Gwanggaeto the Great
JF-Expert Member
- Apr 14, 2018
- 831
- 1,792
Hahaha, Asante sana Mkuu, Kheri ya Mwaka Mpya pia kwako.umekunywa chai ya moto imekuunguza mdomoni cha ajabu unavunja kikombe kwa hasira kanakwamba ndicho kilichokushauri unywe maji ya moto.
wewe muhuni kwa nini unapenda sana uchochezi dhidi yangu?
happy new year brother.
😁😁 Ile Account yangu ya Telegram nimeisahau mwishowe sasa nimejiunga upya.hizo nilizoziweka bolds nimeota ndoto ya mchana bwana @Great Conqueror ataziendeleza..
Hiyo Age Of Warriors mimi mwenyewe nimeiweka Pending(episode 7/158), sababu mpaka nikiimaliza Emperor Wang Gun ambayo nilianza kuitazama mwezi wa 6.ge of warriors drama imejengwa na episodes 156, yaani kuangalia age of warriors drama ni sawa sawa na kuangalia jumong drama mara mbili.
kiupande wangu nimeangalia age of warriors mpaka episode ya 100, imagine adhabu nitakayokutana nayo pindi nitakapoanza tena kuipakua episode 1 mpaka nitakapofikia then nikaihifadhi kwenye channel ya telegram (hata yesu, mohammad, budha na viumbe vyenginevyo vilivyoacha athari kwenye huu ulimwengu wasingelifanya wema huo kwenye huu ulim
Nimepakua tena japo ni kwa kiasi fulani, Ndugu.Daaaah pole sanaaa, series Ni Kali Sana hiyo.fanya tu uanze kudownload upya,hakika hutojutia
Parasite Naona Inachanja Mbuga Kwenye Kuchukua Awards.mpira ni kharamu..
habari za mpira mtafute makonda
chief kwa muda huo si waeza sahau mwanzo wa drama 😂😂😂😂Hiyo Age Of Warriors mimi mwenyewe nimeiweka Pending(episode 7/158), sababu mpaka nikiimaliza Emperor Wang Gun ambayo nilianza kuitazama mwezi wa 6.
Mi huwa natumia torch blowser kupitia drama nice na dramacool,hii torch haihitaji idm,Hivi season za kikorea wapi naweza kuzidownload bila miyeyusho? List ya sites Kama zipo nyingi mnaweza nisaidia wakuu
Shukrani mkuuMi huwa natumia torch blowser kupitia drama nice na dramacool,hii torch haihitaji idm,
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Hiyo Emperor Wang Gun, Kuna Matukio na Baadhi ya Washiriki nishawasahau.chief kwa muda huo si waeza sahau mwanzo wa drama 😂😂😂😂
mkuu nimezicheki ila hiyo age of warriors ndio nikadhan uliisahau kuiweka kumbe unasababu mujarabuu kabisa za kutokuiweka.age of warriors drama imejengwa na episodes 156, yaani kuangalia age of warriors drama ni sawa sawa na kuangalia jumong drama mara mbili.
kiupande wangu nimeangalia age of warriors mpaka episode ya 100, imagine adhabu nitakayokutana nayo pindi nitakapoanza tena kuipakua episode 1 mpaka nitakapofikia then nikaihifadhi kwenye channel ya telegram (hata yesu, mohammad, budha na viumbe vyenginevyo vilivyoacha athari kwenye huu ulimwengu wasingelifanya wema huo kwenye huu ulimwengu uliojaa miujiza ya ubishi na roho mbaya)
=======================
kutoka oktoba nilipojiunga na telegram mpaka mwishoni mwa mwezi december ambao ndio mwezi wa mwisho kuweka video kwenye ile channel nimefanikiwa kuweka project zifuatazo hapo chini, unaonaje ukatafuta project inayokufaa ukaendelea kuangalia...
hizo nilizoziweka bolds nimeota ndoto ya mchana bwana Great Conqueror ataziendeleza.....
- my country drama (completed)
- arthdal chronicles drama (completed)
- vagabond drama (completed)
- when the camellia blooms drama (completed)
- melting me softly drama (completed)
- graceful family drama (completed)
- Money Flower drama (completed)
- hymn of death drama (short drama, completed)
- Desert Spring (short drama, completed)
- the most beautiful goodbye in the world (short drama, completed)
- The Crowned Clown drama (completed)
- Hotel del Luna drama (completed)
- signal drama (completed)
- tunnel drama (completed)
- kingdom season 1 (completed)
- Life on Mars drama (completed)
- life drama (completed)
- Designated Survivor: 60 Days (completed)
- VIP drama (completed)
- Different Dreams drama (completed)
- My Mister (my ajussi) drama (completed)
- because this is my first life drama (completed)
- Encounter / Boyfriend (completed)
- Doctor Prisoner drama (completed)
- The Land of the Wind drama (completed)
- lawless lawyer drama (completed)
- criminal mind drama (completed)
- The Tale of Nokdu drama (completed)
- Extraordinary You drama (completed)
- Secret Boutique drama (completed)
- Chief of Staff season 1 (completed)
- the fiery priest drama (completed)
- One Spring Night drama (completed)
- Angel's Last Mission: Love (completed)
- Chicago Typewriter drama (completed)
- fates and furies drama (completed)
- I miss you drama (completed)
- Suits drama (completed)
- Jeong do jeon drama (30 episodes)
- chocolate drama (going on,10 episodes)
- crash landing on you drama (going on, 5 episodes)
- dae jo yeong drama (5 episodes)
- diary of prosecutor ( going on, 4 episodes)
- black dog drama (going on, 4 episodes)
- stove league drama (going on 5 episodes)
- woman of 9.9 billion (going on, 8 episodes)
Una Drama Ambazo unataka kuzirusha kule?, nikuunge?mkuu nimezicheki ila hiyo age of warriors ndio nikadhan uliisahau kuiweka kumbe unasababu mujarabuu kabisa za kutokuiweka.
kama vipi achia access bas kwa channel kuweza kuweka zingine.
shukran.
Sent using Jamii Forums mobile app
wala sikupi pole...
umejiingiza kwenye betting kwa hiari yako isiyoambatana na shinikizo lolote la kimawazo.
korean family drama nitaendelea kuzipotezea mpaka nitakapofunga ndoa na mwanamke asiye na kazi ya kufanya mnamo mwaka 2040...
- Episodes: 100
- Release Date: September 28, 2019 - 2020
- Runtime: Saturday & Sunday 19:55
tutakuwa tunakaa ndani muda wote tuna angalia drama.
Series yangu ya muda wote hii.. naikubali sana.. Han tae kyong alikiwasha.Hatimaye nimeimaliza Drama ya Princess' Man. ilikuwa nzuri. Nilichojifunza ni kuwa "YEYE ANAEWADHURU WENGINE MARANYINGI HUJIDHURU MWENYEWE" haya yalimtokea Bwana mkubwa(Grand Prince Suyang).
View attachment 1332775
3 Days ni Drama Swafih Kabisa! Imenivutia sana, muhimu zaidi hakuna cha Romance humu ndani ni mwendo wa Kazi kazi. Nilichojifunza baada kuitazama ni kuwa " MWISHO WA UBAYA NI FEDHEHA"
Naam, nakwenda kuitazama Two Weeks kizuri zaidi huyu Park Ha Seun( 👆huyo wa Kwanza kushoto) alifanya vizuri kwenye hii 3 Days na zingine kama Dong Yi King and I. Yupo kwenye Two weeks Drama .
Kweli yaani hii weekend bila crash landing on you ni mbaya kwangu pia. May be I should start watching stove league, hope it's gud.hii weekend imekuwa mbaya sana kiupande wangu.
no stove league drama
no crash landing on you drama
manchester united imekuwa ovyoooo.
sijui nikajaribu kunywa pombe?
View attachment 1334140
Huyo Han Tae Kyong, alikuwa si mchezo kifupi sijawahi kuona Drama ya mjini yenye Zero Romance, ila hii 3 Days ni kiboko.Series yangu ya muda wote hii.. naikubali sana.. Han tae kyong alikiwasha.