Kweli tumetofautiana kwa upande wangu "Innocent defendent" ni best kuliko drama yoyote niliyowahi kuona kwanza kabisa Ina matukio ambayo ni unpredictable alafu pia Ina matukio ambayo unaweza kujifunza katika maisha na kila episode inapoisha inakupa hamu ya kuangalia episode inayofuata.Hii ndio drama niliyoangalia episodes nyingi kwa siku moja Kuna siku niliangalia episode 11 kwa siku moja kitu ambacho sikuwahi kufanya.upo sawa "Innocent Defendant" nishaiona, ila kwa "VAGABOND" bado sana.
Ni kweli woman of 9.9 billion haijaifikia vagabond ila "Innocent defendent" weka mbali kabisa was far better than vagabondWewe kijana acha hizo ya kawaida mno. Ile ya bilion hata sijaipenda haijaifikia vagabond hata robo
Vagabond ni kali. Innocent defendant ukali wake ni pale tu wana mission ya kutoroka basi. Ila ukiamua kuipamba drama unaipamba wee mwisho wa siku ya kawaida mno.Kweli tumetofautiana kwa upande wangu "Innocent defendent" ni best kuliko drama yoyote niliyowahi kuona kwanza kabisa Ina matukio ambayo ni unpredictable alafu pia Ina matukio ambayo unaweza kujifunza katika maisha na kila episode inapoisha inakupa hamu ya kuangalia episode inayofuata.Hii ndio drama niliyoangalia episodes nyingi kwa siku moja Kuna siku niliangalia episode 11 kwa siku moja kitu ambacho sikuwahi kufanya.
Ni kweli woman of 9.9 billion haijaifikia vagabond ila "Innocent defendent" weka mbali kabisa was far better than vagabond
upo sawa "Innocent Defendant" nishaiona, ila kwa "VAGABOND" bado sana.
Ukawaida au ukali wa drama unategemea na mtazamo wa mtazamaji aina gani ya drama inayomvutia ndomaana inaweza drama Fulani ikashinda kuwa best drama lakini ikapata criticism ya baadhi ya watu.Lakini kwa mtu ambaye ame specialized na movies au drama atakuambia " Innocent defendent" ni best drama ukiangalia hii drama unaona kabisa aliyeandaa script ametumia akili kubwa sawa na yule aliyetengeneza " The empress ki" tofauti yake ni kwamba innocent defendent haina mambo ya mapenzi.Hata empress Ki uliisifia hivi hivi
Vagabond ni kali. Innocent defendant ukali wake ni pale tu wana mission ya kutoroka basi. Ila ukiamua kuipamba drama unaipamba wee mwisho wa siku ya kawaida mno.
Niambie kitu gani vagabond imeizidi " Innocent defendent"?upo sawa "Innocent Defendant" nishaiona, ila kwa "VAGABOND" bado sana.
Yah vagabond ni nzuri lakini si zaidi ya "Innocent defendent"VAGABOND aisee msifananishe upuuzi wowote ule na hii kitu maana dah wakorea wanajua aisee then kuna Tell me what u saw nayo si haba
[emoji3][emoji3][emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Jaman hii itakuwa Inaitwaje View attachment 1378150View attachment 1378151View attachment 1378152
Sent using Jamii Forums mobile app
ππππππππππππkumbe numbisa ni mwanamke.......
nilifikiri ni meeeee kwa sababu muandiko wake hauna matiti
umecheka sana, nahofia pindi atakapokuja hapa utaisahau hiyo button ya kichekoππππππππππππ
We una utani na Numbisa ngojea aje kukuchambaumecheka sana, nahofia pindi atakapokuja hapa utaisahau hiyo button ya kicheko
Hiv kwa upande wako drama ipi kwako ni Kali ya muda wote na ni kwanini ni hiyo ?We una utani na Numbisa ngojea aje kukuchamba
Kwa upande wangu best drama of all time ni "Innocent defendent" inafuatiwa na " The empress ki"nipe muda zaidi ili nipate kuzivuta kumbukumbu zangu ili zinirudishe siku yangu ya kwanza nilipoanza kuangalia wakorea.
Si chini ya 50 ni ngumu Sana kutaja yote maana nyingine hata majina yake nimesahaukwa kufanya makisio umeangalia drama ngapi za wakorea halafu zitaje..
VAGABOND inaizidi vingi mno INNOCENT DEFENDANT ambavyo itachukua muda mwingi kuvielezea. Bahati nzuri hizi DRAMA zote zipo kwenye Genre moja ya Thriller.Niambie kitu gani vagabond imeizidi " Innocent defendent"?
Hahahaha Basi mie hata hayo nimeshika kujua tu zile ofisi zimehusian vipi imenipa shida had ep3...money game drama:
kama umespecialize kwenye ulimwengu wa fedha (uchumi, benki, taxation n.k) hiyo drama itazidi kukuvutia
hiyo drama imenipa tabu sana kuielewa hususani termilogies zake.
BIS capital ratio
tobin tax
liquidation
............
nisikutishe