Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Hapana
wewe mjinga kutoka chato district hivi utaacha lini tabia ya kuniuliza maswali yako ya kijinga jinga?
badala ya kuniuliza maswali yanayomuhusu mke wangu mtarajiwa cha kushangaza mjinga wewe unaniuliza maswali yanayoomuhusu mke wa sheikh wang guhn,

huyo bwege alikuwa na wake takribani 30 ina maana mjinga huyo alikuwa na nguvu za kiume zenye ujazo wa pipa la maji.
kwa ufupi nimeshasahau kwa asilimia fulani kilichotokezea ndani ya hiyo drama, ila kama nitakuwa nipo sahihi hiyo drama imetuonyesha zaidi maisha ya wake zake wawili kwa asilimia kubwa sana.

  • mke wake mmoja ni yule aliyebahatika kumzalia mtoto wake aliyemkabidhi madaraka baada ya kifo chake.
  • mke mwengine ndiye yule aliyekuwa anampenda sanaaaa kama wema sepetu na ndio maana alimzalia watoto wengi akiwemo wang so, nina wasiwasi mke huyu ndiye aliyemtuma akapumzike nje ya palace kwa sababu ya ugonjwa na stress za kumpoteza mtoto wake wa kwanza. baadae kama nipo sahihi alirudi tena ndipo akaanza zoezi la kufyatua watoto takribani watano.
View attachment 1259146

I wish ningelikuwa emperor wang guhn.
jamaa alikuwa hapumziki kufanya harusi kama ukumbi.
Hapana,
Hao wawili uliowataja wote wapo.
Mmoja kutoka Naju ambaye alikuwa mama yake King Haejong. & Huyo ambaye alikuwa kipenzi cha Wang gun, yes alitokea Chungju.

Lakini ninayemuongelea ni Yule ambaye aliposikia Wang Gun amemuoa mke kutoka Naju, alikimbilia kwao kwa lengo la kujitupa mtoni afe, lakini aliokolewa na monk na akampeleka Mlimani Kuwa Monk( nun) ndipo Gung ye akaagiza atafutwe.
Ndiye mke pekee wa Wang Gun aliyefanya Harusi mbele ya Mfalme Gung Ye.
Bado tu haujamkumbuka? tena baba yake alimuamuru amuhudumie wang gun kila kitu anachotaka Wang gun.
Bado tu?
Mpenzi wa kwanza wa Wang gun alikuwa ni Lady Kang of Song ok ambaye alikuwa Queen Gang baada ya kuolewa na Gung Ye.
Mpenzi wa pili alikuwa huyo Lady Yu, according to the drama.
 
Hii Drama imebarikiwa kuwa na watu wenye akili nyingi mno.
Choi Uing( Goryeo).
Choi Seung woo The Vice prime minister (Baekje)
Choi Jimong( Goryeo)
Taepyong ( Goryeo)
Hao jamaa akili zao zilikuwa si mchezo.
 
Nacho hitaji Mawazo yako, Kwa Fikra zako kutokana na Vyanzo mbalimbali kama drama n.k
Kina nani walikuwa bora?
huo mjadala upo nje ya uwezo wangu ndio maana nilishindwa kuchangia chochote, kwanza goryeo na joseon ni dynasty zilizodumu kwa takribani karne 5 kwa nyakati tofauti, kuzijadili nchi zilizodumu kwa miaka 500 tena kwa nyakati tofauti in terms of millitary au kiuchumi unahitaji kuwa na references za uhakika, bahati mbaya sana kiupande wangu sina data zitakazoniwezesha kusimamia hoja yoyote ile nitakayoamua kuiwasilisha, ni umajinuni au ujinga kutumia nguvu kubwa sana kutetea jambo fulani huku ukiongozwa zaidi na hisia kuliko reliable data zitakazopendezesha hoja zako.

acha nijaribu kubahatisha kujibu kwa kuangalia zaidi drama za wakorea na si maandishi ya kihistoria, nikiweka hadithi za time travel kama ilivyokuwa ndani ya scarlet heart ryeo drama pia uvumilie.

goryeo: halikuwa taifa jepesi sana na ushahidi wa hilo jaribu kuangalia changamoto za vitisho walivyokabiliana navyo dhidi ya majirani tokea kuanzishwa kwa taifa hilo mpaka kuanguka kwake kuanzia khitan,japan, ming,jurchen, yuan au mongolia.

kwanza rejea vita yao dhidi ya khitan: fahamu hawa jamaa wa khitan waliangusha kwanza taifa la balhae mnamo mwaka 926, tukumbuke taifa la balhae lililanzishwa na general dae jo yeong wakiwa kama ni warithi wa goguryeokuanguka kwa balhae kulisababisha mgawanyiko ambapo baadhi ya raia hususani wale wanaotokea kwenye koo zenye nguvu walikimbilia goryeo ambayo ilikuwa na miaka 8 tokea irithi ufalme kutoka kwa shilla na walalahoi wengine walichukuliwa mateka na wanajeshi wa khitan. Ubabe wa khitan au liao emperor haukuishia hapo tu bali pia waliweza kupambana na tawala nyengine ngumu mfano song dynasty, baadae khitan waliweza kulitawala eneo kubwa sana la china (Sixteen Prefectures) pia emperor yao ilizidi kutanuka kuanzia china yenyewe, korea kaskazini ya leo hadi urusi ya leo na mongolia.

kwa akili tu ya kawaida unagundua ya kwamba liao emperor au khitan lilikuwa taifa kubwa sana ukilinganisha na goryeo lakini na ubabe wao wote walishindwa kuitawala goryeo na walifanya kampeni nyingi za kuivamia goryeo kuanzia karne ya 10 hadi 11, mwisho wa siku waliamua kusaini mkataba wa amani. kuna nyakati khitan walifanya kampeni ya kijeshi wakiwa na wapiganaji 400000 lakini pia walishindwa kuipiga goryeo.

unaambiwa hawa khitan baada ya kuiangusha balhae walituma msafara nchini goryeo ya bwana wang guhn kwa lengo la kuanzisha urafiki, miongoni mwa zawadi walizompelekea wang guhn ni pamoja na ngamia 50, basi wang guhn kwa hasira zake aliwaweka na njaa ngamia hao mpaka wakafariki, wale wajumbe waliotumwa kutoka khitan aliwafunga maeneo ya visiwani, ndipo mzee akaanzisha kampeni ya kurudisha maeneo ya kaskazini yaliokuwa yapo hatarini kuchukuliwa na khitan. ina maana vita dhidi ya khitan ilipewa baraka na wang guhn mwenyewe, akafuata mfalme wa pili, mfalme wa tatu hadi nyakati za empress chunchu bado watu wanachapana na khitan.

ila hawa khitan ya zamani walikutana na balaa la mzimu gwanggaeto, pumbavu zao walichapwa mpaka wakaomba msamaha kwa makalio.

pia rejea mgogoro wao dhidi ya wahuni kutoka mongolia; hapa unaizungumzia mongolia iliokowisha control eneo kubwa la china pamoja na baadhi ya maeneo ya magharibi, inasemekana mongolia iliwachukua miaka 30 ya vita ndipo walipoweza kuicontrol goryeo tena kwa kusaini mkataba wa amani. walichofanya goryeo ni kuhamisha kila kitu chao kutoka mji mkuu wa gaegyeong na kuelekea sehemu za visiwani huku wakijua fika mongolia hawana uzoefu wa vita ya baharini tofauti na goryeo. faida nyengine kubwa waliopata goryeo ni ile ardhi yao ya milima. ngome nyingi za goguryeo na baadae goryeo zilijengwa maeneo ya milimani jambo lililowapa tabu sana wapinzani wao wote waliowahi kukabiliana nao kwa nyakati tofauti.

ukiangalia god of war drama wamejaribu kuelezea mkasa mzima wa kuvamiwa na mongolia

1573416438434.png

1573416475641.png

umeona hizi ngome za kibabe jinsi zilivyojengwa maeneo hatarishi ya milimani halafu hapo unakutana na baridi kaliiiiiiiiiiii na mvua nyingiiiiiii, baadae unakutana na wendawazimu wagumu kwa kurusha mishale wapo juu halafu wewe mvamiaji upo chini ya mlima.,utapigwa weeeeee mpaka ughairishe uchaguzi

wagoguryeo walikuwa wabishi na wagumu
wakawarithisha ubishi wa goryeo.
ubishi huo ukarithiwa na joseon kiupande fulani.

nimeandika kivivu kwa sababu liverpool ameshinda.
 
Me kutumia telegram nimeshindwa kabisa, na mb ni nyingi mno kwa kudownload wengine tunatumia bundles za kawaida, naomba aliye huku DSM , nije aniwekee kwenye device yangu! Plz plz
ushauri wako nimeufanyia kazi kwa siku ya leo.
nimepunguza video quality hadi kufikia 360.
wastani wa mb 170 kwa kila episode.
 
naitafuta picha ya mwanadada anayeitwa sondia a.k.a mrithi wa baek Ji Young kwenye ulimwengu wa ost, yeyote atakayefanikiwa kuipata picha yake namuahidi zawadi ya kufunga ndoa na paka wangu awe ni keee au meeeee.
faida ya kufunga ndoa na paka wangu utakuwa na uhakika wa kulindiwa nyumba yako dhidi ya panya pia hatokuwa na wivu hata kama utaingiza mchepuko ndani.

grows up /adults = my mister drama ost
my song = when the devil calls your name drama
say to my self = when the devil calls your name drama
you bring no sadness = when the devil calls your name drama
the road you left = when the devil calls your name drama
the day we meet = when the devil calls your name drama
tell me you love me = the secret life of my secretary drama
a story never told = extraordinary you drama
first love = extraordinary you drama

usiku mwema
siku njema
ANNYEOOONGGG
 
Pole kwa ushindi wetu

View attachment 1259945
View attachment 1259946

umeona hizi ngome za kibabe jinsi zilivyojengwa maeneo hatarishi ya milimani halafu hapo unakutana na baridi kaliiiiiiiiiiii na mvua nyingiiiiiii, baadae unakutana na wendawazimu wagumu kwa kurusha mishale wapo juu halafu wewe mvamiaji upo chini ya mlima.,utapigwa weeeeee mpaka ughairishe uchaguzi

wagoguryeo walikuwa wabishi na wagumu
wakawarithisha ubishi wa goryeo.
ubishi huo ukarithiwa na joseon kiupande fulani.

nimeandika kivivu kwa sababu liverpool ameshinda.
 
naitafuta picha ya mwanadada anayeitwa sondia a.k.a mrithi wa baek Ji Young kwenye ulimwengu wa ost, yeyote atakayefanikiwa kuipata picha yake namuahidi zawadi ya kufunga ndoa na paka wangu awe ni keee au meeeee.
faida ya kufunga ndoa na paka wangu utakuwa na uhakika wa kulindiwa nyumba yako dhidi ya panya pia hatokuwa na wivu hata kama utaingiza mchepuko ndani.

grows up /adults = my mister drama ost
my song = when the devil calls your name drama
say to my self = when the devil calls your name drama
you bring no sadness = when the devil calls your name drama
the road you left = when the devil calls your name drama
the day we meet = when the devil calls your name drama
tell me you love me = the secret life of my secretary drama
a story never told = extraordinary you drama
first love = extraordinary you drama

usiku mwema
siku njema
ANNYEOOONGGG
download-1.jpeg
images.jpeg
images-1.jpeg
 
huo mjadala upo nje ya uwezo wangu ndio maana nilishindwa kuchangia chochote, kwanza goryeo na joseon ni dynasty zilizodumu kwa takribani karne 5 kwa nyakati tofauti, kuzijadili nchi zilizodumu kwa miaka 500 tena kwa nyakati tofauti in terms of millitary au kiuchumi unahitaji kuwa na references za uhakika, bahati mbaya sana kiupande wangu sina data zitakazoniwezesha kusimamia hoja yoyote ile nitakayoamua kuiwasilisha, ni umajinuni au ujinga kutumia nguvu kubwa sana kutetea jambo fulani huku ukiongozwa zaidi na hisia kuliko reliable data zitakazopendezesha hoja zako.

acha nijaribu kubahatisha kujibu kwa kuangalia zaidi drama za wakorea na si maandishi ya kihistoria, nikiweka hadithi za time travel kama ilivyokuwa ndani ya scarlet heart ryeo drama pia uvumilie.

goryeo: halikuwa taifa jepesi sana na ushahidi wa hilo jaribu kuangalia changamoto za vitisho walivyokabiliana navyo dhidi ya majirani tokea kuanzishwa kwa taifa hilo mpaka kuanguka kwake kuanzia khitan,japan, ming,jurchen, yuan au mongolia.

kwanza rejea vita yao dhidi ya khitan: fahamu hawa jamaa wa khitan waliangusha kwanza taifa la balhae mnamo mwaka 926, tukumbuke taifa la balhae lililanzishwa na general dae jo yeong wakiwa kama ni warithi wa goguryeokuanguka kwa balhae kulisababisha mgawanyiko ambapo baadhi ya raia hususani wale wanaotokea kwenye koo zenye nguvu walikimbilia goryeo ambayo ilikuwa na miaka 8 tokea irithi ufalme kutoka kwa shilla na walalahoi wengine walichukuliwa mateka na wanajeshi wa khitan. Ubabe wa khitan au liao emperor haukuishia hapo tu bali pia waliweza kupambana na tawala nyengine ngumu mfano song dynasty, baadae khitan waliweza kulitawala eneo kubwa sana la china (Sixteen Prefectures) pia emperor yao ilizidi kutanuka kuanzia china yenyewe, korea kaskazini ya leo hadi urusi ya leo na mongolia.

kwa akili tu ya kawaida unagundua ya kwamba liao emperor au khitan lilikuwa taifa kubwa sana ukilinganisha na goryeo lakini na ubabe wao wote walishindwa kuitawala goryeo na walifanya kampeni nyingi za kuivamia goryeo kuanzia karne ya 10 hadi 11, mwisho wa siku waliamua kusaini mkataba wa amani. kuna nyakati khitan walifanya kampeni ya kijeshi wakiwa na wapiganaji 400000 lakini pia walishindwa kuipiga goryeo.

unaambiwa hawa khitan baada ya kuiangusha balhae walituma msafara nchini goryeo ya bwana wang guhn kwa lengo la kuanzisha urafiki, miongoni mwa zawadi walizompelekea wang guhn ni pamoja na ngamia 50, basi wang guhn kwa hasira zake aliwaweka na njaa ngamia hao mpaka wakafariki, wale wajumbe waliotumwa kutoka khitan aliwafunga maeneo ya visiwani, ndipo mzee akaanzisha kampeni ya kurudisha maeneo ya kaskazini yaliokuwa yapo hatarini kuchukuliwa na khitan. ina maana vita dhidi ya khitan ilipewa baraka na wang guhn mwenyewe, akafuata mfalme wa pili, mfalme wa tatu hadi nyakati za empress chunchu bado watu wanachapana na khitan.

ila hawa khitan ya zamani walikutana na balaa la mzimu gwanggaeto, pumbavu zao walichapwa mpaka wakaomba msamaha kwa makalio.

pia rejea mgogoro wao dhidi ya wahuni kutoka mongolia; hapa unaizungumzia mongolia iliokowisha control eneo kubwa la china pamoja na baadhi ya maeneo ya magharibi, inasemekana mongolia iliwachukua miaka 30 ya vita ndipo walipoweza kuicontrol goryeo tena kwa kusaini mkataba wa amani. walichofanya goryeo ni kuhamisha kila kitu chao kutoka mji mkuu wa gaegyeong na kuelekea sehemu za visiwani huku wakijua fika mongolia hawana uzoefu wa vita ya baharini tofauti na goryeo. faida nyengine kubwa waliopata goryeo ni ile ardhi yao ya milima. ngome nyingi za goguryeo na baadae goryeo zilijengwa maeneo ya milimani jambo lililowapa tabu sana wapinzani wao wote waliowahi kukabiliana nao kwa nyakati tofauti.

ukiangalia god of war drama wamejaribu kuelezea mkasa mzima wa kuvamiwa na mongolia

View attachment 1259945
View attachment 1259946

umeona hizi ngome za kibabe jinsi zilivyojengwa maeneo hatarishi ya milimani halafu hapo unakutana na baridi kaliiiiiiiiiiii na mvua nyingiiiiiii, baadae unakutana na wendawazimu wagumu kwa kurusha mishale wapo juu halafu wewe mvamiaji upo chini ya mlima.,utapigwa weeeeee mpaka ughairishe uchaguzi

wagoguryeo walikuwa wabishi na wagumu
wakawarithisha ubishi wa goryeo.
ubishi huo ukarithiwa na joseon kiupande fulani.

nimeandika kivivu kwa sababu liverpool ameshinda.
Yes, Nakubaliana na wewe, kuwa Goryeo waliishi kwenye Nyakati ngumu zaidi ya Joseon, ni wazi pia Goryeo Dynasty walikuwepo Mashujaa wengi zaidi ya Yi Dynasty ( Joseon).
Nadhani Vita ya Goryeo dhidi ya Mongolia iliiachia majeraha Makubwa Goryeo na Baadae kuwa tegemezi kwa Tang - Ming Dynasty.
Of course kutokana na Drama ya "god of War" Inaeleza kuwa Vita Mongols dhidi ya Goryeo Pale Kwiju song( Kwiju fort) Ngome ambayo chini ya Kim Kyongson &Park So ilikuwa vita ya kwanza ya Kiume( Ngumu) Tangu Ilipopigwa Vita nyingine ngumu kama hiyo wakati wa Anguko la Gogryeo Pale Ansi song( Ansi fort).
Yes Hawa Wa- Goryeo kama wasingekuwa na Watumishi wala rushwa, basi wangeweza Kufika Level za Gogryeo.
Kuikabili Mongolia ya Ghens khan Haikuwa Rahisi, Genghis Khan anatajwa Mfalme aliyekonka maeneo makubwa Kuliko Mfalme yeyote kwenye Historia ya dunia..
Sasa ndugu zako Wa Joseon ( Yi dynasty) walijambishwa kidogo na mjapani wakalia mpaka basi, Joseon walirithi tabia za Silla Dynasty.
 
Hivi hizi Alfabet za Sejong( Hangul) zilianza kutumika mwaka gani?, Maana Ziliundwa kwenye mwaka 1430s, lakini ukitazama Drama ya Wind of The Palace ( YI San) 1700s to 1800 bado utaona wanatumia Alfabet za Kichina ( Hanja).
 
Back
Top Bottom