Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Nilikua nimewapuuzia wakorea na kuwapa kipao mbele wazungu hasa na series zao za kijasusi ila baada ya kupewa drama moja inaitwa What happen to my family nimejikuta nimewaelewa sana wakorea.
Humu inaonekana wengi wafuatiliaji, so naombeni msaada wa drama yoyote ya kikorea inayochekesha na yenye vituko kama hiyo ya what happen to my family

Asanteni.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kuchekesha tu?
haya bwana kila la kheri
  1. waikiki season 1
  2. waikiki season 2
  3. modern farmer
  4. High Kick Through The Roof
  5. 30 but 17
  6. personal taste
  7. My Name Is Kim Sam Soon
  8. Fight for My Way
Asante mkuu, unaweza nisaidia na more sites za kudownload hizi drama ukiacha na alizotoa mtoa uzi, kama zipo lakini, au wewe unatumia website gani kuzidownload

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Damo na Two weeks zipo vizuri sana
 
Kwangu mimi nimeangalia drama chache sana za Korea.

Ninayoipenda kuliko zote ni IRIS tu hii huwa narudia kuangalia kila ninapopata nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ahsante Chingu.

Hospital Playlist Inanifanya Naumiza Mbavu Zangu. Shuklani
 
Hakika mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi bado sijaangalia episode 12 jamani Daemusin fanya kushusha mzigo niingie kwenye mjadala mie 🤦‍♀️


Sent from my iPhone using JamiiForums
Sun Woo Katuangusha Kwenye Hii Episode Tusompenda Psycho.
Japo Nimemuelewa Maisha ya Ndoa Si Rahis kiasi Icho Tunachozan.

Kamtetea Polisi na Mwisho Wa Episode Kaampa Nzuri. Lol!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…