Kuna Siku Wakati Naanza Kuiangalia Nikawa Napitia Comment Kwenye Site Ya Kissasian Wakawa Wanmponda Lead Actor, Kwamba Ana Scandal Ya Kuwanyanyasa Kijisia Wanawake Na Alishawah Kukamatwa Ila Alitoka Sababu Ya Uwezo Wa Familia Yake.Ni nzuri,au hujabarikiwa na main characters?
Sasa ii Haipo Kama Black Ila Unaudambwi Wake Wake Yaani.Unakumbuka ule udambwi dambwi wa Song seung heon katika drama ya black basi huo ndio ninaupenda zaidi.
Iangalie Kabla Hawajaiunguza.Mbona nashawishika jamani.
Huyo lead actress namwelewaga hatar
Mbona kanitoka Kama ushuzi wa ngomani ghafla,heeeeh ndo series yake ya kwanza naiona nikaona ananibariki kumbe hafai loh!Kuna Siku Wakati Naanza Kuiangalia Nikawa Napitia Comment Kwenye Site Ya Kissasian Wakawa Wanmponda Lead Actor, Kwamba Ana Scandal Ya Kuwanyanyasa Kijisia Wanawake Na Alishawah Kukamatwa Ila Alitoka Sababu Ya Uwezo Wa Familia Yake.
Pale Pale Nikaanza Kuona Madudu Nikaishia Apo Apo. Ila ntaanza Angalia Tena.
Daaah haya bana umeshinda,ngoja niianze sasa hivi japo guroho gunaumaIangalie Kabla Hawajaiunguza.
chimbuko la stori ilianza hivi mnamo mwaka 2013....
alikuwepo Mr K (jina lilihifadhiwa), park shi hoo mwenyewe na trainee Mrs A (jina lilihifadhiwa). Watatu hao kwa pamoja walikuwa wanakunywa pombe kwenye mgahawa na ilikuwa ni mara ya kwanza kwa Park shi hoo kukutana na huyo trainee Mrs A, baada ya kumaliza kunywa (haijulikani walilewa kiasi gani) watatu hao waliondoka kwa pamoja na kuelekea nyumbani kwa park shi hoo...
twende mbele:
wakati wa uchunguzi wa hiyo kashfa zilitafutwa camera za eneo walilokuwa wakipata huduma ya vinywaji, camera zilionyesha yule mrs A aliondoka mwenyewe bila ya kupewa msaada wowote (ina maana hakuwa amelewa sana).
lakini:
camera nyenginezo zilionyesha ya kwamba mr k alionekana akimbeba huyu trainee Mrs A (ina maana binti hakuwa na ufahamu wowote).
binti baada ya kuamka anasema alijikuta akiwa mtupu huku akifanyiwa matendo ya kinyanyasaji (molestation) na Mr K.......
mr k kwenye utatezi wake wa kwanza anasema hivi:
asubuhi yake tulichati na mrs A kuhusiana na kile kilichofanyika usiku wa jana na kwenye mazungumzo yetu hapakujiri hata mara moja hoja ya yeye kumfanyia matendo maovu kinyume na maamuzi yake
pia bwana park shi hoo alipinga hilo (madai yake ni kwamba kila walichokuwa wakifanya hapakuwepo na tendo la nguvu, binti alikuwa anafahamu kinachoendelea)
teh teh teh
kimbembe zaidi bwana park shi hoo alifeli kwenye vipimo vya kujua whether kinachozungumzwa ni kweli au uongo lakini binti alifaulu
kesi ilikuwa ni kubwa sana, baadae alijitokeza rafiki wa Mrs A ambaye mwanzoni alikuja na madai ya kwamba huenda rafiki yake alipewa madawa ndipo wakamfanyia matendo maovu, baadae zikavuja chatting zao za message madada hao wawili,
blah blah blah kibao mwisho wa siku pande zote mbili nadhani waliamua kufanya makubaliano (settlement)
View attachment 1503011
kila upande ulikuwa ni mchafu.......usiku wa kwanza tu kukutana munakwenda kusomana tabia
- princess man
- iljimae
- king maker
Zilizokuangusha Namba moja niliimaliza ila namba mbili nilivuta episode chache ikanishinda nikaachana nayo. Hizo nyingine sijazivuta.ndio yenyewe
korean drama 5 bora nilizoziangalia kwa nusu mwaka wa 2020kwenye list sijaziweka zile zilizoanza mwishoni mwa mwaka 2019 kama vile stove league na crash landing on you drama.
The world of the married drama hospital playlist drama doctor romantic 2 Itaewon class- the king eternal monarch drama
=================================
korean drama 5 ambazo zilikwenda kinyume na matarajio yangu kwa nusu mwaka wa 2020
the game toward zero drama- a piece of your mind drama
money game drama memorist drama nobody knows drama
labda ni kwa sababu alikuwa ni second lead actor ndio maana ulishindwa kuihifadhi sura ya handsome boy cha pombe
Ahsante Sana kwa Pongezi za Ubingwa.nami nimepata kuusikiliza kwa mara ya kwanza,
sikuwa nafahamu ya kwamba wimbo wa kawaida unaweza kutumiwa ndani ya korean drama au movie (ost)
========================
nado bogoshipda,
mambo yamekuwa machache lakini mazito kiupande wangu (muda ule niliouzowea kuupoteza kwa kuangalia drama nahitajika kwa sasa niutumie kwa dhumuni la kufanya kazi yangu inayoshikilia mustakabali wa maisha yangu kwa upande fulani)
========================
teh teh teh
umekuwa mpelelezi wangu?
mpendwa acha hiyo tabia au popote unionapo usisite kunisalimia
=======================
hongera kwa ubingwa wa Uingereza na Tanzania
ipo slow sana ndio ikakushinda kama kawaida yako
Achukue Mfano wa Seung Gi Ana Project Tatu Nahisi Tangu atoke Army Na Sasa Ivi yupo Kwenye Reality Tv Show Ila Izo Tatu Mbili Zilifanya Poa.niliwahi kuiangalia episode 1 ila haikunivutia sana hadithi yake........
anapaswa akae chini azifanyie review offer anazopokea kwa umakini zaidi na aondokane na dhana ya kuwa na hamu ya kufanya kazi
Samahani naomba kuulizaKkondae intern nilipoona imefika episode 11 nikasema niivute bado kidogoo iishe kuangalia google inasafari ndefu ya episode karibia 20 huko.
Ina vituko vizuri.
Samahani naomba kuuliza