Ndio ile hwarang?
π π π kila la kheri na ka scene chako pendwa.Baba ana tamaa yule ila sijaimalizia kila nikipata chance naangalia episode moja moja,ipo vizuri na nimependa ina ka scene kangu pendwa
Hapana hii king's face ni nyingine.
Wote wakali ila choi soo jong hua namuelewa zaidi!!!Weka ushabiki pembeni yupi ni mkali na drama za nani kali kati ya Choi soo jong Vs Song il gook
Choi soo jong:
Dae Joyong
King's Dream of Empire
Emperor of Sea
Taejo Wang(Emperor Wang)
Legend of Patriots
Imjin War 1592
The President n.k
Song il Gook:
Legend of Prince(Jumong)
A man called god
Lobbyist
Kingdom of the wind
Jang Yeong sil
Detective trouble n.k
Kazi ni kwako.
View attachment 1111077View attachment 1111078
unazikumbuka zile ngumi za utotoni?Weka ushabiki pembeni yupi ni mkali na drama za nani kali kati ya Choi soo jong Vs Song il gook
Choi soo jong:
Dae Joyong
King's Dream of Empire
Emperor of Sea
Taejo Wang(Emperor Wang)
Legend of Patriots
Imjin War 1592
The President n.k
Song il Gook:
Legend of Prince(Jumong)
A man called god
Lobbyist
Kingdom of the wind
Jang Yeong sil
Detective trouble n.k
Kazi ni kwako.
View attachment 1111077View attachment 1111078
Hahah kasema tuweke ushabiki pembeni atiunazikumbuka zile ngumi za utotoni?
utamsikia mmoja anamwambia mwenzake "nianze basi kama mbabe"
hivyo basi na hapa anza wewe kujenga hoja zako yupi ni bora kwa uoni wako, hata ukirusha ngumi za uso sisi tutavumilia bwanaaa
kipi kilichokuvutia kutoka kwake?Wote wakali ila choi soo jong hua namuelewa zaidi!!!
ulishawahi kuangalia emperor of the sea (haeshin) drama?Dae joyong ni motoo!!
Namna anavyovaa uhusika...japo tukija kiushabiki mimi ni shabiki wa song il gookkipi kilichokuvutia kutoka kwake?
Yapulishawahi kuangalia emperor of the sea (haeshin) drama?
Nitakuja na majibu baadaye, wacha niwafanyie upembuzi yakinifu, maana hawa jamaa ni kama mzani umelingana.unazikumbuka zile ngumi za utotoni?
utamsikia mmoja anamwambia mwenzake "nianze basi kama mbabe"
hivyo basi na hapa anza wewe kujenga hoja zako yupi ni bora kwa uoni wako, hata ukirusha ngumi za uso sisi tutavumilia bwanaaa
upo sahihiNamna anavyovaa uhusika...japo tukija kiushabiki mimi ni shabiki wa song il gook
Mimi sina uzoefu na series za kikorea kama kuna mtu alishaiangalia series ya Baekje anijuze kama Jang alifanikiwa kwenye harakati zake za crown prince
inaitwa ballad of seo dong or song of prince drama na si baekje drama.
inaonekana unaiangalia hii drama kwa njia ya kutafsiriwa kwa kiswahili
sijawahi kuiangalia hii drama lakini kwa mujibu wa asian wiki baadae anakuja kuwa mfalme wa 30 wa taifa la baekje na alipewa jina la king moo.
View attachment 1111100
kila la kheri but usisahau unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako lakini ni faida kubwa sana kwa serikaliHiyo hiyo mkuu kama ni hivyo basi naendelea kuitazama maana nimiipenda sana kupita maelezo
Doh umenigusa penyewe mkuukila la kheri but usisahau unywaji pombe kupita kiasi ni hatari kwa afya yako lakini ni faida kubwa sana kwa serikali
π π π kila la kheri na ka scene chako pendwa.
halafu yule ahjussi nishaangalia drama zake mbili za historical na zote ameigiza uhusika wa kupenda totoz.
gu family book baadae alikutana na dhoruba ya mzimu kang chil
View attachment 1111081