LwandaMagere
JF-Expert Member
- Mar 15, 2020
- 264
- 2,484
Mkuu ni App gani nzuri ya kuangalia hizo korean drama?
Telegram nawapataje na mimi niwe napata drama za kikorea vimapenzi mapenzi komedi komedi...
Telegram - FREE KOREAN DRAMASTelegram nawapataje na mimi niwe napata drama za kikorea vimapenzi mapenzi komedi komedi...
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo Queen Noguk alikuwa Smart mpaka raha, alikuwa mjasiri sana na Mshauri na mtu wa kumpa mfalme matumaini na kumtia moyo.mapenzi yalizidi kumtia msongo wa mawazo na tatizo la akili baada ya kifo cha malikia noguk (binti kutoka mongolia).....licha ya kwamba bidada alikuwa ni mwana wa mfalme kutoka mongolia (yuan dynasty) lakini aliipa heshima na kuichukulia goryeo pamoja na vizazi viliyomo ndani ya nchi hiyo kuwa na haki sawa na yuan dynasty ,
queen noguk alimsaidia kwa kiasi kikubwa sana kwenye kampeni yake ya kuirudisha goryeo kwenye njia ilio sahihi (kwa kuwaondoa pro mongolia wakiongozwa na ukoo wa empress ki).
ukaribu wake kimahusiano na malikia noguk ulipelekea jamaa akatae kuongeza mke wa pili licha ya kushauriwa mara kwa mara na familia yake (walitaka afunge ndoa na mwanamke wa goryeo), sababu kubwa ilikuwa ni kushindwa kwake kupata mrithi wa madaraka kwa sababu ya kushindwa kuzaa kwa malikia noguk (huyu malikia baada ya kuhangaika kupata mtoto hatimaye baadae alikufa kwa tatizo hilo la uzazi, ilikuwa ni maumivu makubwa sana kwa gongmin).
----------------------------------------------------
ukirudisha kumbukumbu zako mpaka kufikia drama ya jeong do jeon, six flying dragons, greet seer unakutana tena na mwendelezo wa hadithi ya mfalme gongmin..
teh teh teh
jamaa alioa concubines lakini hakuwa na muda wa kutimiza wajibu wake (code nyepesi), hatimaye siku moja mfalme gongmin alijikuta akiuwawa na mlinzi fulani ambaye inasemekana alikuwa anatembea na mke wake.
-----------------------------------------------
maisha yote mshindi wa vita ndiye mwenye haki ya kuandika historia atakavyo,
kuna simulizi fulani inadai ya kwamba mtoto aliyezaa na concubine hakuwa wake bali alikuwa ni mtoto wa huyo monk shin don.
nukuu hiyo ni kwa mujibu wa drama ya jeong do jeon.
===============
kifo cha gongmin ilikuwa ndio mwanzo wa kuanguka kwa goryeo....
vita ya siasa ilianzia hapo pale yupo lee imin na timu yake, pale yupo general choi yeong, pale yupo kichwa kigumu sambong........na kule kuna simba mwenda kimya general yi song gye....... kuleee kuna mwanadamu aliyekunywa maji ya bendera ya goryeo bwana jeong mong jo a.k.a poun.............................................. na mwisho kuleeeeeee kuna mwendawazimu yi bang won na akili zake nyingi zilizofungamana na ukatili.
nitaitafuta tena hii project siku za mbeleni, nilifika episode 12
hahahaha Gung Ye dhidi ya Wang Geon huu ni ukatili mkubwa uliofanywa na waandika vitabu vya Historia.maisha yote mshindi wa vita ndiye mwenye haki ya kuandika historia atakavyo,
Hahaha Jamaa alikuwa mjeuri yule, doh!hahahaha Gung Ye dhidi ya Wang Geon huu ni ukatili mkubwa uliofanywa na waandika vitabu vya Historia.
Haijaisha bado itaendelea.With a shitty ending
Sent from my iPhone using JamiiForums
Hahaha Wachina wasituchanganye, yaani King Gwanggaeto(Dam Doek) awe mchina!!, King Dongmyeong( Jumong)!!, Daemusin( Muyul)!! wasituzingue hao.hata lile vugu vugu la kutengeneza project za three kingdom especially goguryeo limezimika kwa takribani muongo mmoja (decade), labda ni kwa sababu zile kelele za kila upande (korea na china) kujisifia umiliki wa historia ya goguryeo zimezimika kama mshumaa wa keki ya birthday.
miaka ile madirector wa korea walikuja na moto mkubwa sana (nadhani walikuwa wanawakomoa wachina)
jumong + dae jo yeong + yeon gae somun + the legend = zote hizi ndani ya mwaka mmoja
Writer Lee Hwan-kyung of "Yeongaesomun" openly stated that one of the reasons the drama was made was to counter China's claim over the history of Goguyreo.
Haijaisha bado itaendelea.
Labda Daemusin atakuwa anajua ratiba.Labda 2021 lol
Sent from my iPhone using JamiiForums
father is strange nimeanza kuiangalia na nimefika episode 9 (nimeipakua mpaka episode 15).
FAMILY DRAMA
nimeangalia marry me now completed (hii bado haijapata mpinzani)
what happened to my family = nimefika episode 13
my golden life = niliangalia episode 1
hizi project unaweza kudhani zimeandikwa au kusimamiwa na mwanadamu mmoja, siyafahamu maisha ya wakorea ila kupitia drama hizo hapo juu nimejifunza au kugundua ya kwamba waandishi wote wanajaribu kuonyesha ya kwamba familia zenye kipato cha kawaida wanakuwa na maisha ya furaha, masikilizano, upendo na utiifu kuliko familia za mboga saba (chaebol family).
acha nipambane nayo
================================
hawa wahuni wawili vituko vyao vinalingana na familia ya kuleee ndani ya marry me now, hahahahaaaaaa
mama alifikiri chakula amepikiwa yeye, aigooo kumbe ni chakula cha paka
teh teh teh
huyu mzee ni kiboko ya uchafu
View attachment 1458311
View attachment 1458314
Hakika Daemusin lkn pia wanatufundisha carrier za watu wa kawaida na nmna wanavyointeractfather is strange nimeanza kuiangalia na nimefika episode 9 (nimeipakua mpaka episode 15).
FAMILY DRAMA
nimeangalia marry me now completed (hii bado haijapata mpinzani)
what happened to my family = nimefika episode 13
my golden life = niliangalia episode 1
hizi project unaweza kudhani zimeandikwa au kusimamiwa na mwanadamu mmoja, siyafahamu maisha ya wakorea ila kupitia drama hizo hapo juu nimejifunza au kugundua ya kwamba waandishi wote wanajaribu kuonyesha ya kwamba familia zenye kipato cha kawaida wanakuwa na maisha ya furaha, masikilizano, upendo na utiifu kuliko familia za mboga saba (chaebol family).
acha nipambane nayo
================================
hawa wahuni wawili vituko vyao vinalingana na familia ya kuleee ndani ya marry me now, hahahahaaaaaa
mama alifikiri chakula amepikiwa yeye, aigooo kumbe ni chakula cha paka
teh teh teh
huyu mzee ni kiboko ya uchafu
View attachment 1458311
View attachment 1458314
πππ Mniache kwanza bado niko na wasomi wa uchumi ( Money Game).pale unapomaliza kuiangalia the king and eternal monarch unahitaji kufanyiwa massage ya kichwa
View attachment 1458300
credit: soompi forum
Duh! kweli hao Gogryeo walikuwa Wanaume.tawala za wachina walifanywa kitu mbaya sana na hao wahuni wa goguryeo kwa nyakati tofauti.....
nyakati fulani za utawala wa sui dynasty (kabla ya kuja tang dynasty) waliivamia goguryeo wakiwa na jeshi linalokadiriwa kufikia millioni 1......
ulikuwepo mzimu mmoja unaitwa general eulji mundeok.
mwanaume alimtumia shairi lifuatalo general wa nchi ya sui
Your divine plans have plumbed the heavens; Your subtle reckoning has spanned the earth;
You win every battle, your military merit is great; Why then not be content and stop the war?
kilichotokezea wachina tambi walifanyiwa ambush ya kinyama na huyo mwendawazimu
Vipi season 2 tayari..moto ule ni hatari....