seondeok alifariki siku chache kabla ya bidam na waasi wenzake hawajadhibitiwa
- nadharia 2: inasemekana queen seondeok alifariki siku mbili baada ya uasi kuanza.
- Queen Jindeok ndiye aliyetoa hukumu ya kunyongwa kwa bidam na wenzake 30 pamoja na vizazi vyao
4. I'm not a Robotumenipa kazi ngumu sana
- jumong
- dong yi
- flower in prison
- .................
Sambong amenikosha na msemo wake wa a good for nothing.
- "If you capture the hearts of the people, the people obey you. But if you fail to win their hearts, they will indeed betray you".
- "We Can't Crack a Rock with an Egg,
- Yet It Is the Wind that Breaks Trees and the Waves that Carve Rocks."
- If you want to change the world, gain power first. If it could change because of you, this wouldn't be a turbulent age.”
- “Someone who thinks he can get a piece of a dumpling won't try to steal the plate.
Hahahaa mbona kazeeka hivyo?
Kumbe morden duuh nilijua historical
Ten years of challenge [emoji23][emoji23][emoji23]Wewe hapo unaangalia drama aliyoigiza miaka 10 iliyopita wakati akiwa na miaka 28, lazima uone kazeeka.
Ila kwangu mimi namuona yuko fresh sana, Bidam is phucking hot [emoji23][emoji23][emoji23]
Mmmh, hebu tutajie ulizoona
Mambo Ni Mengi Sana Aise! Tokea Jewel In The Palace Mpaka Jumong Mpaka Queen Seon-Deok Mpaka Empress Ki Na Mpaka Hapa Walipofikia Nadhani MBC Wanastahili Sifa Kutokana Na Projects Zao Kali Sana Za 'Sageuks'.umenipa kazi ngumu sana
- jumong
- dong yi
- flower in prison
- .................
nimependa kila kitu kinachomuhusu jang ryong mule ndani, vile anapokutana na song sac mbavu zangu hujisikia furaha.Ya kimjini dear.
Moja kati ya vitu ninavyopendea ktk drama za Kikorea ni fashion.
Sasa hii mpya ndio napata burudani isiyo kifani.
Hivi Damushin yule jamaa mwenye bob hair ulimuonaje na nguo zake zile?
Hii drama imejua kunichekesha haki!
kwa uoni wangu nadhani ni majina ya heshima waliokuwa wakipewa watawala, baadhi ya nyakati walipewa majina kutokana na matukio waliokuwa wakiyafanya nyakati za utawala wao.Nilibahatika kusoma pia hiki kijisehemu cha historia. Story ya Kim Chunchu na Yushin ilifurahisha sana ila kwenye drama haijaonyeshwa. Btw naomba kujua hili jina la Seondeok lilitokeaje maana mle ndani hadi anakufa alikuwa Deokman hivyo hivyo
kadri unavyoendelea kunywa ndipo unazidi kuiongezea serikali kipato kupitia kikokotoo cha kodi, usawa huu wa IMF watu kama nyinyi ndio munaotafutwa zaidi na serikali ili uchumi uweze kupanda mpaka 18% kama VAT.1.jumong
2.bridal mask
3 . slave hunter
4 . Iljimae
5. Gu family book
6. Arrow on the bow string
7. Warrior don su
8. 6 flying dragon
9. hiden root
10. Night of watch man
11. Shine or go crazy
12. Faith
13. Ruler
14. Gumiho
15.baikije
16. Crown Prince
17. Grand Prince
17. Empress ki
18. Bainite
19. Wharang
20. Black ninja
21. Moon lovers
Nyingine ntaandika baadae hizo zote nimeziona mwanzo hadi mwisho bila kuruka episode hata moja
kwa uoni wangu nadhani ni majina ya heshima waliokuwa wakipewa watawala, baadhi ya nyakati walipewa majina kutokana na matukio waliokuwa wakiyafanya nyakati za utawala wao.
jumong = dongmyeong
damdeok = gwanggaeto
muhyul = daemusin
kim chunchu = taejo muyeol
yi do = sejong
yi bangwon = taejong
yi yeon = seonjo
yi seong gye = taejo
wang guhn = taejo
wang so = gwangjong
.................................
................................
Kweli ata mimi hizo ndiyo zangu, style ya Jumong. Wajuzi tuleteeni list ata ikiwa ya kitambo ila ziwe kali.Naombeni list ya series kali za kikorea zenye theme ya porini/kifalme. Ziwe za recently atleast mwaka 1 ulopita.
Hii game of thrones ni uharo mtupu nmeamua kuitupilia mbali.
nimependa kila kitu kinachomuhusu jang ryong mule ndani, vile anapokutana na song sac mbavu zangu hujisikia furaha.
nimeangalia profile yake nimeshangaa kukuta jamaa ameshiriki project moja tu.
niliwahi kuuliza humu ndani inakuwaje wababe wa korea wanavaa suti na mashati ya rangi nyingi kama kinyonga?
halafu shati aliyofaa pichani haina tofauti na ya sinbunim (hae il)