Ahaahaaa mbna Iris huisemi.
Mimi naangalia zote za kijijini na mjini. Hlf siku hiz wanafanya kunakua na suti na baadae kijijini. Km Faith, Dr Jin, moon lovers etc.
AaahNimeingia kwenye huu uzi fasta nikijua ntapata jina la ambayo sijaona nidownload maana ndo mambo yangu ila dah!! Nishaona zote
AsanteMe huwa nadownload kwa kutumia Internet Download Manager...
Kimjini mjin ila unafundisha snMkuu hio 2 weeks ina mahadhi gani?
Inafundisha snKimjini mjin ila unafundisha sn
Mkuu ata hii ya The flower in prison kitu kipo on going.Nimeingia kwenye huu uzi fasta nikijua ntapata jina la ambayo sijaona nidownload maana ndo mambo yangu ila dah!! Nishaona zote
Mkuu unapata taabu sana download kitu kinaitwa Dramanian kwa phone afu utakuta vitu vyenye Mp4 vioande vipande then angalizia hivyo vipande kwa PC au TvHii website ni mwisho wa MATATIZO Kamanda..!
Hivi ili utumie MB chache kwenye kustream inabidi utumie resolution ipi kati ya 360p,420p na 760p..!?
Me hii kitu inanichanganya kidogo..!
Zipo nyingi sana hujaziona.
Iljimae.
East of Eden.
The return of iljimae.
Shine or go crazy.
Swallow of the sun.
Triangle.
Giant.
Road no 1.
Real Monster.
Healer.
Mr black.
Kumbe iljimae na the return of iljimae ni kitu mbili tofauti let me find both of them
Aaahthe trees with deep root
gu-family book
slave the hunter
the moon that embracing the sun
jumping
warrior bark dong so
maids
empress K
emperor of the sea
dong Yi
The schooler who walk the night
the greatest queen seondeok
the book of the three Hans
jockpot
Ni pm basi nine kuchukua hiyo mizigoNpo tabata Mkuu
Kama ni mpenzi wa historical drama za mapigano King Gwanggaeto iko njema sana haitokuboa...Me niko nachek giant hapa yaan hii kitu uspime ni kali balaa kuanzia episode 1 mpaka mwisho
Then nitachek king gwanggaetto naskia nayo kali
Nimeshawatch kibao kama
Gu familly book
Moon emperes the sun
My love from another star
My girlfriend is a gumiho
Shine or go crazy
Desendants of the sun
Kill me hill me
Faith
Heirs
Boyz over flower
You are surrounded
She was pretty
Playfull kiss
Chuno
Ooh my venus
masters sun
Jumong
Kwa Wapenda Mapigano. Dae Jo Young Na Gwangaeto Ndio Mwisho Wa Matatizo.Kama ni mpenzi wa historical drama za mapigano King Gwanggaeto iko njema sana haitokuboa...
Humo utakutana na Prince Kichaa Damdeok..!
Me napenda sana historical drama za mapigano mkuu..!
Kweli kamanda...Kwa Wapenda Mapigano. Dae Jo Young Na Gwangaeto Ndio Mwisho Wa Matatizo.
Kama ni mpenzi wa historical drama za mapigano King Gwanggaeto iko njema sana haitokuboa...
Humo utakutana na Prince Kichaa Damdeok..!
Me napenda sana historical drama za mapigano mkuu..!