Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Unaandika Na Simu au PC!?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Umeona kukosea kwako ni Matusi tu!?
ndio maneno mabaya zaidi kusomeka mbele ya hadhira ya wanaokuheshimu.
ulishakutana na balaa zaidi ya hilo?
maybe kukusudia kutuma ujumbe wa siri kwenda kwa boyfriend kutoka kolomijee na hatimaye ujumbe huo ukaelekea kwa motherfriend from chato district dubai
 
Una Drama Zipi unazoaangalii Sa Ivi.
 
Haya πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Pia jamaa nabii Dosun anadaj kuwa Goonyae alikuwa kama msafisha njia kwa ajili ya Mtawala halisi( Wang Guhn), mshikaji wake( Advisor atamgeuka?!) Halafu kuna muhuni anaitwa Ajitae naona ndiye aliyekuja kumvuruga mfalme mpaka kumwambia. Wahame Songok.
 
Historical ndefu niliangalia moja tu (jewel in the palace)napo niliibahatisha chanel moja hivi. Hii kama ni ndefu episode 50 na kuendelea sidhan kama nitaiweza
Ukiangalia hii hautaichoka maana Ina matukio mengi yenye kusisimua pia inafundisha Mambo ambayo yapo ktk maisha yetu ebu ijaribu kuicheki utafurahi Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…