D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
giseok ni mwanamme mwenzangu lakini baadhi ya nyakati huniudhi kutokana na kauli zake za kujifanya ndiye muathirika mkuu wa mahusiano ya kimapenzi dhidi ya Jae In.Nimepatwa Na Hisia Kali (Emotion) Baada Ya Episode ya Jana/Leo ya One Spring Night
Hii Drama Inanifunza Sana! Kati ya Drama Chache Zinazoacha Mafunzo Baada ya Kuziangalia
Kudos Kwa Producer and Director Na Writer Pia Maana Kazi si Ya Kitoto.
chengine nimevutiwa na kiss scene 😛 😛 , tendo lake limefanywa kwa nidhamu ya juu sana kwa kuangalia zaidi character ya upole ya jiho na jung in.Nimepatwa Na Hisia Kali (Emotion) Baada Ya Episode ya Jana/Leo ya One Spring Night
Acheche production hiyoinaitwa ballad of seo dong or song of prince drama na si baekje drama.
inaonekana unaiangalia hii drama kwa njia ya kutafsiriwa kwa kiswahili
sijawahi kuiangalia hii drama lakini kwa mujibu wa asian wiki baadae anakuja kuwa mfalme wa 30 wa taifa la baekje na alipewa jina la king moo.
upo sahihi wazee wa kama kawa kama dawaAcheche production hiyo
Maneno mazuri hayochengine nimevutiwa na kiss scene 😛 😛 , tendo lake limefanywa kwa nidhamu ya juu sana kwa kuangalia zaidi character ya upole ya jiho na jung in.
kwa wale waliozoea kiss za kibabe kama za ji chang wook na park bogum wanaweza kudharau kitendo cha Ji-Ho, kiupande wangu nimevutiwa na first kiss.
haipendezi siku ya kwanza kujaribu tendo hilo munatumia nguvu kubwa mpaka munafikia hatua ya kutaka kuvuana nguo hadharani kwa uchu, ya nini kupapatuana utadhani munapeana ujumbe wa kukumbukana pindi munapozama kwenye TITANIC wakati kumbe ndio kwanza munaanza kufahamiana kwa kutumia viungo vyenu.
yule ni wa kwako nenda naye taratibu kama ulivyokwenda naye taratibu ulipokuwa ukimtongoza awe wa kwako, unakuta mee na keee wanafanya tendo la kiss mpaka inafikia hatua wanang'oana ulimi (pumbavuuu)
kwa sababu gani?M
Maneno mazuri hayo
Apo Kwenye Kupapatuana 😂chengine nimevutiwa na kiss scene 😛 😛 , tendo lake limefanywa kwa nidhamu ya juu sana kwa kuangalia zaidi character ya upole ya jiho na jung in.
kwa wale waliozoea kiss za kibabe kama za ji chang wook na park bogum wanaweza kudharau kitendo cha Ji-Ho, kiupande wangu nimevutiwa na first kiss.
haipendezi siku ya kwanza kujaribu tendo hilo munatumia nguvu kubwa mpaka munafikia hatua ya kutaka kuvuana nguo hadharani kwa uchu, ya nini kupapatuana utadhani munapeana ujumbe wa kukumbukana pindi munapozama kwenye TITANIC wakati kumbe ndio kwanza munaanza kufahamiana kwa kutumia viungo vyenu.
yule ni wa kwako nenda naye taratibu kama ulivyokwenda naye taratibu ulipokuwa ukimtongoza awe wa kwako, unakuta mee na keee wanafanya tendo la kiss mpaka inafikia hatua wanang'oana ulimi (pumbavuuu)
🤔 Ushaanza Kuvutikakwa sababu gani?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]upo sahihi wazee wa kama kawa kama dawa
Ndomana Naipenda Sana Hii Drama! Ina Uhalisia Wa Hali ya Juu..chengine nimevutiwa na kiss scene 😛 😛 , tendo lake limefanywa kwa nidhamu ya juu sana kwa kuangalia zaidi character ya upole ya jiho na jung in.
kwa wale waliozoea kiss za kibabe kama za ji chang wook na park bogum wanaweza kudharau kitendo cha Ji-Ho, kiupande wangu nimevutiwa na first kiss.
haipendezi siku ya kwanza kujaribu tendo hilo munatumia nguvu kubwa mpaka munafikia hatua ya kutaka kuvuana nguo hadharani kwa uchu, ya nini kupapatuana utadhani munapeana ujumbe wa kukumbukana pindi munapozama kwenye TITANIC wakati kumbe ndio kwanza munaanza kufahamiana kwa kutumia viungo vyenu.
yule ni wa kwako nenda naye taratibu kama ulivyokwenda naye taratibu ulipokuwa ukimtongoza awe wa kwako, unakuta mee na keee wanafanya tendo la kiss mpaka inafikia hatua wanang'oana ulimi (pumbavuuu)
Then Anajitia Kama Sijuh Mtu Gani Ambaye Ji Min Hawezi Muacha! Anachukua Udhaifu wa Ji ho Japo Si Udhaifu kama Akili yake Inavyomtuma Kuwatenganisha!giseok ni mwanamme mwenzangu lakini baadhi ya nyakati huniudhi kutokana na kauli zake za kujifanya ndiye muathirika mkuu wa mahusiano ya kimapenzi dhidi ya Jae In.
Dunia ya sasa inamhitaji mwanamke mfano wa Jae in asiyekubali kuendeshwa kifikra mfu na mwanamme asiyekuwa na muelekeo, sielewi kwa nini wanawake munajishusha sana mbele ya wanaume mpaka kwenye masuala yale ambayo munapaswa mutoe maamuzi wenyewe, si ajabu kumkuta mwanamke anafikia hatua anamuuliza rafiki wa kiume
"nikanunue nguo gani ya ndani kwa hii pesa ulionipa?"
kauli za giseok nazo ni za kushangaza sana anapokuwa karibu na mwenza wake, hajui kutumia maneno ya kubembeleza ni mwendo wa command kama yupo jeshini, maneno yenye hekima yanachangia kwa kiasi kikubwa sana kurudisha amani kwenye mahusiano yaliopinda
ingia kwenye garimwanamme/ mwanamke anayechukulia maneno yake kuwa ni sheria ya kumuongozea mwenzake ni kirusi hatari zaidi ya ugonjwa wa ebola,hakikisha unamuepuka mwenye sifa hizo awe ni meee au keeee haijalishi maisha yake ni mboga 7.
njoo tuongee ndani ya gari
shuka kwenye gari
tunapaswa tufunge ndoa
siwezi kukuacha
nipo tayari kusahau yaliopita na wewe unapaswa usahau
come to your sense
hatokufikisha popote kimalengo uliojiwekea
one night spring drama kwa mara ya kwanza imeshika nafasi ya kwanza wiki hii kwa kuangaliwa nchini korea.
lazima uchokewale watu wanajitahidi kuwasaidia watazamaji wasioelewa kiingereza lakini baadhi ya nyakati ni waongo.
vile vile wanajifanya too much know huku wakifikiria wateja wao wote hawafutilii maisha ya korean celebrities.
unaweza kumuongopea mdogo wangu kwa sababu hana muda wa kufuatilia korean media lakini huwezi kunidanganya mimi.
one day nilikuwa naangalia IRIS 2 miaka mingi iliopita basi nikamsikia mtangazaji anadai ya kwamba Jang hyuk na lee da hae ni wachumba na wameshatangaza ndoa.
jang hyuk ameoa takribani mwaka 2008, ina maana jang hyuk ameoa kabla ya tamthilia ya slave hunter haijatengenezwa.
jang hyuk ameoa kabla ya IRIS 1 haijatengenezwa sembuse IRIS 2.
mkewe jang hyuk si celebrityView attachment 1136096
one night spring drama inataka kufanana kwa kiasi fulani na terms of endearment drama ya mwaka 2004,Then Anajitia Kama Sijuh Mtu Gani Ambaye Ji Min Hawezi Muacha! Anachukua Udhaifu wa Ji ho Japo Si Udhaifu kama Akili yake Inavyomtuma Kuwatenganisha!
Maneno yake Muda Wote ya Kujikweza! Ndomna Hata Baba Ake Alimwambia Kua Ji Min Ni Yupo Vizuri Kukushinda Na Wala Huendani Nae.
ndio ukweli wenyeweApo Kwenye Kupapatuana 😂
Yaani we Si Mzima.
kivipi sijaelewa🤔 Ushaanza Kuvutika
siwezi tena kuangalia korean drama kwenye DVD haijalishi haijatafsiriwa kwa kiswahili,lazima uchoke
anajaribu kumuonyesha jinsi gani anamheshimu, nataka nione mbeleni itatokezea kitu gani pindi familia jung in watakapogundua ji ho ni single father.Ndomana Naipenda Sana Hii Drama! Ina Uhalisia Wa Hali ya Juu..
Vile Ji Ho Anavyomuonea Aibu Ji Min Yaani!
Sijui nilikuwa wapi miaka yote hiyo eti ndio nipo naicheki hiisiwezi tena kuangalia korean drama kwenye DVD haijalishi haijatafsiriwa kwa kiswahili,
internet imeshaniathiri
Daa! Siku nyingi sana mzee hii kitu(Faith)Sijui nilikuwa wapi miaka yote hiyo eti ndio nipo naicheki hii
Mwamba nimemkubaliView attachment 1136180View attachment 1136181View attachment 1136182