Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

nimefurahishwa sana na msimamo ulionyeshwa na mjukuu wangu (innocent dependent) kwenye huo mjadala wenu........
hongera sana mjukuu.
umeshakuwa kijana mwenye nguvu.
kuanzia leo assignment zote utazifanya mwenyeo.​
Kijana wangu innocent dependent Hizo sifa anazokupa Babu yako( Daemusin) jichunguze je unazo?!!, hahaha maana unapaswa kuwa makini na mtu anayekusifia, kuliko anayekukosoa.

TAFADHALI MIPAKA YA N.K( Pyongyang) imefungwa ukija kichwa kichwa ni mwendo wa Shabaha za Wazee wa mashuti ya mbali (ma- Sniper). Lengo ni Tahadhali dhidi ya Corona.
 
Hizo ulizozitafuta mpaka episode ya tano nimeshaziangalia. Kwa upande wangu nimezipenda.
Mzee anauvaa uhusika vizuri.

Nipo napambana zinazoisha mwezi huu gracious revenge na beautiful love,wonderful life
 
Huyo Mzee Kiboko, aliua kwenye Jeong Do Jeon, Gu Family na Tear Of the Dragon. nilimkubali.
 
hahaha Amepimwa amekutwa na Corona, Nadhani Juzi alipokwenda SK.( South Korea) ndio aliambukizwa Virusi hivyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…