Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nazani wewe ndo umechanganya maudhui " Innocent defendent" ndo haitabiliki matukio yake hiv ulijua mke wa starring aliuliwa na Nani? Na je mtoto wake angepona? Hiv ulizani kwanini starring alipoteza kumbukumbu? Na Nani alikuwa nyuma ya kufanya hayo? Mzee baba aliyeitengeneza hii drama alitumia akili kweli kweli.Na kingine kilichomfanya hii drama iwe na mvuto ilikuwa ina pande mbili za matukio upande wa wale mapacha na upande wa starring na kote kulikuwa na matukio yake yakuvutia tofauti na "Vagabond" ambapo drama nzima ilikuwa imemzunguka starring na starring mwenyewe alikuwa apati changamoto ya kwel kwel kila Jambo alikuwa anafanikiwa hii ni tofauti na "Innocent defendent" ambapo starring amepitia changamoto kubwa na baadhi ya mission alikuwa afanikishi zinashindwa.
 
hahaha We kijana uache ubishi pale unapokuwa unaelekezwa njia sahihi na Babu zako, Don't you know experience only makes a man stronger?.
kakwambia nani kuwa Changamoto ambazo hazitatuliki ni ngumu na ambazo zinatatulika ni nyepesi?. siku zote Ukubwa wa Changamoto na udogo wake inategemea jinsi akili yako inavyoitafsiri. Kama akili, na moyo na mwili umejiset kuwa kila kitu kinawezekana, basi hutoshindwa na jambo lolote maana makubwa na madogo yote yatakuwa saresare.

Cha Dal gon na Go hae ri( main character wa VAGABOND) bado hawajaimaliza kazi yao ya kuwakamata Wahalifu wa Kivita, ambaye Kiongozi ni Mr. Samael ( Park Edward) kwanza sidhani kuna mtu alitegemea kama Park Edward ndiye gaidi mwenyewe, lakini pia hatujui huko mbeleni yawezekana mzee mkubwa na yeye yuko china ya au laah! kwa sababu Drama yenyewe haijaisha, lakini mpaka hapo ilipofika sidhani kama kuna Drama ya Mjini inayofuata moto wa VAGABOND, na hapo nasemea Drama zenye maudhui ya uhalifu, mapigano( vita).
kiukweli VAGABOND si drama ya mchezo mchezo.
Ingawa kila mlevi husifia pombe anayoipenda. lakini haimaanishi kila pombe anayoipenda ni bora.
FACT NA MTAZAMO
UBORA NA MAPENZI

Anyway kichapo cha Man City pale Bernabeu bado kimeniathili licha ya ushindi wa Juzi.
 
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
hahaha Athari za kipigo zimejidhihirisha zenyewe.
 
Innocent defendant adui na stering wanajulikana tangu mwanzo. Na tangu mwanzo adui ni bata tu kila akifanyacho anafanikiwa huku stering akiteseka weeee. Innocent ddefendant hadi episode za kati kati fumbo limeshafunguka. Na mwenye akili za haraka haraka baada ya mauaji ya mke wa defendant,muuaji alishajulikana vizuri tu

Vagabond haitabiriki,umdhaniae ni adui kumbe sio na umdhaniae ni mtu mwema kumbe adui. Vagabond hadi inaisha fumbo halijafunguka

Kutoroka gerezani kwa innocent defendant ni kwa uzembe wa askari gereza au tuseme maigizo yalizidi,defendant wakati anakimbizwa na polisi akawapoteza kidogo kisha akakutana na gari la wenzie wakapisha na polisi huku hawajazima taa ndani ya gari,askari wazembe tu wanaweza pitwa na tukio kama hilo.

Vagabond ina mbio za magari kutoka bandarin hadi karibu na mahakama. Wakati innocent ina mbio za miguu kutoka gerezani hadi uraiani.
 

hahaha, Kheri ya Siku ya Wanawake.
Hayo mengine nikitia neno utakuwa uonevu dhidi ya huyu kijana.
 
Basi wewe baki na hiyo Vagabond na Mimi nabaki na " Innocent defendent" kwangu hii ndo best drama kuliko zote nilizowahi kuona.Me napenda drama ambazo pia starring anapata challenges
 
Me napenda drama ambazo pia starring anapata challenges
Hahaha kwahiyo Kifo cha Mwipwa wake na Cha Dal Geon na Zile Harakati za kuwaibua Magaidi haikuwa Changamoto!!!!.
umesahau kwamba jamaa ilibidi ahairishe mipango yake kwaajili ya Kusaka haki kwa Wahanga. inamaana lile tukio la kigaidi(Ulipuzi wa Ndege ya Abiria) kwako wewe haikuwa Changamoto?!!
Chal Dal Geon na Go Hae ri, walijitoa sadaka kupambana na Ma-big fish kuanzia Jessica Lee na Kampuni yake, Vigogo wa Serikalini kuanzia NIS mpaka Mpaka Ofisi ya Raisi na Waziri mkuu, bila kusahau controller wa Mchezo mzima ambayo ni Kampuni ya Dynamic . lakini kwako nimepesi kuliko ya yule aliyesingiziwa!!!!.
Hakika ni Vigumu kuridhisha kila Nafasi.
Narudia tena Mawazo yako nitayaheshimu.
 
Tatizo kila walichokuwa wanafanya kinafanikiwa
 
Tatizo kila walichokuwa wanafanya kinafanikiwa
hahaha Unazingua sasa, ukiona mafanikio kwenye kila jambo ujue kuna Akili na Juhudi zaidi zilitumika lakini si kwamba jambo hilo lilikuwa ni jepesi.

Ile Drama kama unakumbuka vizuri, Bado hawajafanikiwa kuwakamata maBig fish hata mmoja zaidi ya kumuua yule Rubani( Kim woojin) na Jerome( huyu aliharibu system ya Engine). kwahiyo VAGABOND bado haijaisha.
 
Nibaki nayo wapi hapo tumekupa fact acha tabia ya kulazimisha watu wapende ukipendacho. Kila ukiona drama yoyote unachachawa. Hizo zote mbili tumeshaziona.
Basi wewe baki na hiyo Vagabond na Mimi nabaki na " Innocent defendent" kwangu hii ndo best drama kuliko zote nilizowahi kuona.Me napenda drama ambazo pia starring anapata challenges
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…