Daemusin : ttok ttok nugu eopso = Knock knock anyone there?
aminas : Knock knock i'm here, knock knock right there.
kuna yoyote aliye tayari kunishikilia (kuwa pamoja nami)
nahitaji kuwa na mtu, nahitaji kuondoa upweke
kila ninapoangazia kila pande za jf,
sioni mtu wote wamekimbia amebakia great conquer
nashindwa kuvumilia, tafadhali rudi (njoo) kwangu
sihitaji tena kuwa mpweke
kiukweli hata sifahamu mjinga wewe umekwenda wapi
idon't care about shit
where are you chingu?
ndio nini kwenda likizo bila ya kunipa taarifa ahjummaaa au nimegeuka maua ya msituni (wild flower)?
nimekuwa lonely kwa takribani wiki tatu lakini ok baada ya miaka mitatu my crown princess lee hi amekuja kuniondolea upweke siku ya leo.
daa! Mwenyewe huwa nakuwa mnyonge kweli yani.Daemusin : ttok ttok nugu eopso = Knock knock anyone there?
aminas : Knock knock i'm here, knock knock right there.
kuna yoyote aliye tayari kunishikilia (kuwa pamoja nami)
nahitaji kuwa na mtu, nahitaji kuondoa upweke
kila ninapoangazia kila pande za jf,
sioni mtu wote wamekimbia amebakia great conquer
nashindwa kuvumilia, tafadhali rudi (njoo) kwangu
sihitaji tena kuwa mpweke
kiukweli hata sifahamu mjinga wewe umekwenda wapi
idon't care about shit
where are you chingu?
ndio nini kwenda likizo bila ya kunipa taarifa ahjummaaa au nimegeuka maua ya msituni (wild flower)?
nimekuwa lonely kwa takribani wiki tatu lakini ok baada ya miaka mitatu my crown princess lee hi amekuja kuniondolea upweke siku ya leo.
Za siku mingi mkuuDaemusin : ttok ttok nugu eopso = Knock knock anyone there?
aminas : Knock knock i'm here, knock knock right there.
kuna yoyote aliye tayari kunishikilia (kuwa pamoja nami)
nahitaji kuwa na mtu, nahitaji kuondoa upweke
kila ninapoangazia kila pande za jf,
sioni mtu wote wamekimbia amebakia great conquer
nashindwa kuvumilia, tafadhali rudi (njoo) kwangu
sihitaji tena kuwa mpweke
kiukweli hata sifahamu mjinga wewe umekwenda wapi
idon't care about shit
where are you chingu?
ndio nini kwenda likizo bila ya kunipa taarifa ahjummaaa au nimegeuka maua ya msituni (wild flower)?
nimekuwa lonely kwa takribani wiki tatu lakini ok baada ya miaka mitatu my crown princess lee hi amekuja kuniondolea upweke siku ya leo.
Za siku mingi mkuu
Aiseeee nina hali tete sijui nianzie wapi niishie wapi,nna mda sijaangalia series na Nina kiu ya hatar .naomba mwongozo wa best top 5 series za mwaka huu au kuanzia mwaka Jana mwshoni niisuuze nafsi
Havari zenu waungwana nipo na "DOCTOR PRISONER" inanifanya nikeshe asee maana hali si hali.....
Samahani Daemusin kuacha hii waweza nipa top 5 ya best dramas za mwaka huu? Ili niendelee kuziangalia nikiisubiri "THE ETERNAL MORNACH"[emoji4][emoji4]
Hata kama nitakuwa mfalme mpya wa Hii Nchi lakini Serikali yake ni Constitutional Monarchy Waziri mkuu bado ana nguvu kuliko mfalmeππ.Great Conqueror tafadhali kuja hapa mara moja my rafiki, hivi ile barua yangu niliyoiwasilisha kwako ya kuchukua likizo ya muda usiojulikana kuanzia mwezi JUNE ndani ya hii thread umeisambaza kwa wanachama wa hiki kijiwe na kama hujaisambaza labda ulidhani nipo kwenye utani?
gwenchanah gwenchanah nitachukulia kama umesahau ombi langu mwenyekiti mpya wa hiki kijiwe kwa upande wa jinsia ya meeee.
my dongsaeng chuma96 ukweli ni kwamba mwaka 2019 nimejiwekea malengo ya kupunguza kuangalia korean drama kwa takribani 45% ukilinganisha na mwaka uliopita, hivyo basi unaponiambia nikuwekee list ya top 5 korean drama zilizofanya vizuri za mwaka huu utakuwa umenipa adhabu nzito sana, kwa drama zilizokuwa compeleted mpaka muda huu nimeangalia sita tu.
drama sita bora za kwangu mimi ambazo ndio nimeziangalia kwa mwaka huu ni hizi hapa:-
her private life drama sikubahatika kuiangalia lakini majorities ya walioiangalia wameisifia sana hususani love chemistry kati ya park min young noona pamoja na kim jae wook sunbaenim.
- doctor prisoner drama
- the fiery priest drama
- touch your heart drama
- romance is a bonus book drama
- haechi drama
- the banker drama
==================================================================================================
scalethat noona hujaniambia wewe ni mpenzi wa drama za aina gani kwa sababu nimeshasahau ladha uzipendazo. lakini jaribu kuchagua kati ya drama zifuatazo kwa kusoma kwanza drama details:-
View attachment 1121991
- money flower drama + bad papa drama = kwa heshima ya bae wako jang hyuk
- secret forest (best drama kwa mwaka 2017) = criminal, law, investigation
- because this is my first life (best drama kwa mwaka 2017)
- signal (best drama kwa mwaka 2015) = criminal, investigation, time travel
- tunnel drama = criminal, investigation, time travel
- my mister (best drama kwa mwaka 2018)
- mr sunshine (best drama kwa mwaka 2018)
- incomplete life drama or misaeng drama (best drama kwa mwaka 2014) = inanihusu kwenye maisha ninayoishi
- replay 1988 (best drama kwa mwaka 2016)
- misty drama
- sky castle (best drama kwa mwaka 2018)
- whats wrong with secretary kim drama
- prison playbook drama
- encounter drama
- lawless lawyer drama
- life on mars = criminal, investigation, time travel
- hwayugi
- the last empress drama
- the smile has left your eyes drama
- come and hug me drama
π π π pumbavu zakoHata kama nitakuwa mfalme mpya wa Hii Nchi lakini Serikali yake ni Constitutional Monarchy Waziri mkuu bado ana nguvu kuliko mfalmeππ.
Wape taarifa waje huku.
π π π pumbavu zako
umeamua kunifananisha na jung do jeon a.k.a sambong
nimekuja kwa ajili yako chingu japo kwa siku mbili (leo na kesho), umekuwa ni mshirika mkubwa kwangu ndani ya hii thread kwa miaka miwili mfululizo, bila ya comment yako ambayo nimeipuuzia tokea jana nisingeliwajibu hao wahuni uchwara wa bodi ya mapato hapo juu π π.Umu Ndanii Lol!
Daemusin Ushabadirisha Jina!?
Njoo Kwanza Tuongeee Izi Drama Zinazoendelea Sa Ivi Maana Nimerudi Kwenye Ule Ulevi Unaoupigaga Vita.
Nipo Na
1.One Spring Night - Bonge La Drama Stori Moja Ivi Tamuuu (Uhalisia Wa Maisha Ya Mahusiano Kwa Wakati Huu)
2.Angelβs Last Mission- Hii Nayo Ni Cheche
3.The Secret Life of My Secretary - Hii Ni Zaidi Ya Cheche
4.Abyss. nzuri
5.My Absolutely Boyfriend- Robotiii Flani Ivi Ya Kushangaza
Hiii ndo List Kwa Wakati Huu
atakuwa ni jung do jeon mwenyewe au nimekosea?View attachment 1121999
Kwani?! Taejong ana sanamu yake?!.
Unahisi pichani ni nani huyo?!.
Haya mambo ya kufanywa kama yule mfalme wa Emperor of the mask au yule mfalme wa Empress Ki siwezi.
Ndiyo mwenyeweatakuwa ni jung do jeon mwenyewe au nimekosea?
Pepa Lini Kwani!?nimekuja kwa ajili yako chingu japo kwa siku mbili (leo na kesho), umekuwa ni mshirika mkubwa kwangu ndani ya hii thread kwa miaka miwili mfululizo, bila ya comment yako ambayo nimeipuuzia tokea jana nisingeliwajibu hao wahuni uchwara wa bodi ya mapato hapo juu π π.
hongera kwa ubingwa wa bara la ulaya, ubingwa wa Tanzania na pia nikupe hongera kwa kuwasaidia watani zako wa jadi yanga wapate nafasi ya kucheza ligi ya mabingwa msimu ujao, rafiki wa kweli ni yule aliye tayari kumsaidia mwenzake pindi anapokuwa na matatizo, simba mumethubutu kufanya hivyo.
hongereni sana.
angels last mission drama: nimeipenda sana nimejikuta natamani niwe malaika muda huu, maisha ya ubinadamu yameshanichosha. one spring night drama: hadithi yake inakwenda taratibu sanaaa lakini ipo vizuri, kila mmoja anaogopa mahusiano mapya ya kimapenzi, cha kushangaza wote wawili wameshaelezana siri za maisha yao wanayoyapitia na walioyapitia. the nokdo flower drama: historical drama ya ukweli bado naendelea nayo, general Jeon Bongju alikuwa ni great thinker wa ukweli tuache utani kwa hii mikakati yake. dah jamaa maisha yake yaliishia mikononi mwa wajapani. cha ajabu Korea bado imeendelea kuwa ni nchi dhaifu sana licha ya kupata kwao uhuru.wakorea walikuwa dhaifu sana jambo lililopelekea nchi za kigeni ziigeuze ardhi ya korea kuwa ni uwanja wa kujaribu nguvu zao, kwa wapenzi wa historical drama hiki chuma kinawahusu imeshafika episode ya 14. arthdal chronicles: wanasema wakorea wameiba idea nzima ya games of throne series, sifahamu kama kuna ukweli wowote au la kwa sababu si mfuatiliaji wa american series, kwa aliyeangalia hizi project mbili naomba atusaidie tafadhali. Nikipata muda nataka niziangalie tena episode mbili za mwanzo kwa umakini nipate kuielewa zaidi baadae kama nitapata muda nije niisifie au kuiponda humu ndani. tuache utani yule binti anayeitwa kim ji won ni mrembo wa ukweli, ni mimi pekee ninayeamini ya kwamba song jong ki ni overrated actor au mwenzenu itakuwa nina wivu naye? different dreams: bado naendelea kujifunza harakati za kupigania uhuru wa korea, mgawanyiko wa korea ulikuwa hauepukiki kwa sababu ukiangalia haya makundi ya harakati za uhuru yalikuwa mengi kama zanzibar. hivi yule mwanadada lee yo won ni kweli ana miaka 38, hizi makeup zinaweza kumfanya Daemusin awe na sura ya magufuli.
mwisho nimalizie my love chingu na wengineo naomba munipunguzie notifications ifikapo siku ya jumatatu, za leo na kesho nitajibu but ikianza wiki mpya sitojibu, nawaomba sana munisaidie kwa hili ombi nililoliwasilisha kwenu kwa wote jamani.
hii comment sitoifuta ili wadau wote waione humu ndani.
Oh bird, oh bird, oh roller
Do not sit in the Nokdu fields
For when the Nokdu flower falls
The jelly seller weeps.
Oh bird, oh bird, oh roller
Why did you come out
For the pine and bamboo leaves are green
We thought it was summer
But it is freezing with snow
roller = wanajeshi wa japani waliokuwa wanavalia fomu blue.
Nokdu fields = jeong bong jun mkuu wa mapinduzi ya donghak peasant
when the Nokdu flower falls = kunyongwa kwa jeong bong jun
jelly seller = wafanya biashara wadogo wa korea (joseon), au walalahoi wanaotegemea zaidi kilimo na biashara dhaifu
Why did you come out = malalamiko ya peasant wa korea dhidi ya uvamizi wa nchi za kigeni nchini kwao.
mashairi hayo yalikuwa maarufu sana nyakati hizo za donghak peasant revolution nchini joseon mnamo karne ya 19.
aminas huyu malaika wetu amepewa mpaka zawadi ya sauti nzuri
eti pepa lini π π πPepa Lini Kwani!?
One Spring Night Mbona Mi Naona Kawaida au Mahaba Yamenizidi Labda...
Ahsante Kwa Ongeraa...
Ila Uje Uniambia Unakoenda.
ππeti pepa lini π π π
nipo hapa hapa joseon ya kolomijee
mara hii najifanyia test mwenyewe
Ila Angel Last Mission Nzuri Sana Kiukweli.. Stor Imetulia Sana Na Yule Mdada Yaani Ni Ful Hisiaeti pepa lini π π π
nipo hapa hapa joseon ya kolomijee
mara hii najifanyia test mwenyewe
mwezi wa nane ahjummaaaππ
Pepa Unaanza J3!??
upo sahihi shin hye sun yupo vizuri sana.Ila Angel Last Mission Nzuri Sana Kiukweli.. Stor Imetulia Sana Na Yule Mdada Yaani Ni Ful Hisia
Kisa Chakutoweka Ni Nini!??mwezi wa nane ahjummaaa
umesharidhika?
π π π
kukimbia kwangu humu ndani hakuna uhusiano wowote na pepa.
JF nitakuwepo lakini humu ndani sitokuwepo