π π π πUkiona hivyo ujue ni tabia yake halisi ndo maana anaiwezea sana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]π [emoji14] [emoji14] [emoji14]
sipendi kutoa hukumu kwa kitabu ambacho sijakisoma.
waigizaji pornography ndio celebrities pekee wanaoigiza uhalisia wa maisha yao [emoji470][emoji470]
View attachment 1111141
View attachment 1111143
Jinjjayo my chingu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Itafute pia na Movie yake ambayo Storyline yake ndio imetumika kwenye hiyo Drama uliyoitazama.The Crowned Clown,
nimeipenda sana story yake halafu sio ndefu sana so haichoshi kabisa.
π π π π
sipendi kutoa hukumu kwa kitabu ambacho sijakisoma.
waigizaji pornography ndio celebrities pekee wanaoigiza uhalisia wa maisha yao ππ
View attachment 1111141
View attachment 1111143
umeninukuu vibaya dada yake meok goo.Heee mzee baba kuna porn za kikorea aigoooo nilikua sijui duh ulokole huu ni shida
Huyu mzee ndo muhusika au?
[emoji23][emoji23][emoji23] sijuiJinjjayo my chingu
unadhani nimeongopa?
Shukran sana, nitaitafutaItafute pia na Movie yake ambayo Storyline yake ndio imetumika kwenye hiyo Drama uliyoitazama.
Movie inaitwa Masquerade ya mwaka 2012.
View attachment 1111196
hii movie imechangia kwa kiasi kikubwa sana niachane na mpango wa kuiendeleza the crowned clown drama.Itafute pia na Movie yake ambayo Storyline yake ndio imetumika kwenye hiyo Drama uliyoitazama.
Movie inaitwa Masquerade ya mwaka 2012.
Inashangaza sana kwakweli kutompa Gwanghae temple name wakati mfalme aliyerithi utawala baada yake, Injo alipewa temple name pamoja na kwamba aliboronga zaidi ya Gwanghae.hii movie imechangia kwa kiasi kikubwa sana niachane na mpango wa kuiendeleza the crowned clown drama.
gwanghae alikuwa ni mfalme aliyepitia maisha ya ovyo sana ya kiutawala.
gwanghae pia alikuwa ni mfalme aliyefanya baadhi ya matukio ya kishujaa yanayopaswa kukumbukwa.
aliondolewa madarakani kwa njia ya mapinduzi yakiongozwa na watu wa magharibi.
ni miongoni mwa wafalme waliopita kwenye tawala za korea wasipewe jina la heshima.
kama ni mtihani gwanghae amepata 5/10
Baada ya kifo cha yule Consort mchoraji.Hivi wadau kuna mtu ambaye drama ya Yi San mwishoni haikumuumiza kiasi cha chozi kulenga?
Wiki iliyopita nimeimaliza inaisha kihuzuni sana hata maji nilishindwa kunywa!!
Yeah coz niliielewa sana couple yake pamoja na mshkaji Lee San,nilipoteza hamu ya kuiangalia nikamaliza kigumuBaada ya kifo cha yule Consort mchoraji.
labda ni kwa sababu aliondolewa madarakani kwa njia ya mapinduzi ndio maana hakupewa heshima.Inashangaza sana kwakweli kutompa Gwanghae temple name wakati mfalme aliyerithi utawala baada yake, Injo alipewa temple name pamoja na kwamba aliboronga zaidi ya Gwanghae.
Kama ni kuwanyima heshima hiyo ingetakiwa wanyimwe wote na si kumtosa Gwanghae na kumpa Injo.
Kweli, hata yule mshikaji wao aliyekuwa General.Yeah coz niliielewa sana couple yake pamoja na mshkaji Lee San,nilipoteza hamu ya kuiangalia nikamaliza kigumu
Dah! Umeiandika kibabe!! Loo! Kweli nimeamini usipokuwa mshapu kwenye kufanya maswali assignment zitakuua maana zinakuja zimepangana.chukua assignment nyengine itakayokusaidia kufikisha angalau alama 16 za kufanyia mtihani wa mwisho.
AGE OF WARRIORS DRAMAkwa taarifa zilizothibitishwa na daemusin bin makinikiyya bin koroshow bin vipigo kwa shangazi zenu ni kwamba ndani ya drama hii hamuna muigizaji mwenye sura ya mvuto haijalishi ni mwanamke. π π π π .
hii drama episode 11 za mwanzoni ni mwendo wa kuchinjana kwa mapanga, shoka, iron ball n.k,
View attachment 1111637
kwa nini ikaitwa age of warriors?
kutoka mwaka 1170 hadi mwaka 1270 taifa la goryeo lilijikuta likiendeshwa kwa nguvu za kijeshi (goryeo millitary regime).
walikuwepo watemi watatu wakiongozwa na yi ui bang ambao ndio waliongoza mapinduzi ya kumuondoa mfalme aliyechaguliwa kwa nguvu za wananchi anayeitwa Uijong na hatimaye wakamweka madarakani mdogo wake aliyeitwa Myeongjong.
kwa takribani miaka 100 goryeo ilijikuta ikiendeshwa kwa njia hiyo, mfalme anakuwepo kama kawaida lakini nguvu ya kimaamuzi inabaki kwa mwanajeshi aliye na nguvu pamoja na ukoo wake.
kwa ufupi ilikuwa ni mwendo wa kupinduana mwanzo mwisho, si unajua nyakati hizo kila mwenye nguvu alikuwa na jeshi lake.
ujinga huu uliisha baada ya goryeo kukaliwa kimabavu na MONGOLIA.
mfumo wa utawala ukaendelea hivyo hivyo kwa miaka mingi sana mpaka kuuliwa kwa Kim Jun (ukiangalia god of war drama imejaribu kuzungumzia maisha yake kutoka kuwa mtumwa hadi kuwa kiongozi mwenye nguvu wa goryeo).
yi ui bang na wenzake waliongoza mapinduzi na kumweka madarakani mfalme myeongjong baadae siku za mbeleni mnamo mwaka 1174 jeong jung bu ambaye pia alishiriki mapinduzi ya mwanzo pamoja na yi ui bang alimuondoa madarakani mwenzake na kutoa amri ya kunyongwa kwa general yi ui bang (hakuna rafiki wa kudumu kwenye madaraka), mwaka 1179 general gyeong dae seung ikawa ni zamu yake kutamba, huyu alimuondoa madarakani jeong jung bu huku akitoa amri ya kunyongwa kwa familia nzima ya general jeong bung ju (karma is bitch).huyu jamaa yeye akataka kurudisha serikali itakayoongozwa kwa sauti za wananchi lakini ikashindikana mnamo mwaka 1183 nguvu za utawala zikahamia kwa yi ui min baada ya kifo cha gyeong.
kifo chake kilipelekea madaraka yarithiwe na kiongozi mwengine lakini hakudumu sana kwa sababu goryeo ilijikuta ikiwa chini ya himaya ya mongolia kwa miaka takribani 80.
ukifuatilia hali ilivyokuwa utagundua ya kwamba goryeo karne ya mwishoni ilikuwa inapumulia mashine kwa sababu royal family (wang clan) walikosa nguvu na ushawishi mbele ya koo nyengine zenye nguvu
View attachment 1111639
bado namtafuta hand some boy mtoto mwenye sura nyepesi kama makonda.
drama ime contained episode 158
Age of Warriors at Dramanice
This drama is set in a tumultuous time in Korean history, where warriors led by Jung Joong Bu, Lee Ui Bang, Lee Go and Chae Won rose in rebellion against King Ui Jong of Goryeo and his government, dominated by scholars and ministers, with the aim of ... at Dramanicewww2.ondramanice.tv
Yeah wote nimewasoma hadi huyo Sejong ndo aliyegundua lugha na maandishi ya HangulKweli, hata yule mshikaji wao aliyekuwa General.
Kwa taarifa yako.
Yi san anatajwa kama mfalme bora wa Joseon.
1. Yi do ( Sejong the Great)
2. Yi san ( JeongJo)
Hao best Kings wa Joseon.
Cha kushangaza wamelelewa na Wafalme wenye akili nyingi halafu na madikteta:Yeah wote nimewasoma hadi huyo Sejong ndo aliyegundua lugha na maandishi ya Hangul
Kuna hadi mji umepewa jina Sejong City na wizara karibu zote zimehamishiwa huko.
Walikuwa na mpango wa kuufanya mji mkuu badala ya Seoul