Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Great King SejongDaah kweli tunatofautiana, yaani mimi empress Ki ndio ilinifanya nielewe siasa hata za hapa bongo
Duuh hizo zote sijazionaGreat King Sejong
Jeong Do Jeon
JingBirog(The Book Of Correction)
Queen SeonDeok
God Of War( Soldier)
Hizo ni moja ya Drama nzuri za kisiasa.
"Empress Ki" sikumbuki vizuri ilikuwa 2014 mwaka niliyoiona.
Kwanza kabisa ni samehe brother kiufupi ninakuaga nipo bussy Sana Wala sikuwa na lengo la kukwaza na sisi wote ni binadamu kukoseana ni sehemu ya Maisha yetu.dear brother,
sifahamu mfumo wako wa kimaisha ukoje ila unaonekana ni mwanadamu ambaye either uko bize sana jambo linalokupelekea ukose muda wa kufungua hata link moja, pengine una tatizo la kusahau au vile vile pengine ni mwingi wa dharau (sifa hizi mbili za mwisho Mungu akuepushe nazo).
umeomba nikutajie drama alizoigiza ha ji won ila kwa wema wangu nimekuwekea link iliokusanya taarifa zake zote, cha ajabu unaniomba tena nikupe taarifa ya drama mpya aliyoshiriki au atakayoshiriki.
maana yake ni kwamba umenidharau na hiyo link niliokuwekea hujaifungua.
gwenchanah gwenchanah.drama yake mpya inaitwa chocolate na inatarajia kuanza kuonyeshwa mwishoni mwa mwezi November.
View attachment 1256713
musiendelee kuugeuza wema wangu kuwa ni utumwa, kuna siku nitachoka, nitachukia na baadae nitakimbia humu ndani tofauti na watumwa wale weusi walioendelea kuvumilia mateso yalioongozwa na mafedhuli baada ya kufungwa kwao minyororo jambo lililopelekea washindwe kukimbia.
bado sijachukia ila siku naona kama zinazidi kukaribia.
Ukipata muda zitafuteDuuh hizo zote sijaziona
HapanaKuna mtu ameangalia Bride of water gods?
mbayaaaaaaaa kuliko ugaliKuna mtu ameangalia Bride of water gods?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe sikuaminimbayaaaaaaaa kuliko ugali
Is this a telegram group?View attachment 1257831Hatari sana wee Daemusin, Tayari ushaitupia Joeng do Joen
Hat Off
Chakula cha watu hicho ujuembayaaaaaaaa kuliko ugali
Yaah!, Ni channel.Is this a telegram group?
swadakta brother.Chakula cha watu hicho ujue
kazi kwako mwalimu wangu wa ingilishi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wewe sikuamini
Naikubali sana, iko poa kweli kweliVAGABOND Hii Kitu, Korean Entertainment Ahsante. Stori Tamu Inasisimua Kila Scene Haipiti Bure,
Ina Mtiririko Mzuri Hakuna Nguo Za Ndani Wazi Mule Ndani Wala Mwili Wazi, Hakuna Viungo Vya Wakike Wazi Mule Ndani Na Bado Inakufanya Uhitaji Kuingilia Kila Inapotoka.
Wametengeneza Kitu Kiutamaduni Wao Na Bado Kinavutia.
Tanzania Yangu Tunakosea Wapi!?!
Yani ni mbayaaaaaaaa, usipoteze hata muda wakoKuna mtu ameangalia Bride of water gods?
wewe mjinga kutoka chato district hivi utaacha lini tabia ya kuniuliza maswali yako ya kijinga jinga?Wee @Daemusin mbona Yule Mke mkubwa wa wang Gun, mbona haonekani tangu alipoambiwa aende nje ya Palace kama ikiwa njia pekee ya kumtibu, kutokana kuwa Wild Gisaeng za mika 1000 zilikuwa zishatumwa Sangju kwa mzee Ahjigae( Baba yake Kyeon Hyeon).
hilo swali unaonaje ukalitafutia jawabu mwenyeo.Mzee mkubwa Kati ya Goryeo na Joseon, ni Nasaba ( Dynasty) ambayo ilikuwa na Wafalme wazuri na Ipi ilikuwa Powerful?