Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

Historical sometimes naita drama za magauni. Ukimaliza historical moja tamu kabla ya kurukia nyingine(gauni) hamia ya mjini,ukiimaliza ya mjini rudi kwa hio ya magauni utaona uzuri wake ambao haukuuona awali.
 
Historical sometimes naita drama za magauni. Ukimaliza historical moja tamu kabla ya kurukia nyingine(gauni) hamia ya mjini,ukiimaliza ya mjini rudi kwa hio ya magauni utaona uzuri wake ambao haukuuona awali.
Mwaka 2018-19 Nilikuwa Nikiangalia Historical Drama Mwanzo mwisho, mwaka huu Ndio Nimekuwa na tabia ya kuchanganya Drama za Mjini na za Kihistoria.
 
Kuna movies ukizimaliza unatakiwa uchukue likizo fupi kwanza kisha uangalie nyingine maana kwa uzuri wake unaweza ichukia inayofatia. "Shin don" sijawahi kuiona,nimepata akiba ya kuangalia.shukrani. Ila shine or go crazy nzuri sana

My God! Hiki ndicho ninachopitia kwa sasa. Nimemaliza kuangalia Marry Me Now napata taabu kupata nyingine ya kufanania na ile. Nimejaribu Hospital playlist hata episode 1 sijaimaliza, Arthidal Chronicles hata dakika 20 hazikuisha!
Mpaka nimeingia uvivu wa kuangalia drama yangu pendwa Married Couple World, haki niko kwenye wakati mgumu sana.
Juzi nilitaka niwaambie hapa...


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Marry me now hautapata mpinzani wake jipe kalikizo tu kwa kuangalia maudhui ya historical. Arthidal mwanzoni hutaipenda inabidi kutulia mno,ukiielewa nzuri sana.
 
Tumia direct link itakupeleka kwenye browser ni vyema ukachagua browser ya uc mini hapo unapakuwa mzigo kwa uhakika
Wakuu habarn,nmetumia telegrm kupakua movie nikafanikiwa ila asubuh naangalia znaonekana sijazipakua,znataka nipakue tena ...kuna maujanja yoyote ya kufanya nizipate maana nmekesha nikipakua..

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Arthdal Nzuri sana Sanaa ipe nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu habarn,nmetumia telegrm kupakua movie nikafanikiwa ila asubuh naangalia znaonekana sijazipakua,znataka nipakue tena ...kuna maujanja yoyote ya kufanya nizipate maana nmekesha nikipakua..

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama umesha download haiingii moja kwa moja kwenye simu inabaki telegram huko huko mpaka ww utakapoitoa mwenyewe... bonyeza hyo episode uliyo download halafu click kwenye save to downloads

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Daemusin
Ahsante hii innocent defendant ni kipuuzi sana ep 1-7 kwani ni mkanganyiko WA fikra, kwa hakika inatufundisha tusiwe na jibu moja au njia moja kwenye kulinda vyako na kuadabisha yasiyofaa


Pembeni kuna whisper Ambayo nayo ni kizungu mkuti kwa wataalamu wa sheria katika kutafuta mensu rea una actus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…